Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania


Mi nimekuelewa. Hiyo ni bei ya mbegu wadau. Mi nitaenda, nipe adress yao mkuu, mi nishaacha kufanya mambo kimazoe sikuhzi elimu juu ya unalolifanya ndiyo itakayokupa tija
 
Kuchi hanyi njiani hutumiwa kusafirishia dhahabu burundi ndio maana wanauzwa ghali
 

Hii bei ni ya kawaida kabisa kwa aina ya kuchi kama anaeonekana kwenye picah (Angalia attchment -mdomo wa jogoo wenyewe ni mfupi sanaaa)
 

Attachments

  • IMG_4107.JPG
    633.1 KB · Views: 1,008
hawa kuku huwa nawaona sana huku Zanzibar ni common huku...na huenda wakaazi wa huku hawajafahamu demand ya kuchi..
 
Mimi ninao Kuchi , ila siuzi kwa sasa. Mmoja nilimnunua 40,000/- wadogo na jogoo mkubwa 120,000/-
3 na mitetea 6. Wawili Wameibiwa Nina Mayai 25 na watatu bado wanataga. Hawa ni Special breed wazuri hata kwa kuwalook. Mungu akijaalia ntakuwa na vifaranga 30 next month August 2013.
 

Siku ukitaka kuuza, nitwangie pm moja kwa moja niwanunue wote. Mkuu unafugia wapi kuku wako?
 
hebu wekeni KAZI za hao kuku ???????????????? kable ya kuendelea kusifia hio bei yao
 
Niko mwanza for two weeks nd then I go back to ug nanigependa kupata vifaraga vya kuchi ili niweze kwenda navyo nigependelea kupata ambavyo vimefikisha mwezi mmoja
Msaada wenu wana jr
 
hao kuchi wako wameeanza kutaga baada ya kufikisha miezi mingapj?
 
nina kuku wangu kuchi naomba msaada kwa mwenye uzoefu nao anisaidie niwapandishe na kuku aina gani nipate kuku bora zaidi,yaan kwa mfano kishingo,kibwenzi au wale waliotibuka manyoya? kati ya ho yupi nikimchanganya na kuchi watatoa mbegu bora zaidi?
 

Mkuu unafugia wapi hao kuku? Nataman kuwaona hao kuchi...
 
warefu wakubwa wana miguu mirefu midomo mifupi ni kuku warefu kuliko wote kwa tanzania hapa
 

Ganja bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…