festus chongoma
Member
- Feb 16, 2017
- 20
- 8
Hakuna chakula kingine mbadala ya majani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sungura anakula vya kula vingiNataka kujua vyakula vya sungura![]()
![]()
Jaman anacho kusema huyu jamaa nikwelii kabisa nimekaa Kenya na nimeona watu wanavo lia nahizo ishu za mbegu mpya za Sungura. Mbegu mpya wameuziwa kwa bei ya juu sana 3500 ya Kenya nawalio wauzia hio bleed walidai wao ndo wanunuz wakuu lakin walejaamaa mpaka leo ninavo kwambia wamepotea na watu wamebaki na sungura zao majumban hata wanunuz hakuna nawana wauza kwa bei za hasara sana tofaut na gharama za matunzo. Kumbuka mbegu wameuziwa 3500 ambayo ni 70000 elfu ya hapa bongo lakin wao wanawauza mpaka 1500 mpa elfu 2000 na wanunuz hakuna. Hio ni pyramid scheme kuen makin msije lia bureeNi hivii, sio kwamba naharibu biashara ya watu, NO.
Ni kwamba nitastick kwenye ukweli.
Watanzania kawaida yao pale wanapopata habari ya biashara mpya huwa wana tabia ya kukurupuka katika biashara bila kupata uhalisia wa ufanyaji wa tathmini ya biashara hiyo na soko la bidhaa au huduma.
Halafu huwa inakuja kwa msimu.
-Ilianza biashara ya ufugaji wa Nguruwe....wengi wakaongeaaa ila walioweza kuifanya kiusahihi na kifaida ni wachache
-Ikaja biashara ya ufugaji samaki, wengi wakaongeaaa ila asilimia chache sana ndio walioweza kuifanya vizuri.
-Ikaja habari ya kware....wakaongeaaa shida ikatokea sasa watu wanaona mayai ya kuku ni bora kuliko ya kware.
-Ikaja habari ya sungura (na agents wakubwa ni Wakenya) wanaosambaza sana habari za kuwa wanakuletea breed nzuri ya sungura wakubwa, wanakupa na vyakula vyao, wanakutrain na namna ya kujenga banda au wanakujengea kabisa kisha wanakutrain namna ya kuwafuga na wanakuhakikishia kuwa watakuwa wateja wa sungura zako kwa 100%
UKWELI KUHUSU HAWA JAMAA:
Hawa Agents na makampuni yao yaliyopo Arusha na Dar Es Salaam ni WAONGO na hakuna soko la sungura kama wanavyowahakikishia wàtu.
Wakenya wengi wao wanaexport nyama ya sungura Uingereza na Astralia.
Nina ushahidi mkubwa kwani Ndugu zangu wawili wamefuga sungura wengi tu na mpaka sasa hakuna wateja. Na wale walioahidi kununua wamepotea wote.
Ufugaji wa Sungura ni HASARA.
Wa-TZ tuna taabu sana,, hatupo wabunifu hivi uilishajiuliza kuuza mishikaki ya sungura wewe? Ukikosa soko la sungura mzima mzima anzisha biashara ya kuchomesha nyama ya sungura, weka kijiwe karibu na Corner bar uone utakavyopiga hela. Wakati wa kuku anauza robo kuku kwa 4000/= wewe unatoa vipande mara mbili ya vile vya kuku! Najua siku ya kwanza inaweza kuwa taabu lakini wakisha kuzoea utapata order mpaka uchanganyikiwe!1Jaman anacho kusema huyu jamaa nikwelii kabisa nimekaa Kenya na nimeona watu wanavo lia nahizo ishu za mbegu mpya za Sungura. Mbegu mpya wameuziwa kwa bei ya juu sana 3500 ya Kenya nawalio wauzia hio bleed walidai wao ndo wanunuz wakuu lakin walejaamaa mpaka leo ninavo kwambia wamepotea na watu wamebaki na sungura zao majumban hata wanunuz hakuna nawana wauza kwa bei za hasara sana tofaut na gharama za matunzo. Kumbuka mbegu wameuziwa 3500 ambayo ni 70000 elfu ya hapa bongo lakin wao wanawauza mpaka 1500 mpa elfu 2000 na wanunuz hakuna. Hio ni pyramid scheme kuen makin msije lia buree
SafiiiiiiZukisa, napenda nikujibu kwa faida ya walio wengi. Swali lako ni zuri. Kwanza lile tu wazo la kufuga, hiyo ni hatua dhidi ya umaskini. Kwauzoefu, ktk harakati za ujasiriamali, jambo muhimu sana kwa kuanzia huwa ni WAZO. sasa hilo wazo ikiwa kwa bahati mbaya umemshirikisha mtu asiyekuwa sahihi au mwenye allergy na jambo hilo, unaweza kuishia hapohapo usiendelee nalo kumbe mafanikio yako ndo yalikuwa hukohuko. Sungura ni bidhaa adimu, nyama ya sungura ina watu wake wenye uelewa juu ya faida zake. Nyama ya sungura, Kiti moto, kuku, bata, samaki ni white meat (nyama nyeupe), ambayo hivi sasa dunia inageukia kuepuka madhara ya nyama nyekundu. Nataka unielewe vizuri, watu wengi wanapenda kufanya biashara kwa mazoea kwa kuogopa risk hata kama biashara ile faida ni kidogo sana, hawawezi kuona fursa zinazowazunguka na kufanya kitu kipya cha tofauti ambacho pengine kingelipa zaidi. Ndiyo maana utakuta eneo fulani ktk mtaa kuna utitiri wa salon za nywele za kike au za kiume au baa, au workshop za pikipiki, maduka ya vipodozi, shule za chekechea, migahawa, bucha za samaki au nyama n.k. Hawa huishia kugawana wateja na tatizo kubwa hapa ni kukosa ubunifu wa kuanzisha kitu chako cha tofauti. Lakini pia ujue biashara ni matangazo, kama usipowajulisha watu huduma uliyonayo na mahali unapopatikana watajuaje sasa! mfano hapa ulipokuja humu kwa wana JF kuuliza aina ya sungura na uhakika wa soko, kama ndo ungesema unao sungura unauza mimi ni mmoja wa wanaohitaji, pia nigekuletea wateja wa kuwachukua wote ulio nao bandani. Jambo la msingi kama ndo unataka kweli kufuga je, umejiandaaje kimtaji na unalenga soko lipi, ndani au nje ya nchi ama yote kwa pamoja. usibeep yaani watu watakupigia hadi utazima simu. Mtu asikudanganye mtu eti watu hawali sungura! wapo wateja wa jumla na rejareja. Ujasiriamali manake ujasiri. Anza hata na wachache ili ujifunze kisha uongeze maana inawezekana hata kwa mtaji mdogo sana na ktk eneo dogo sana hata kama unaishi nyumba ya kupanga. Ufugaji wa samaki unahitaji mtaji mkubwa ukilinganisha na sungura. Fanya kitu cha tofauti pia usichukue hofu ya walioshindwa ikawa dira yako. Kushindwa ktk biashara kuna sababu nyingi, pia kufanikiwa kuna mbinu nyingi cha msingi ni bidii ya kazi na kutumia ujuzi au watu wenye ujuzi (Taaluma) ili wakushauri kitaalam. Je, unajua kwamba kuna watu hapa Dar wanafuga konokono na wana masoko mazuri nje ya nchi na hapa pia? mji huu wa Dar es salaam hivi sasa una wakazi zaidi ya milioni 5 bila kujumlisha wageni toka mataifa mengine. sasa hii ni fursa penye wengi pana matumbo mengi
WANAKUJA SUBIRIHabari zenu jmn Naomba munielekeze jinsi ya kufuga sungura na nitawapata vipi kwa bei gan ntashkuru san waungwana
ila jaman tuelezane ukweli kuhusu ishu ya sungura. haya mambo ya kuelezana soko lipo wakati hatulioni tuache jaman. wapo watu walidanganywa wakanunua sungura lakini wamekuja kushindwa kuwauza.ikawa kama utapeliZukisa, napenda nikujibu kwa faida ya walio wengi. Swali lako ni zuri. Kwanza lile tu wazo la kufuga, hiyo ni hatua dhidi ya umaskini. Kwauzoefu, ktk harakati za ujasiriamali, jambo muhimu sana kwa kuanzia huwa ni WAZO. sasa hilo wazo ikiwa kwa bahati mbaya umemshirikisha mtu asiyekuwa sahihi au mwenye allergy na jambo hilo, unaweza kuishia hapohapo usiendelee nalo kumbe mafanikio yako ndo yalikuwa hukohuko. Sungura ni bidhaa adimu, nyama ya sungura ina watu wake wenye uelewa juu ya faida zake. Nyama ya sungura, Kiti moto, kuku, bata, samaki ni white meat (nyama nyeupe), ambayo hivi sasa dunia inageukia kuepuka madhara ya nyama nyekundu. Nataka unielewe vizuri, watu wengi wanapenda kufanya biashara kwa mazoea kwa kuogopa risk hata kama biashara ile faida ni kidogo sana, hawawezi kuona fursa zinazowazunguka na kufanya kitu kipya cha tofauti ambacho pengine kingelipa zaidi. Ndiyo maana utakuta eneo fulani ktk mtaa kuna utitiri wa salon za nywele za kike au za kiume au baa, au workshop za pikipiki, maduka ya vipodozi, shule za chekechea, migahawa, bucha za samaki au nyama n.k. Hawa huishia kugawana wateja na tatizo kubwa hapa ni kukosa ubunifu wa kuanzisha kitu chako cha tofauti. Lakini pia ujue biashara ni matangazo, kama usipowajulisha watu huduma uliyonayo na mahali unapopatikana watajuaje sasa! mfano hapa ulipokuja humu kwa wana JF kuuliza aina ya sungura na uhakika wa soko, kama ndo ungesema unao sungura unauza mimi ni mmoja wa wanaohitaji, pia nigekuletea wateja wa kuwachukua wote ulio nao bandani. Jambo la msingi kama ndo unataka kweli kufuga je, umejiandaaje kimtaji na unalenga soko lipi, ndani au nje ya nchi ama yote kwa pamoja. usibeep yaani watu watakupigia hadi utazima simu. Mtu asikudanganye mtu eti watu hawali sungura! wapo wateja wa jumla na rejareja. Ujasiriamali manake ujasiri. Anza hata na wachache ili ujifunze kisha uongeze maana inawezekana hata kwa mtaji mdogo sana na ktk eneo dogo sana hata kama unaishi nyumba ya kupanga. Ufugaji wa samaki unahitaji mtaji mkubwa ukilinganisha na sungura. Fanya kitu cha tofauti pia usichukue hofu ya walioshindwa ikawa dira yako. Kushindwa ktk biashara kuna sababu nyingi, pia kufanikiwa kuna mbinu nyingi cha msingi ni bidii ya kazi na kutumia ujuzi au watu wenye ujuzi (Taaluma) ili wakushauri kitaalam. Je, unajua kwamba kuna watu hapa Dar wanafuga konokono na wana masoko mazuri nje ya nchi na hapa pia? mji huu wa Dar es salaam hivi sasa una wakazi zaidi ya milioni 5 bila kujumlisha wageni toka mataifa mengine. sasa hii ni fursa penye wengi pana matumbo mengi