hebu wekeni KAZI za hao kuku ???????????????? kable ya kuendelea kusifia hio bei yao
Yanapatikana wapi na kwa tsh ngapi?
naomba mwenye kujua nitapoweza.pata vifaranga wa kienyeji aina ya kuchi. nahitaji kama 40.
Ninakuchi majogoo 4..nauza wawili kwani wanapiga sana..kila 1 laki 120000
Yote yameelezwa mbona!Jamani mtueleweshe vema. Wanapiga sana kwa maana wanatumika kwenye ulinzi au?Je wanaliwa?
Mkuu hii aina ya vifaranga niliiona mpwapwa kwa mkuu wa chuo cha mifugo. Ni kuku fulani wazuri sana na bei yake iko juu kiasi kwamba nilishangazwa kuambiwa kuku anauzwa laki mbili. Hawa wanapendwa sana na watu wanaopenda michezo ya kuku haswa kupigana. Bahati mbaya sikuchukua namba ya yule bwana nigekupatia uwasiliane nae.
Mdau umeleta uzi wa maana sema wwachangiaji wengi hawajakubamba ni kwel hata mi niliwahi kufuga na jogoo wangu wa mwisho niliuza laki na 70 kwa mpemba mmoja na hapo ni baada ya kumtumia kwenye ngumi za kuku ambazo kwa kipind nlichokua nae keshaingiza zaidi ya milion moja kwa kwel kuchi ndo mpango mkuu.waliolala usiwaamshe utalala wewe
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
halafu wanakuwa taratiiiibu vifaranga manyoya kuota muda kweli hiyo bei ni sawa, sishauri mtu kuwafuga kwa ajili ya kula tu labda kwa hiyo michezo yao.
Hao kuku watakuwa wanakunya Dhahabu, Ila kama ni hawa wakawaida wanao kunya mavi sidhani, Mbona kuna kuku wa Kienyeji Bora kabisa kuriko hao na hawauzwi hizo bei, Hata kuku wa Mayai ya Blue wenyewe hawauzwi hivyo,
Pata vifaranga wa kuchi na kanga umri kwanzia cku 1 hadi miezi 3 kwa mawasiliano zaidi 0765338581
wana umri wa miezi miwili sasa
NIMEWAHI KUIIBIWA SHS. 55,000.= KUPITIA TANGAZO LA KUCHI HAPAJF NA MTU ALIDAI YUKO MOSHI. NILIPOTUMA FEDHA HAKUPOKEA SIMU TENA. NILIULIZA M-PESA WAKASEMA INAELEKEA NAMBA YAKE ILIFUNGWEA KWA MATYATZO. KUWA MWANGALIFU. :suspicious: