billduke
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 860
- 898
Msalato mnadani, ukifika ofisi tutakupatia maelekezo zaidi na kupata ratiba kamili. 0689 658811
Je mi nataka kufahamu kama unalifahamu soko la nje kwa nchi zetu za Africa .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msalato mnadani, ukifika ofisi tutakupatia maelekezo zaidi na kupata ratiba kamili. 0689 658811
Me nina Diploma ya ufugaji nyuki kutoka Beekeeping Training Institute-Tabora
Sim:0764 458 513
npo tayar kukusaidia
Samahan mkuu ila hizo kilo 12 ni kila unapo vuna ama ni total ya hizo mara tano unazo vuna.??
Aisee wakuu mnapatikana wapi kwan na mm natafuta eneo la kufugia nyuki..
Shukran.
Uko wapi mkuu??.
Mbali na hilo wahtimu wenyewe hujiona kama ni watu wakubwa saaaana
Kuna mashamba kibao ya watu binafsi na wawekezaji ambao wao kama wao wangeenda kujitolea kwa muda ili kupata mtaji wa kuanzisha mashamba yao madogo na uzoefu kutokana na viposho.
Wengi wamekimbilia mjini na ukiwauliza makwao huko wameacha mashamba tena ya bure ya familia zao,sasa wanataka kuishi Dar ili walime lami?
Hivi nani hapa ambae familia yake haina shamba kwao huko,na naninani anataka kurudi kwao,utumwa wa akili.
Hata Raisi afanye vipi,akama akili zetu wenyewe hazitabadilika na usomi kuwa kwa uhalisia basi tutafeli,na hatimae wale wasio na elim ndio wanaonekana sana kufanikiwa kwenye kilimo kwa kuelekezana wao kwa wao
Siwaelewi