Habari,
Kampuni yetu ya Central Park Bees inakuja na KIT iliyokamilika ya kukuwezesha wewe kuingia katika biashara ya ufugaji wa nyuki kwa njia ya kisasa na yenye mafanikio makubwa.
Kwa wateja wetu tutaweza kutoa msaada kwa mwaka mzima pale utapoitajika pia kuhakikisha mizinga yako iko katika hali nzuri wakati wote na mteja hatotakiwa kuwaza kuhusu soko kwasababu kampuni yetu itahusika na kununua asali yote toka kwa mteja na kufanya malipo mara moja bila kuchelewesha.
KIT yetu itakua na orodha ya vitu vifuatavyo:-
- Langstroth bee hives
- Bee smoker
- Protective bee suits with gloves
- Hive tool
- Bee brush
- Fork
- Stainless steel sieve
- 3 frame manual honey extractor
- Practical training in our farm
Kupitia training yetu utaweza kujifunza jinsi ya kutumia vifaa vyote hapo juu na pia kujifunza ufugaji bora wa nyuki kwa vitendo katika shamba letu na jinsi gani utajiingizia pesa nyingi kupitia hii biashara.
Sababu za kutuchagua sisi:-
- Uhakika wa soko
- Vifaa vya kisasa hivyo kupekea asali yenye kuhitajika katika soko la kimataifa
- Bei za ushindani za vifaa
NB: Kwa sasa shamba letu la mfano lipo Dodoma ila tuko katika mchakato wa kuanzisha katika mikoa tofauti.
Gharama ya KIT nzima nimeainisha katika PDF hapo chini na marejesho ya mtaji wako ni ndani ya mwaka mmoja tu, miaka inayofuata ni faida kwako.
Mizinga yetu ina guarantee ya kuishi zaidi ya miaka 20 bila shida yoyote.
Mawasiliano:
0655003510