Ufugaji wa kisasa wa Sungura: Ushauri wa masoko na faida za ufugaji

Jamani wana JF ni kweli kuna aina ya sungura ambayo ina soko sana au ni sungura wa aina yoyote naweza kufuga na nikauza Kama kawaida?

Nataka kuanza kufuga sungura nisije nikachukua mbegu ambayo haina soko
Ni hivii, sio kwamba naharibu biashara ya watu, NO.

Ni kwamba nitastick kwenye ukweli.

Watanzania kawaida yao pale wanapopata habari ya biashara mpya huwa wana tabia ya kukurupuka katika biashara bila kupata uhalisia wa ufanyaji wa tathmini ya biashara hiyo na soko la bidhaa au huduma.

Halafu huwa inakuja kwa msimu.

-Ilianza biashara ya ufugaji wa Nguruwe....wengi wakaongeaaa ila walioweza kuifanya kiusahihi na kifaida ni wachache

-Ikaja biashara ya ufugaji samaki, wengi wakaongeaaa ila asilimia chache sana ndio walioweza kuifanya vizuri.

-Ikaja habari ya kware....wakaongeaaa shida ikatokea sasa watu wanaona mayai ya kuku ni bora kuliko ya kware.

-Ikaja habari ya sungura (na agents wakubwa ni Wakenya) wanaosambaza sana habari za kuwa wanakuletea breed nzuri ya sungura wakubwa, wanakupa na vyakula vyao, wanakutrain na namna ya kujenga banda au wanakujengea kabisa kisha wanakutrain namna ya kuwafuga na wanakuhakikishia kuwa watakuwa wateja wa sungura zako kwa 100%

UKWELI KUHUSU HAWA JAMAA:

Hawa Agents na makampuni yao yaliyopo Arusha na Dar Es Salaam ni WAONGO na hakuna soko la sungura kama wanavyowahakikishia wàtu.

Wakenya wengi wao wanaexport nyama ya sungura Uingereza na Astralia.

Nina ushahidi mkubwa kwani Ndugu zangu wawili wamefuga sungura wengi tu na mpaka sasa hakuna wateja. Na wale walioahidi kununua wamepotea wote.

Ufugaji wa Sungura ni HASARA.

Mkuu umenena,

Kuna kitu kinaitwa Ponzi scheme. Kitu kinapewa dhamani ilhali kwenye uhalisia hakina dhamani.

Na mara nyingi hawa wajanja wanaweka kipindi cha mpito ili wapate muda wa kukufumbaza na baadaye watokomee.

Wanakuuzia mbegu, na ndiyo unakuwa umeliwa. Kuna wachache sana huwa wanafaidika ili kuleta ushuhuda, lakini baada ya hapo ni kilio.
 
Ujue mkuu kuna watoto akili hawana kabisa, hao Mods sijui wanafanya kazi gani!
Ukishindana na chizi atakuambukiza uchizi, Watu kama hao Sijui walijiunga na JF ili watukane wenzao.. Na itakua file sio lake
 
Ni hivii, sio kwamba naharibu biashara ya watu, NO.

Ni kwamba nitastick kwenye ukweli.

Watanzania kawaida yao pale wanapopata habari ya biashara mpya huwa wana tabia ya kukurupuka katika biashara bila kupata uhalisia wa ufanyaji wa tathmini ya biashara hiyo na soko la bidhaa au huduma.

Halafu huwa inakuja kwa msimu.

-Ilianza biashara ya ufugaji wa Nguruwe....wengi wakaongeaaa ila walioweza kuifanya kiusahihi na kifaida ni wachache

-Ikaja biashara ya ufugaji samaki, wengi wakaongeaaa ila asilimia chache sana ndio walioweza kuifanya vizuri.

-Ikaja habari ya kware....wakaongeaaa shida ikatokea sasa watu wanaona mayai ya kuku ni bora kuliko ya kware.

-Ikaja habari ya sungura (na agents wakubwa ni Wakenya) wanaosambaza sana habari za kuwa wanakuletea breed nzuri ya sungura wakubwa, wanakupa na vyakula vyao, wanakutrain na namna ya kujenga banda au wanakujengea kabisa kisha wanakutrain namna ya kuwafuga na wanakuhakikishia kuwa watakuwa wateja wa sungura zako kwa 100%

UKWELI KUHUSU HAWA JAMAA:

Hawa Agents na makampuni yao yaliyopo Arusha na Dar Es Salaam ni WAONGO na hakuna soko la sungura kama wanavyowahakikishia wàtu.

Wakenya wengi wao wanaexport nyama ya sungura Uingereza na Astralia.

Nina ushahidi mkubwa kwani Ndugu zangu wawili wamefuga sungura wengi tu na mpaka sasa hakuna wateja. Na wale walioahidi kununua wamepotea wote.

Ufugaji wa Sungura ni HASARA.
Azarel Asante kwa kunifungua Akili mkuu.. Maneno yako Yana ukweli ndani yake
 
Hoteli gani uswahilini uliwahi kuagiza "wali sungura?" ukifuga hao wadudu ufuge kama urembo ila kama biashara yatakudodea kama walivyoingizwa mkenge watu wakafuga kware yameishia wapi? fuga vitu vinavyoliwa na watu wengi.
Labda wanatumia kwenye sambusa.[emoji2] [emoji2] [emoji2]

Ila watu wamekula sana nyama za mbwa na paka kwenye sambusa... Niamini.[emoji51] [emoji51] [emoji51]
 
Hoteli gani uswahilini uliwahi kuagiza "wali sungura?" ukifuga hao wadudu ufuge kama urembo ila kama biashara yatakudodea kama walivyoingizwa mkenge watu wakafuga kware yameishia wapi? fuga vitu vinavyoliwa na watu wengi.
Asante mkuu, nitalifanyia kazi
 
Mkuu umenena,

Kuna kitu kinaitwa Ponzi scheme. Kitu kinapewa dhamani ilhali kwenye uhalisia hakina dhamani.

Na mara nyingi hawa wajanja wanaweka kipindi cha mpito ili wapate muda wa kukufumbaza na baadaye watokomee.

Wanakuuzia mbegu, na ndiyo unakuwa umeliwa. Kuna wachache sana huwa wanafaidika ili kuleta ushuhuda, lakini baada ya hapo ni kilio.
Mkuu unakumbuka kware.ok fikiria wao wanakuuzia sungura elfu 90 then wanakuja kununua kwakow kwa kilo elfu nane sungura mkubwa kilo tano ni sawa na elfu 40.changanya akili
 
Hahaha ni sawa na upatu tu.

Kuna issue pia ilivuma sana. Ya miti ya mtiki au mitiki, sijui iliishia wapi?
 
Ni hivii, sio kwamba naharibu biashara ya watu, NO.

Ni kwamba nitastick kwenye ukweli.

Watanzania kawaida yao pale wanapopata habari ya biashara mpya huwa wana tabia ya kukurupuka katika biashara bila kupata uhalisia wa ufanyaji wa tathmini ya biashara hiyo na soko la bidhaa au huduma.

Halafu huwa inakuja kwa msimu.

-Ilianza biashara ya ufugaji wa Nguruwe....wengi wakaongeaaa ila walioweza kuifanya kiusahihi na kifaida ni wachache

-Ikaja biashara ya ufugaji samaki, wengi wakaongeaaa ila asilimia chache sana ndio walioweza kuifanya vizuri.

-Ikaja habari ya kware....wakaongeaaa shida ikatokea sasa watu wanaona mayai ya kuku ni bora kuliko ya kware.

-Ikaja habari ya sungura (na agents wakubwa ni Wakenya) wanaosambaza sana habari za kuwa wanakuletea breed nzuri ya sungura wakubwa, wanakupa na vyakula vyao, wanakutrain na namna ya kujenga banda au wanakujengea kabisa kisha wanakutrain namna ya kuwafuga na wanakuhakikishia kuwa watakuwa wateja wa sungura zako kwa 100%

UKWELI KUHUSU HAWA JAMAA:

Hawa Agents na makampuni yao yaliyopo Arusha na Dar Es Salaam ni WAONGO na hakuna soko la sungura kama wanavyowahakikishia wàtu.

Wakenya wengi wao wanaexport nyama ya sungura Uingereza na Astralia.

Nina ushahidi mkubwa kwani Ndugu zangu wawili wamefuga sungura wengi tu na mpaka sasa hakuna wateja. Na wale walioahidi kununua wamepotea wote.

Ufugaji wa Sungura ni HASARA.
Pokea likes elfu 1000.hakuna watu wapumbafu kama Wakenya.Narudia tena .,hakuna watu wapumbafu kama WAKENYA.Janja janja nyingi mno .,wakija na kiswahili chao kibovu ukawastukia ,wanabadili kingereza ili usiwaelewe vizuri. Don't trust any, work along them with care.Nimefanya nayo kazi ,nimesoma nayo haya majitu.,nayaelewa.
 
Kweli mkuu
 
Wewe umeshaona wapi mtu anakula sungura?!!
Alafu watakudanganya sungura mmoja 50,000
Chaka hilo!
Fuga samaki.....
Umezaliwa dar, umesomea dar, mkoan unapasikia tuu... chakula chako ni mayai na kuku broilers na viepe.. sishangai kama hujala nyama ya sungura.. hatta kufugwa pia utakua hujaona wakifugwa
 
Mimi hii project ya sungura naiogopa saana! naona kama ni nadharia zaidi sijawahi pata mtu akaniambia uhalisia wake ukoje! Kikubwa tujifunze kufanya project ambazo masoko yake tunayajua yaan tunaweza kuuza bila kupiga simu ya kutafutiwa mteja au masoko.
 
Nimesoma Huu Uzi Kwa Masikitiko Makubwa Sana, All I Can See Ni Chicken Little "The Sky Is Falling"

zukisa Wewe Umeona Opportunity Lakini Wenzako Wanaona Wakenya Na Soko, Hao Wengiene Wanaouza Soko Wanapata Wapi?

Usisikilize Ya Watu Fata Roho Yako Inataka Na Imeona Nini, Unachoona Wewe Azarel Does Not See It

Asije Akakwambia Mtu Tena Hiki Ni Bora Kuliko Hiki Na Ukakubali, Tambua Mafanikio Yako Ni Juhudi Zako Na Ukiona Wanasema Ni Ngumu Nenda Hukohuko

Sababu Utakuwa Peke Yako Na Utatengeneza Soko Lako (Niche) Dont Listern To People Too Much

Be Prepared For Hardwork, Sets Your Plans, Overcome The Negativity, Be Smart Utafanikiwa, Biashara Siyo Rahisi Ingekuwa Rahisi Kila Mtu Angefanya.

Usitafute Ushauri Kwenye Unatochotaka Kufanya, Tafuta Ushauri Ni Vipi Utakifanya

Itakugharimu Kwenye Mabanda Jinsi Ya Kuyajenga Na Madawa Basi Chakula Sungura Ukiwapandia Spinach Pori Na Nyasi Mchezo Umekwisha.

Nilishafanyia Utafiti Ufugaji Wa Sungura, Kwenye Sungura Unauza Ngozi, Unauza Mavi Yao, Unauza Mkojo, Unauza Nyama

Ukiweka Uwoga Kwenye Biashara Hutafanikiwa Pia Tambua Nini Cha Kuuliza, Nani Wa Kumuuliza, Wapi Pa Kuuliza

Ukitaka Ushauri Infomation Mpaka Contacts Niambie Nitakusaidia Hata Business Plan Nitakupa

Jamani wana JF ni kweli kuna aina ya sungura ambayo ina soko sana au ni sungura wa aina yoyote naweza kufuga na nikauza Kama kawaida?

Nataka kuanza kufuga sungura nisije nikachukua mbegu ambayo haina soko
Sungura hazidi Tshs. 10,000/= kwa hapa jijini Mwanza. Na soko lake sijui lilipo ila walipo napajua. J.2 kuna mtu alitaka kuniuzia kwa jumla Tshs 5,000/-
Wanazidiwa hata kuku wa kienyeji.
 
Nimesoma Huu Uzi Kwa Masikitiko Makubwa Sana, All I Can See Ni Chicken Little "The Sky Is Falling"

zukisa Wewe Umeona Opportunity Lakini Wenzako Wanaona Wakenya Na Soko, Hao Wengiene Wanaouza Soko Wanapata Wapi?

Usisikilize Ya Watu Fata Roho Yako Inataka Na Imeona Nini, Unachoona Wewe Azarel Does Not See It

Asije Akakwambia Mtu Tena Hiki Ni Bora Kuliko Hiki Na Ukakubali, Tambua Mafanikio Yako Ni Juhudi Zako Na Ukiona Wanasema Ni Ngumu Nenda Hukohuko

Sababu Utakuwa Peke Yako Na Utatengeneza Soko Lako (Niche) Dont Listern To People Too Much

Be Prepared For Hardwork, Sets Your Plans, Overcome The Negativity, Be Smart Utafanikiwa, Biashara Siyo Rahisi Ingekuwa Rahisi Kila Mtu Angefanya.

Usitafute Ushauri Kwenye Unatochotaka Kufanya, Tafuta Ushauri Ni Vipi Utakifanya

Itakugharimu Kwenye Mabanda Jinsi Ya Kuyajenga Na Madawa Basi Chakula Sungura Ukiwapandia Spinach Pori Na Nyasi Mchezo Umekwisha.

Nilishafanyia Utafiti Ufugaji Wa Sungura, Kwenye Sungura Unauza Ngozi, Unauza Mavi Yao, Unauza Mkojo, Unauza Nyama

Ukiweka Uwoga Kwenye Biashara Hutafanikiwa Pia Tambua Nini Cha Kuuliza, Nani Wa Kumuuliza, Wapi Pa Kuuliza

Ukitaka Ushauri Infomation Mpaka Contacts Niambie Nitakusaidia Hata Business Plan Nitakupa

Hata kama ni niche ila kwa Sungura hapana. Tuwe wakweli, tumuogope Mungu.
 
Hakuna soko la sungura Africa. hata huko Kenya nimekwenda na NAMAINGO ni ujanja utapeli tu.
 
Back
Top Bottom