Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

ebwana embu niambie wako vp , je unaweza kuweka clip, au pic niweze kuwatambua, wana tofauti ipi na wa kawaida??
 
wakuu kama hawa
 

Attachments

  • 1443638617851.jpg
    53.4 KB · Views: 342
Me naishi kwa azizi ally mtongani njoo whatsapp 0768422758
 
Mkuu wana nini cha ziada...

sio wana nini cha ziada hao nini kuku wa kipekee sio kama hawa wa uswahilini..!
1-wanavutia., 2-wanakua wakubwa sana maumbo makubwa.
3-ni wakorofi sana wanaweza kupigana ata na binadamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…