Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

Ufugaji wa Kuku aina ya Kuchi na masoko yake ndani na nje ya Tanzania

Watsapp 0753404139
 
Attachments

  • WP_20150327_025.jpg
    WP_20150327_025.jpg
    383.4 KB · Views: 341
Kama unahitaji vifaranga, makoo, jogoo, au mtetea wa kuku kuchi tuwasiliane.
Bei inategemea aina ya kuchi unaemuhitaji,mchanganuo wa bei upo km ifuatavyo;
Type
A. B. C
Yai. 10,000. 4,000. 1,000
Ki-nga. 50,000. 10,000. 5,000
Jogoo. 5-8 lak. 0.15 lak. 40,000
Nk.
A. - mdomo mfupi , wanatumika zaid km bustan. Pure
B- mdomo mrefu kwa ajili ya kupiganisha.
C- mbegu jogoo anatoka A au B but jike kuku wa kawaida.
For more information.
Contact with azzurre1985@gmail.com.
 
Dah nahitaji kuchi sana ila sijakuelewa kabisa tangazo lako.
 
Ninapokea order ya mayai, vifaranga, koo, jogoo nk kuchi mdomo mfupi (high quality) au mdomo mfupi (for fighting) au mixed.
WhatsapNo.0776805291.
 
Attachments

  • 1427628927076.jpg
    1427628927076.jpg
    61.9 KB · Views: 305
Agiza Tabora

Tabora kubwa kama ni jiji la Tabora wapi wanapatikana? kanyeye? Mwanza Road karibu na kiwanda cha Nyuzi? Ng'ambo? Kiloleni? Ipuli? Uzunguni?, Isevya? Kipalapala? Itaga? Nzega? Urambo? Sikonge njia ya kwenda Mbeya" Igunga?, Nkinga? Ndala? Bukene? nk. Au mitaa ya Tambukareli na Songea? Uwanja wa Alihasan Mwinyi? Isukamahela? Igalula barabara ya kwenda Itigi? Unyanyembe kubwa yakhe!
 
Ninapokea order ya mayai, vifaranga, koo, jogoo nk kuchi mdomo mfupi (high quality) au mdomo mfupi (for fighting) au mixed.
WhatsapNo.0776805291.

Naelekea kuvutia na biashara hii, uzuri ukiwa na endo kubwa katika nyumba huko uwani basi ni hobi ya asubuhi kabla ya kutoka njie na jioni kabla ya kulala huku ikikuingizia pengine kikubwa zaidi ya ajira maisha yanakuwa poaaaa...!
 
Tabora kubwa kama ni jiji la Tabora wapi wanapatikana? kanyeye? Mwanza Road karibu na kiwanda cha Nyuzi? Ng'ambo? Kiloleni? Ipuli? Uzunguni?, Isevya? Kipalapala? Itaga? Nzega? Urambo? Sikonge njia ya kwenda Mbeya" Igunga?, Nkinga? Ndala? Bukene? nk. Au mitaa ya Tambukareli na Songea? Uwanja wa Alihasan Mwinyi? Isukamahela? Igalula barabara ya kwenda Itigi? Unyanyembe kubwa yakhe!

Kote huko wanapatikana.
 
Namaanisha.
Bei ikiandikwa 0.2 laki inama anisha 20,000 Tsh.
5 laki maana 500,000.
Nafikiri mumenifahamu
 
Kuchi mdomo mfupi
1. Kifaranga cha wiki moja Tsh 50,000.
2. Kifaranga mwezi mmoja Tsh 100,000.
Bei zinaendelea mpaka 1,500,000 kwa mujibu wa chaguo lako kwa kuku husika
 
Naelekea kuvutia na biashara hii, uzuri ukiwa na endo kubwa katika nyumba huko uwani basi ni hobi ya asubuhi kabla ya kutoka njie na jioni kabla ya kulala huku ikikuingizia pengine kikubwa zaidi ya ajira maisha yanakuwa poaaaa...!

Karibu tukuuzie.
Lakini wapo ghali kidogo.
 
Karibu tukuuzie.
Lakini wapo ghali kidogo.

Utaratibu wangu ni kununua kuku tetea kama watano hivi na majogoo mawili biashara itasimama, nianchohitaji ni incubetor kuliko biashara ya kununua vifaranga gaida haijai mkononi.
 
Back
Top Bottom