Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

Jaman anacho kusema huyu jamaa nikwelii kabisa nimekaa Kenya na nimeona watu wanavo lia nahizo ishu za mbegu mpya za Sungura. Mbegu mpya wameuziwa kwa bei ya juu sana 3500 ya Kenya nawalio wauzia hio bleed walidai wao ndo wanunuz wakuu lakin walejaamaa mpaka leo ninavo kwambia wamepotea na watu wamebaki na sungura zao majumban hata wanunuz hakuna nawana wauza kwa bei za hasara sana tofaut na gharama za matunzo. Kumbuka mbegu wameuziwa 3500 ambayo ni 70000 elfu ya hapa bongo lakin wao wanawauza mpaka 1500 mpa elfu 2000 na wanunuz hakuna. Hio ni pyramid scheme kuen makin msije lia buree
 
Wa-TZ tuna taabu sana,, hatupo wabunifu hivi uilishajiuliza kuuza mishikaki ya sungura wewe? Ukikosa soko la sungura mzima mzima anzisha biashara ya kuchomesha nyama ya sungura, weka kijiwe karibu na Corner bar uone utakavyopiga hela. Wakati wa kuku anauza robo kuku kwa 4000/= wewe unatoa vipande mara mbili ya vile vya kuku! Najua siku ya kwanza inaweza kuwa taabu lakini wakisha kuzoea utapata order mpaka uchanganyikiwe!1
 
Safiiiiii
 
jifunze kuandika vizuri kijana, unapoomba msaada jaribu kuwa na lugha za kiungwa ili umvutie mtu akusaidie...lakini kwa uandishi kama huo ni dhahiri hutopata msaada wowote...hivyo jipange upya.
 
Habari zenu jmn Naomba munielekeze jinsi ya kufuga sungura na nitawapata vipi kwa bei gan ntashkuru san waungwana
 
ila jaman tuelezane ukweli kuhusu ishu ya sungura. haya mambo ya kuelezana soko lipo wakati hatulioni tuache jaman. wapo watu walidanganywa wakanunua sungura lakini wamekuja kushindwa kuwauza.ikawa kama utapeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…