Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

Ninao kuchi,nauza mature at 7k niko mombasa ,namba yangu ya simu ni 0711406777.
 
Nipe 40000 nakuletea kuch mpaka ulipo.
 
kuku wa laki mbili???? afu hivi kideli ni sh ngapi vile??
 
Dunia inamambo,.huyo kuku hadi kufikia kuliwa nimda gani?.
 
Asante dear nami nitajitahidi nije chukua Kenbro tu maana wale niliochukua nimewapenda. Kipindi hiki kizuri sana na ukiwatunza vizuri Xmas na na New year unakula bingo ya kuuza majogoo.
Vifaranga bado wanapatikana kwani kipindi/miezi mizuri kwa ufugaji hasa kuku ndo hii.

Karibuni.
 
Sifa za hao kuchi plz, ukiacha kupigana, wanataga mayai mangap? Kwa nzunguko mmoja, uwezo wa kupambana na magonjwa je?
 
Asante dear nami nitajitahidi nije chukua Kenbro tu maana wale niliochukua nimewapenda. Kipindi hiki kizuri sana na ukiwatunza vizuri Xmas na na New year unakula bingo ya kuuza majogoo.

Jamani nafurahi kusikia toka kwako, Yaani inabidi wafugaji tuchangamke kufuga hasa kwa malengo na kwa muda.

Karibu sana
 
Jamani nafurahi kusikia toka kwako, Yaani inabidi wafugaji tuchangamke kufuga hasa kwa malengo na kwa muda.

Karibu sana

asante ni kweli timing ni muhimu, msimu wa mvua ukiwa na vifaranga yataka moyo. Msimu wa mavuno hata chakula bei chini. Ngoja nijipange ntakutafuta
 
Duh, umensaidia sana. Nliweka oda ya kuchi kama miezi miwili ss imepita. Nipo Kibiti na mwezi ujao nakuja Dar lazima nkutafuteni... Hivi hawa kenbro ndo wakoje kweli?
 
Duh, umensaidia sana. Nliweka oda ya kuchi kama miezi miwili ss imepita. Nipo Kibiti na mwezi ujao nakuja Dar lazima nkutafuteni... Hivi hawa kenbro ndo wakoje kweli?

Kumbe ni wewe, oda yako ipo mkuu. Wiki inayoanza kesho nitakujulisha siku ya kuchukua.

Ndo breed hii mkuu
 
Attachments

  • 122.JPG
    314.7 KB · Views: 225
  • 123.JPG
    383.2 KB · Views: 250
kumbe ni wewe, oda yako ipo mkuu. Wiki inayoanza kesho nitakujulisha siku ya kuchukua.

Ndo breed hii mkuu

Mkubwa ntashukuru sana make nlianza kuwaza sana... Naomba unichagulie majogoo mata2 na majike mawili...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…