Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

Kiukweli jamaa unajua sana
 
Mkuu asante kwa ufafanuzi, maji unayozungmzia hapa ni mto au hata kisima mtu unaweza tu kuchimba? Na je kama ni mto au kisima kiwe umbali gani toka kwenye mizinga? Mimi ninaeneo ninataka kufuga nyuki tatizo hamna maji jirani yapo kama meter 500 hivi toka shambani napo ni kisima kilichochimbwa na wachina wakati wa kutengeneza barabara. Natanguliza Shukrani kwa uzi huu mzuri
 
na unaposema mnanunua 1kg=7000 that means mnapima na je kama muuzaji kaleta kwny ndoo ya 20 lita kwa uzoefu wako hiyo itakuwa na kg.ngapi.pili kama mimi nina asali nimeshaivuna tayari mnaweza kununua asali yangu pia?asante
 
Samahani mkuu.

Unaponunua huo mzinga unapata hiyo kit yote au unanunua separate?
 
Hi Patrick,

Kwanza pole kwa kuchelewa kujibu, natumaini bado sijachelewa kukupatia jibu.

Maji ya kisima ni sahihi na kwa umbali huo bado sio shida kwa nyuki kwani wana uwezo wa kufuata majia hata zaidi ya kilomita 3.

Karibu.
0753 196849
 
Kit yetu inaanzia mizinga 12 ambayo inajumuisha;

Mizinga 12
Machine ya kukamulia 1
Chujio 1
Practical training
Hive tool 1

Naomba tuwasiliane kwa namba 0753196849 kwa maelezo zaidi

Samahani mkuu.

Unaponunua huo mzinga unapata hiyo kit yote au unanunua separate?
 
Asali zipo za aina nyingi kutokana na maua husika nyuki waliyotumia kutengeneza asali na uzito hutofautiana. Ila ndoo ya lita ishirini inaweza fikia kg 35 hadi 40

Tuwasiliane kwa 0753196849 kwa maelezo zaidi.

na unaposema mnanunua 1kg=7000 that means mnapima na je kama muuzaji kaleta kwny ndoo ya 20 lita kwa uzoefu wako hiyo itakuwa na kg.ngapi.pili kama mimi nina asali nimeshaivuna tayari mnaweza kununua asali yangu pia?asante
 
Mnawezeshaje wajasiriamali wadogo wasio na mtaji?
Nina eneo zuri la kufuguia nyuki pia Nina mizinga michache ya kisasa na kienyeji
Je mnaweza kuniamini Kwa kunikopesha mizinga na vifaa huku nikilipa Kwa mavuno ninayopata??
 
Swali zuri sana mkuu mm sijaanza bado ila nipo kwenye eneo ambalo nyuki ni wengi mpaka kero ila tatizo mtaji
 
Hilo shamba darasa lenu la Dodoma lipo sehemu gani?? Mimi nipo Dodoma napenda kuja kujionea
 
Kit yetu inaanzia mizinga 12 ambayo inajumuisha;

Mizinga 12
Machine ya kukamulia 1
Chujio 1
Practical training
Hive tool 1

Naomba tuwasiliane kwa namba 0753196849 kwa maelezo zaidi

Gharama za hiyo Kit nzima ni kiasi gani?
 
Hilo shamba darasa lenu la Dodoma lipo sehemu gani?? Mimi nipo Dodoma napenda kuja kujionea

Msalato mnadani, ukifika ofisi tutakupatia maelekezo zaidi na kupata ratiba kamili. 0689 658811
 
Habari wakuu,mie ni mmoja wa wafuga nyuki,naombeni contact za Mrimba Rubi yule anafuga nyuki Dodoma na za msimamizi wa shamba la M P....na kama kuna shamba ambalo mtu anaweza tembea akajifunza..Asanteni.
 
Me nina Diploma ya ufugaji nyuki kutoka Beekeeping Training Institute-Tabora
Sim:0764 458 513
npo tayar kukusaidia
 
Habari wakuu,mie ni mmoja wa wafuga nyuki,naombeni contact za Mrimba Rubi yule anafuga nyuki Dodoma na za msimamizi wa shamba la M P....na kama kuna shamba ambalo mtu anaweza tembea akajifunza..Asanteni.

me nina diploma ya nyuki kutoka Beekeeping Training Institute-Tabora pia Mwaka jana nilijitolea kwa miez miwili katika shamba la PM.
Simu:0764 458 513
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…