Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

naomba kuuliza mm nafuga sungura tatizo sungura wng wanakula watoto baada ya kuzaa?
 
mkuu big up
 
mkuu weka vigezo vya uhitaji wa ubora na uzito
 
Tunauza sungura kwaajili ya nyama na kwaajili ya mbegu kwa wale wanaotaka kuanza kufuga.
Tunapatikana Kibaha kwa Mathias, kwa yeyote anayehitaji tuwasiliane kwa namba: 0717781981
mkuu wa kisasa auwakienyeji
 
Qwi Qwi Qwi..... You must be kidding.
 
Leo baada ya kutoka zoezini asubuhi nika switch On TV na kuweka Channel Ten na kukutana na hii Mada juu ya ufugaji wa Sungura hawa jamaa wanaitwa TBCC jamani kama vijana tufatilie na tujifunze kilo moja ya nyama ya Sungura inanunuliwa 8000/= tuchangamkie Congo wanataka Tani 20 za nyama ya Sungura
 
Hebu Toa ufafanuzi zaidi. Hao TBCC wananunua Sungura!? Je mkulima akisha wafuga na wakakomaa anaweza kuwapelekea siku yoyote!? Na kama wana nunua wana anzia kununua sungura mwenye uzito gani na idadi gani ya sungura?
 
Kaka hao jamaaa mwenyew nimewasikia tuu wanaitwa TBCC wao ndyo wanakupa sungura na unawafuga na watanunua kwako siku yoyote hao sungura baada ya kukua kilo 8000/= na wananunua kwa idadi yoyote ile wafatilie mtandaoni
 
Akili za kuambiwa changanya Na zako
 
Mpaka uanze kufuga hao sungura mpaka ifikie hatua ya kuuza, congo watakua hawahitaj tena watakua washapata..na nyama itakua yeboyebo tayar
 
Mpaka uanze kufuga hao sungura mpaka ifikie hatua ya kuuza, congo watakua hawahitaj tena watakua washapata..na nyama itakua yeboyebo tayar
Du aisee mchawi wa maendeleo ni doubt na woga wetu,kifupi soko la sungura huwez kulimaliza.Nairobi tu hapo sungura wanagombewa sana.NYama ya sungura sasa ina take over coz watu wanashift from red meat kwenda kwenye white meat.Nairobi nyama ya sungura inauzwa sana mahotelini.Wenzetu mpaka mkojo wa sungura wanauza .kifupi sungura wanasoko sana hata europe unauza kikubwa uwe na mbegu bora kabisa.KUna kampun inakuuzia sungura ila unasign contract utawauzia wao,wakiugua wanawatib wao.ni fursa hii kama una mtaji anza na majike watatu na dume mmoja.wastan sungura anabeba mimba siku 27 na ana zaa mpaka watoto 10-12 tangu umfuge mpaka kumuuza no wastan wa miez 4.
 
Nilishawafuga sana zamani kipind nkiwa darsa la tano, mwaka 2004 nlikua nao weng nna uzoefu nao... nategemea kurudia tena kama zaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…