Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

Wadau hawa kuku mimi ninao kama 20 na nimenunua mombasa kenya....kule atleast ni cheap kdgo na wako wengi na ni pure breed...
 
Quote By Mtumishi Mkuu View Post
Mkuu hii aina ya vifaranga niliiona mpwapwa kwa mkuu wa chuo cha mifugo. Ni kuku fulani wazuri sana na bei yake iko juu kiasi kwamba nilishangazwa kuambiwa kuku anauzwa laki mbili. Hawa wanapendwa sana na watu wanaopenda michezo ya kuku haswa kupigana. Bahati mbaya sikuchukua namba ya yule bwana nigekupatia uwasiliane nae.

Mkuu ameulizia kuku sio Ng'ombe

Mkuu, kwani mkufunzi wa CHUO CHA MIFUGO hawezi kufuga KUKU? Wewe ulidhani jamaa anaonglea Mpwapwa breed ya ng'ombe? Umechanganya madesa, ndugu yangu.
 
Kwanini usitoe laki mbili kwa hii breed...sio kuku wa kawaida
 
Attachments

  • 1395116545586.jpg
    1395116545586.jpg
    104.2 KB · Views: 1,139
Ninakuchi majogoo 4..nauza wawili kwani wanapiga sana..kila 1 laki 120000
 
Jamani mtueleweshe vema. Wanapiga sana kwa maana wanatumika kwenye ulinzi au?Je wanaliwa?
Yote yameelezwa mbona!

Mkuu hii aina ya vifaranga niliiona mpwapwa kwa mkuu wa chuo cha mifugo. Ni kuku fulani wazuri sana na bei yake iko juu kiasi kwamba nilishangazwa kuambiwa kuku anauzwa laki mbili. Hawa wanapendwa sana na watu wanaopenda michezo ya kuku haswa kupigana. Bahati mbaya sikuchukua namba ya yule bwana nigekupatia uwasiliane nae.
Mdau umeleta uzi wa maana sema wwachangiaji wengi hawajakubamba ni kwel hata mi niliwahi kufuga na jogoo wangu wa mwisho niliuza laki na 70 kwa mpemba mmoja na hapo ni baada ya kumtumia kwenye ngumi za kuku ambazo kwa kipind nlichokua nae keshaingiza zaidi ya milion moja kwa kwel kuchi ndo mpango mkuu.waliolala usiwaamshe utalala wewe

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

halafu wanakuwa taratiiiibu vifaranga manyoya kuota muda kweli hiyo bei ni sawa, sishauri mtu kuwafuga kwa ajili ya kula tu labda kwa hiyo michezo yao.
 
Hao kuku watakuwa wanakunya Dhahabu, Ila kama ni hawa wakawaida wanao kunya mavi sidhani, Mbona kuna kuku wa Kienyeji Bora kabisa kuriko hao na hawauzwi hizo bei, Hata kuku wa Mayai ya Blue wenyewe hawauzwi hivyo,

Hapana hao Kuku ni aina hiyo ya kuchi hutumiwa sana ktk michezo,pia haogopi mtu anaweza Kuku nyang'anya sahani yako ya chakula kama unakula nje.
 
NIMEWAHI KUIIBIWA SHS. 55,000.= KUPITIA TANGAZO LA KUCHI HAPAJF NA MTU ALIDAI YUKO MOSHI. NILIPOTUMA FEDHA HAKUPOKEA SIMU TENA. NILIULIZA M-PESA WAKASEMA INAELEKEA NAMBA YAKE ILIFUNGWEA KWA MATYATZO. KUWA MWANGALIFU. :suspicious:
 
Me mwenyew nawataka sana hao kuku aina ya kuchi nipo kigoma cjui ntawapataje

na bei yake ni ngapi per each
 
NIMEWAHI KUIIBIWA SHS. 55,000.= KUPITIA TANGAZO LA KUCHI HAPAJF NA MTU ALIDAI YUKO MOSHI. NILIPOTUMA FEDHA HAKUPOKEA SIMU TENA. NILIULIZA M-PESA WAKASEMA INAELEKEA NAMBA YAKE ILIFUNGWEA KWA MATYATZO. KUWA MWANGALIFU. :suspicious:

SAFI SANA!zilikuwa zinakuwasha hizo chenji za rada
 
Sidhani kama pana usalama hapo,mbona majibu ya makazi hayayolewi
 
Back
Top Bottom