Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,186
- 7,492
Nimekuwa nikikabiliwa na changamoto ya nyuki kufa kwenye mizinga kwa sababu ambazo sijazielewa mpaka sasa.
Kwa wazoefu wa nyuki, ni mambo gani hasa yanaweza kupelekea nyuki kufa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye nta hapo!! Naweza kushirikiana nanyi na hatimaye kuliongezea zao la asali thamani!! Ningependa nipate mawasiliano na wahitaji wa nta na asali mbichi.. karibuni sana namba yangu ni 0762044550Habari.
Unahitaji shamba la miti yenye maua kwaajili ya kuwavutia nyuki au kama miti haina maua unaweza kupanda mazao yenye maua umbali usiozidi km 5 kutoka mizinga ilipo.
Unahitaji mizinga bora
Nta
Na vifaa vitakavyokusaidia kipindi cha kilimo chako kama vile mavazi ya uvunaji asali.
Gharama kwa mzinga mmoja.
Mzinga 70000
Nta 1 kg 15000
Kundi la nyuki 30000 (hii ni kwa ufugaji wa kisasa huitaji kusubiri nyuki waje wenyewe)
Hapo utakua umeanza ufugaji.
Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi na huduma.
Call/text/whatsapp
0766006128
0655715184
wana chakula cha kutosha mkuu, na maua ya kutosha, halafu baridi sio ya kutishaNafikiri kuna sababu mbili hapo aidha ni baridi sana au hawana chakula cha kutosha na kuwafanya wafe
wana chakula cha kutosha mkuu, na maua ya kutosha, halafu baridi sio ya kutisha
mkuu ni magonjwa gani hasa yanakabili nyuki na yakitokea cha kufanya ni nini?Basi kutakuwa na magonjwa yamewasibu hapo
Dah! mkuu, hii inaweza kuwa jibu labda inahitaji utafiti Zaidi. Hawa nao hutembea kama kundi au mmoja mmoja, na wanakuwa wanatokea wapi? na ni kwa vipi unaweza kuwatambua na kuwadhibiti?Kuna nyuki wanaitwa "HORNET", wanafanana na nyigu/dondola wadogo, hawa ni mabingwa na vinara wa kuua nyuki wa asali. Ni maadui wakubwa wa nyuki wa asali. Wakivamia mzinga wa nyuki wanauwa mzinga mzima halafu wanakula asali iliotengenezwa na nyuki wa asali na kula mizoga ya nyuki waliowaua (wanapenda mteremko).
Hawa wakivamia hata mizinga 10, ndani ya dakika 20 wanafanya mauwaji ya halaiki. Ni hatari sana hawa, wanaweza kukutia umasikini kama vile TRA.View attachment 1284608View attachment 1284609
wanatumia miezi kadhaa mpaka kutengeneza asali, usiwavuruge upesi, uko mkoa gani?Duuh kumbe.
Nyumbani kwetu kuna nyuki wameamia naombeni muongozo niweze kuvuna asali
kwa nini mkuu?Sina Neno Ila Sasa Acha Niufutilie Haraka Huu Uzi
Nijifunze Namna Nzuri Sana Ya Ufugaji Nyukikwa nini mkuu?
Hornet ukuje ujibu haya mashambuliziKuna nyuki wanaitwa "HORNET", wanafanana na nyigu/dondola wadogo, hawa ni mabingwa na vinara wa kuua nyuki wa asali. Ni maadui wakubwa wa nyuki wa asali. Wakivamia mzinga wa nyuki wanauwa mzinga mzima halafu wanakula asali iliotengenezwa na nyuki wa asali na kula mizoga ya nyuki waliowaua (wanapenda mteremko).
Hawa wakivamia hata mizinga 10, ndani ya dakika 20 wanafanya mauwaji ya halaiki. Ni hatari sana hawa, wanaweza kukutia umasikini kama vile TRA.View attachment 1284608View attachment 1284609
Kuna nyuki wanaitwa "HORNET", wanafanana na nyigu/dondola wadogo, hawa ni mabingwa na vinara wa kuua nyuki wa asali. Ni maadui wakubwa wa nyuki wa asali. Wakivamia mzinga wa nyuki wanauwa mzinga mzima halafu wanakula asali iliotengenezwa na nyuki wa asali na kula mizoga ya nyuki waliowaua (wanapenda mteremko).
Hawa wakivamia hata mizinga 10, ndani ya dakika 20 wanafanya mauwaji ya halaiki. Ni hatari sana hawa, wanaweza kukutia umasikini kama vile TRA.View attachment 1284608View attachment 1284609
Nakuja na majibu baadae kidogo..mkuu ni magonjwa gani hasa yanakabili nyuki na yakitokea cha kufanya ni nini?
mkuu ni magonjwa gani hasa yanakabili nyuki na yakitokea cha kufanya ni nini?
Dah, mkuu shukurani sana. Hii ndio nguvu ya JF. hii inaweza kujibu maswali mengi sana.Nyuki huwa wana athiriwa sana na dawa za kuuwa wadudu zinazopuliziwa kwenye mimea mbali mbali ya mazao ya biashara.
Kumbuka nyuki anapokuwa anatafuta material ya kutengeneza asali huwa anapapasa karibu kila mmea. Kwa bahati mbaya hii mimea ya kisasa huwa inapuliziwa dawa za kuuwa wadudu waharibifu ambazo hizi dawa huwa ni sumu hat kwa mwanadamu.
Nyuki wanapopita especially maeneo yenye hiyo mimea na kuigusa, huwa wanarejea na ile sumu katika mikono yao na wanaingia nayo kwenye mzinga bila kujua madhara yake. Na inapotokea wakawa wengi na wakaisambaza, ikamfikia hadi malkia ndipo hapo huwa ni mwisho wa hilo koroni.
Hii tafiti niliifanya miaka mitatu iliyopita kwa kutazama video za kimazingira huko YouTube. Na nilishaizungumza kipindi fulani kuwa haya madawa na mbegu za kibiashara zitakuja kuwa na madhara kwenye mazingira siku zijazo, ila sikupata ushirikiano mzuri nikaonekana kama mtu anayejifanya mjuaji.
Leo huyu mwenzetu ameshaanza kuona madhara.....
Kama unabisha nenda katazame mizinga iliyopo kwenye misitu au maporini, uone kama inakutwa na hili tatizo.