Ufugaji nyuki wa kisasa

Nahitaji malkia wa nyuki asie mkali.ili niweze kuwa na makundi yasio kuwa makali..utanisaidiaje? Ufugaji wangu utakuwa Morogoro
Je una makundi mangapi?? Lakini pia tunaweza kuzalisha makundi kupitia makundi yako ayo ayo kama unalo hata moja ambalo ni pole. Tuwasiliane tujue cha kufanya
 
napenda Sana ufugaji wa nyuki ishu ni mtaji eneo ninalo Kubwa Sana
hata usijali kuhusu mtaji sababu shughuri ya ufugaji Nyuki huwa inaanza na kuendelea taratibu taratibu. Rafiki Asali tunatoa nafasi ya kumuanzishia na kumsimamia mradi wake mkulima na kumshauri nini cha kufanya katika miradi ya ufugaji Nyuki.

Lakini pia kutokana na Mfuko wa Misitu kutoa ruzuku Rafiki Asali huwa tunasaidia na kukuelimisha jinsi ya kufanya mpaka kupata iyo ruzuku. Tukumbuke kua shughuri ya ufugaji Nyuki ni shughuli ya utaunzaji mazingira uku ukijiongezea kipato.
 
Nahitaji kufanya ufugaji wa nyuki {wakubwa na wadogo} .... Naomba mchanganuo na mazingira ya ufugaji huo.......... Wataalam karibun.....
Rafiki Asali tunakusaidia kwanza kukagua eneo lako na kukuelimisha jua mizinga gani inayotengenezwa kwenye miti inayopendwa na Nyuki kwaajili ya mizinga. wasiliana nasi kupitia mamba 0758789956. kumbuka si kila mti unaweza kutumia kutengenezea mizinga
 
Nataman kupata kitu kama guide book hv au journal inayoelezea namna kuanza kufuga nyuki....... Maana mara nyingi wadau kama ninyi huwa mnaingiza consulting fees au any others cost wakat tunasaidiana kuunyanyua uchumi wa nchi...... Kama nawezapata mwongozo free of charges plz available WhatsApp 0718-321418

Sent using Jamii Forums mobile app
 
changia maarifa wew sio kila kitu bure changia upate utaalamu vizuri kama kweli unataka kufanya kitu kizur kina gharama sas we unataka consultation bure
 
Nitakutumia vipo.
Ufugaji wa nyuki ni kilimo bora na cha kisasa zaidi kwa karne pia huku kikiwa na faida kemkem kiuchumi na kijamii bila kusahau kimazingira.
 
Je naweza kufuga Nyuki kwenye shamba la mikorosho?
Note; Kwenye mikorosho huwa tunapulizia dawa ya salfa, Je haidhuru nyuki? ama kupunguza ubora wa Asali?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je naweza kufuga Nyuki kwenye shamba la mikorosho?
Note; Kwenye mikorosho huwa tunapulizia dawa ya salfa, Je haidhuru nyuki? ama kupunguza ubora wa Asali?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je naweza kufuga Nyuki kwenye shamba la mikorosho?
Note; Kwenye mikorosho huwa tunapulizia dawa ya salfa, Je haidhuru nyuki? ama kupunguza ubora wa Asali?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafunzo haya yanatolewa Katika viwanja vya Makao Makuu ya PRA - Tanzania, yaliopo Leganga, Usa River - Meru, Arusha - Tanzania.
Gharama kwa Full Package imepunguzwa hadi 100,000 kwa Training Nzima.

Piga: 0759543133 kwa maelezo zaidi.
Training nzima inachukuwa muda gani mpaka mtu awemufuzu na kujua hayo yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa Dar yanafanyikia wapi Mku
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...inawezekana kufuga cha msingi ni kujua msimu wa mikorosho kuchanua maua na muda wa mikorosho kupuliziwa dawa
 
Hii nimeipenda sana Mkuu, hebu weka picha za hiyo Mizinga kwa kila aina (A,B,C na D) ili tufanye biashara.
 
Tafadhali mkiwa Singida au Dodoma naomba unipm ilinihudhurie
 
Nahitaji kufanya ufugaji wa nyuki {wakubwa na wadogo} .... Naomba mchanganuo na mazingira ya ufugaji huo.......... Wataalam karibun.....
Rafiki Asali. kama kuna chanzo salama cha kuaminika mnaweza kuchukua Asali? Bei mnanunua kiasi gani kama mnanunua?
 
Upo wapi Kama uko Dar!ukitaka mizinga yenye sitiki ndani nayofunikwa na bati ni Pm Bei 30000.
 
Kwa nini msianzishe soko la asali la ndani na nje ya nchi, na muwe mnanunua kutoka kwa Wafugaji?

Mkatengeneza mfumo mzuri wa kuhakiki ubora wa asali na mkawahakikishia Wanunuaji kwamba wakinunua asali kwenu zina ubora wa asilimia 100%.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…