Ufugaji wa kuku chotara na kienyeji kwa mijini ni hasara tupu

LOo!
Sasa hiki kiingereza ndio tusemeje!
Tutumie muda hapa tena kunyooshana vizuri kwenye lugha hii ya kigeni?

Hapana. Acha hili liende!

Ila ninakubaliana nawe, kwamba nimeandika maneno mengi sana, lakini naona hayajasaidia kitu katika kueleza uhalisia wa hiyo biashara ya kuku, wewe na mwenzako mnayotafuta kuwapotosha vijana kuhusu urahisi/wepesi wake wa kuifanya na kupata mafanikio.

Atakayetaka kunisoma katika maneno hayo mengi na kunielewa, ataelewa ili ajipange vizuri kuifanya hiyo kazi. Siyo biashara rahisi. Ni ngumu, inahitaji uvumilivu na umakini mkubwa sana kuifanya ili upate mafanikio; kama zilivyo kazi/biashara nyinginezo zote.

Huu ndio ujumbe ninaotaka kuufikisha kwa wasomaji wote wa mada hii.
Sawa boss naamini wataelewa.
 
Ukinionyesha hata moja kati ya "yasiyofaa" niliyoyataja kwenye maandishi yangu itawasaidia hao unaotaka kuwatahadharisha.

Uandishi wa kijumla jumla huu, ndilo tatizo kubwa sana kwa waTanzania, hawawi 'specific' kwa lolote, saa zote ni kuzungushana tuuu, kama tulivyofanya kwenye mada hii.

Unakomalia faida itokanayo na ufugaji wa kuku wa kienyeji 78, lakini huna hata mfano wa kufafanua ufanisi huo.
Kutwa nzima tunazungushana tuu, na "ufugaji usiohitaji kuwekeza chochote"? Kazi ya namna hiyo utaipata wapi kwa Tanzania hii ya leo!

Mkuu 'Tsh', sitanii, na wala sipo hapa kumkatisha tamaa mtu yeyote ninaposema:
1. Kamwe haiwezekani kufuga kuku wa kienyeji au chotara 78, halafu ukapata faida tokana na kazi hiyo. Hakuna uchawi unaowezesha hilo. Hakuna.
Kama mtu anataka kuifanya kazi hiyo kwa njia hiyo, aifanye kama "hobby' tu, na pengine iwe kama njia ya kupata uzoefu kwake akijiandaa kufanya kazi ya ufugaji kwa njia sahihi zaidi yenye kumletea faida.
Kaka wengine hatuna matrilion mzee.tumeanza kidogo kidogo mpaka hapo tulipofika tunaona ni nafuu kaka.wengine hatuna profile kubwla Kama zako hivyo kidogo tukipatacho tunakutunza ili kikue zaidi kisaidie jamii tutokazo.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
A

Alafu wakati wewe umeshupaza shingo na hao 78..ujue tu Sasa ni 91 idadi ya wanaotaga imeongezeka huku...
 
Ngoja nikusahihishe makosa yako, ikionyesha kwamba kisomo kiko chini kabisa; na kwa maana hiyo uelewa wa mambo unakuwa mgumu kwako.
1. "not book"
2. "flani"
3. "brawns"
4. "mana"
5. "alifu kwa ujiti"
6. "mnne"
7. "heka hekanne za ninazo singino"
8. "wakasema kalogwa wakaanza kumsomea nakuuogesha kombe kwa nguvu."
9. "historian yake"
10. kukariri miterminologies ya kuzungu"

Kwa hali ya kawaida, isingenilazimu niorodheshe haya hapo juu, kwa sababu najua huu ni mtandao wa JF, unakusanya kila takataka mtu anayoweza kuifikiria.
Maana yangu ya kuyaweka makosa yako hayo hapo juu katika andiko fupi tu lenye mistari pungufu ya kumi, ni kuonyesha uwezo wako halisi ulionao katika kufafanua na kueleza mambo, kuwa ni mfinyu sana.
Mtu mwenye hali ya aina hiyo, hana uwezo wa yale anayojigamba kuwa anauwezo nayo.
Kwa mfano: umekwishadai hapa hapa kwenye mada hii, kwamba wewe ni bingwa sana katika eneo la ufugaji kiasi kwamba umeweza hata kushiriki kwenye tafiti za kuzalisha kuku, na kutengeneza chanjo za asili za kuku!

Kutokana na uandishiwako tu, inaonyesha wazi wewe ni tapeli tu, tena asiye na uwezo hata wa kushawishi hao anaotafuta kuwatapeli.

Nilipoanadika mara ya kwanza kuhusu "uvutaji bangi", sababu kubwa ilihusiana na kusoma unayoandika humu. Mtu wa akili za kawaida haandiki na kujieleza jinsi unavyofanya wewe.

Sasa basi, kama wewe siyo mvuta bangi, basi utakuwa na kasoro ya kipekee katika akili zako.

Kuhusu ufugaji wa kuku, kazi hiyo huiwezi. Pengine nikupe ushauri wa sehemu nyingine unakoweza kwenda kuuza maneno ya hadaa kwa wasomaji watakaopenda kusikia hekaya zako. Jaribu sasa kilimo cha matikiti. Nenda kawaeleze wasomaji jinsi ulivyokwisha fanikiwa katika kilimo hicho.

Nilishafunga mjadala huu nawe, lakini ninajikuta bado nipo hapa nawe. Sasa ninaufunga rasmi. Sina la ziada ninaloweza kukusaidia juu yake.
Bado upo Mana dawa inakuingia kaka.walio kwenye line yangu hawapo kwa ushawishi Wala maneno wapo kwa take wanayoyaona mzee..kataa miradi ya mtandaoni twende field kaka
 
Kaka wengine hatuna matrilion mzee.tumeanza kidogo kidogo mpaka hapo tulipofika tunaona ni nafuu kaka.wengine hatuna profile kubwla Kama zako hivyo kidogo tukipatacho tunakutunza ili kikue zaidi kisaidie jamii tutokazo.
Nitoe tahadhari, pamoja na kwamba nilishamalizana na mtiririko wa hoja zako.
Lililojadiliwa hapa ni "kupata faida" itokanayo na ufugaji wa kuku wa kienyeji 78; huko ndiko tuliko anzia na mjadala huu.

Hakuna mahali popote nilipokataa watu kupambana kadri wawezavyo katika kazi nyingine yoyote kwa matumaini ya siku moja kutoboa.

Kwa hiyo, tafadhari sana, tusichanganye haya mambo mawili, na kutaka kuonyesha kana kwamba ninakataa watu wapambane kadri wawezavyo.

Lakini tusiwape matumaini kwa kuwapa mifano ambayo siyo halisi, kama huo wa ufugaji wa kuku 78 na kuweza kuufanya uwe ndiyo tegemeo lako kuendeshea maisha yako.
 
Bado upo Mana dawa inakuingia kaka.walio kwenye line yangu hawapo kwa ushawishi Wala maneno wapo kwa take wanayoyaona mzee..kataa miradi ya mtandaoni twende field kaka
Hujui ninafanya nini mimi, sasa kama sio bangi hizo ni kitu gani kinachokufanya uone kwamba mimi sifanyi kazi hiyo!
Imetosha.
 
Nitoe tahadhari, pamoja na kwamba nilishamalizana na mtiririko wa hoja zako.
Lililojadiliwa hapa ni "kupata faida" itokanayo na ufugaji wa kuku wa kienyeji 78; huko ndiko tuliko anzia na mjadala huu.

Hakuna mahali popote nilipokataa watu kupambana kadri wawezavyo katika kazi nyingine yoyote kwa matumaini ya siku moja kutoboa.

Kwa hiyo, tafadhari sana, tusichanganye haya mambo mawili, na kutaka kuonyesha kana kwamba ninakataa watu wapambane kadri wawezavyo.

Lakini tusiwape matumaini kwa kuwapa mifano ambayo siyo halisi, kama huo wa ufugaji wa kuku 78 na kuweza kuufanya uwe ndiyo tegemeo lako kuendeshea maisha yako.
Naamini bange unazozishupalia ni wewe ndie mtumiaji Mana unajikoroga kweli..Mara useme mi dalali Mana useme ninategemea kuku 78 tu.acha bange mbichi hiyo tuna vyanzo vingine vya napata na mwanzo wa bandiko nilisema mradi huu umenisogeza kimaisha..means sikuanzia hapa
 
Hujui ninafanya nini mimi, sasa kama sio bangi hizo ni kitu gani kinachokufanya uone kwamba mimi sifanyi kazi hiyo!
Imetosha.
Mi naona unapoteza muda wako tu..hi ni shida ya graduated wasio na ajira hiii.
 
Unaweka stori za kijiweni hapa, wakati mimi ninakupa sayansi ya utagaji mayai wa kuku aina yoyote ile, bila kujali wa kienyeji au wa kizungu.
Maana yako ya uhitaji wa jongoo ina maana kwamba utagaji wa hao kuku unategemea uwepo wa jogoo? Kwa hiyo pakiwepo na jogoo wengi na utagaji unaongezeka?

Hivi unajua kuku wa kienyeji anataga mayai mangapi kwa mwaka? Hata ungeongeza wingi wa majogoo ya kupanda, hesabu hiyo haiwezi kubadilika.

Unachoandika wewe hapo, ni kama unatafuta kutotolesha vifaranga, lakini siyo kutaga mayai. Huwezi kuelewa chochote ninachokueleza hapa.!

"Kumwagiwa mbegu na jogoo", hivi hujui kwamba mbegu za jogoo zinakaa mwilini kwa siku tatu na kurutubisha yai, bila ya kupandwa tena?
Kwani post hii haikukuonesha idadi ya mayai tagwa na jike?.
Haikukuonesha madhara ya kuwa na jogoo wengi?

Code:
Unaweka stori za kijiweni hapa, wakati mimi ninakupa sayansi ya utagaji mayai wa kuku aina yoyote ile, bila kujali wa kienyeji au wa kizungu.

Acha kuleta mambo yako ya kukaririshwa darasani mbele ya watu tuliyopo kazini kabisa.
Unazijua sifa za jogoo bora?Ukizijua ndiyo utaelewa kwa nini ni hizo.
Pili,tafuta mtetea wa kuku wa kienyeji na usimpe jogoo,wewe mpe tu chakula uone kama atataga.Na hapa ninaposema kuku wa kienyeji simaanishi hao kuku wenu wa kutoka mataifa mengine.
 
"Ukiwa na jogoo wengi unapata mayai mengi toka kwa kuku wa kienyeji"; huu upuuzi sina muda nao.
 
Kumbe naongea na dogo wa 2000 hapa.Maana nilikuonesha madhara ya kuwa na jogoo wengi kupitia sababu ya mayai kutokuwa na mbegu.Sasa upoleta habari ya ya eti majogoo wawe wengi ndiyo kuku wa kienyeji atage mayai mengi!Hiyo ni habari yako wewe,hakuna sehemu nimeongea hivyo.

Mimi nilikueleza hiki:

Kuku wa kienyeji utofautiana katika idadi ya utagaji kulingana na maumbo yao.Mitetea yenye maumbo madogo utaga kati ya mayai 15 hadi 20 na mitetea yenye maumbo makubwa utaga kati ya mayai 8 hadi 12.
 
Mkuu 'KING KIGODA', haya unayoeleza hapa hayana msingi wowote katika sayansi ya viumbe, na hasa ndege, kama kuku walivyo.

Kuku hahitaji mbegu za jogoo ndipo atage yai, awe kuku wa kienyeji, chotara hawa hawa 'hybrid' wa mayai.

Jogoo uhitaji wake ni wakati unapotaka kuzalisha vifaranga, basi, hakuna zaidi ya hapo.

Sasa haya unayoyasema kuhusu utagaji wa mayai 15 au 20, au n8 hadi 12, mbona huelezi utagaji huo ni katika muda gani?
Hata kama ingekuwa ni katika mwezi, kiwango hicho cha utagaji huoni kwamba hakuna faida ya kufuga kuku hao?
Hili ndilo linalojadiliwa hapa tokea mwanzo wa mada.
Mfugaji awe na kuku 78 wa kienyeji, na wamtagie mayai 8 kwa kila kuku kwa mwezi, bado unaona kuna faida ya ufugaji hapo?

Na bado hujataja tabia za kupenda kulalia mayai waliyonayo kuku hao, wakati wote huo utaqkuwa hupati kitu chochote, unalisha tu!
 
Kwanza hapa tukubaliane kwamba,ufugaji wa kuku wa kienyeji siyo lasmi kwa ajili ya biashara ya mayai.Pili mfumo wa ufugaji wa kuku wa kienyeji ni tofauti kabisa na ufugaji wa kuku wa maabara.Kuku wa kienyeji ukimfuga kwa taratibu za kisasa,hutapata matokeo chanya na lawama hazitaisha.
 
Kama una ishi miji mikubwa kama Dar, Mwanza, Arusha, Dodoma, Morogoro, Mbeya, Moshi na kadhalika basi wekeza kwenye kufuga kuku wa Kisasa wa Mayai na kuku wa Nyama yaani Broiler.

Mijini hakuna anaye uliza hilo ni la nini na pia mijini demand ya mayai ni kubwa sana kwenye matumizi ya kawaida na viwandani pia.

Kiwanda cha mikate na keki kweli wanaweza hangaika kutafuta mayai sijui ya akienyeji? Na kiwandani wanatukia trei na trei za mayai.

Waoko Keki walio jazani mijini wana muda wa kutafuta sijui mayai ya kienyeji? Jibu ni hapana.

Mahoteli ya Kitalii wana huo muda wa kutafuta mayai ya kienyeji? Kwanza Wazungu hawatumii mayai ya Kuku wa Kienyeji wale wanajua fika ni kwa nini.

Wakaanga Chips ambao ni wengi balaaa kila kona wana muda wa kutafuta mayai ya kienyeji? Na wakaanda Chips ndo watumiaji wakuu wa mayai kwa mijini ukiwato Viwanda na Hoteli za kitalii.

Mayai ya Kienyeji yana demanda vijijini huko kwenye centre za miji midogo midogo sana huko ndo wanaulizana aina ya yai na sababu hata consumption yao ya mayai iko chini sana.

Mijini kuhangaika eti kufuga kukuku wa kienyeji uuze mayai ni hasara tupu, kubwa sana na kupoteza muda mwingi san, Walaji wa Mayai ya Kienyeji mijni ni family level na comercial.

Hata kufuga kuku wa kienyeji uuze nyama jogooo still ni hasara tupu na wastage of time unless uwafuge na usiwe na time nao yaani wasiwe ndo unawatolea macho pale walishe Familia na pia kama una shamba kubwa na wanaishi wenyenyewe huko wakila panzi.

Zile Fuso zinazo leta kuku wa Kienyeji kutoka Mikoani hasa Singida na Dodoma kumbuka wale kuku wamekusanywa kutoka kwa wafugaji sawa na idadi ya wale kuku yaani kama Fuso imebeba lets say kuku 6000 basi hao kuku 6000 wametoka kwa wafugaji 5800 au hata 6000 kabisa. Huwa wanazunguka minadani kukudanya kuku mmoja mmoja kutoka kwa wafugaji mmoja mmoja.

Pia Vijijini wale kuku si kwamba ndo wanawatolea macho hapana wale kuku wanajitafutia tu na mfugaji ana mambo mengine anafanya hasa kilimo na hivyo huwa ana kamata mmoja mmoja na kwenda kuuza mnadani au siku ya soko.

Hao kuku wa Chotara sijui SASSO au KUROILER wale usije jidanganya kuwafuga kwa ajili ya mayai, utalia nao, unless kwa ajili ya mayai ya kuangulisha yaani fertlised eggs, wale Chotara ni wazuri kwa nyama na sio kwa mayai ni hasara tupu kuwafuga kwa ajili ya mayai ya kula kwanza mayai yake ni makubwa makubwa huwezi waambia watu haya ni mayai ya kuku wa kienyeji.

Kwa ajili ya nyama Chotara ni wazuri kwa ajili ya Nyama, ila sasa ila pia nako kuna changamoyo ya soko, Bei ya sh 20, 000/ hadi 25, 000/ ni bei nzuri sana ila hii bei ni kama una muuzia mtu anaye enda kuchinja ale na familia yake, hakuna mtu anaye enda kuuza atakaye nunua jogoo sh 20, 000/ wale hununua sh 9000 hadi 10, 000/ na wale huchukua mzigo mkubwa sana wanaweza chukua hata kuku 50 ila walaji wanao toa pesa nzuri hununua mmoja mmoja.

Hivyo ni Bora kupiga hesabu za vyema za Muda, gharama na Faida kuangalia ufuge Kuku wa mayai au kienyeji? Chotara au Brouler?

NB:Ukifuga eti kuku wa kienyeji Mabandani unawafungia unawaletea chakula ni zaidi ya hasara na ni zaidi ya kupoteza muda
Endelea kufuga, unajiona mtaalamu sana
 
Kwanza hapa tukubaliane kwamba,ufugaji wa kuku wa kienyeji siyo lasmi kwa ajili ya biashara ya mayai.Pili mfumo wa ufugaji wa kuku wa kienyeji ni tofauti kabisa na ufugaji wa kuku wa maabara.Kuku wa kienyeji ukimfuga kwa taratibu za kisasa,hutapata matokeo chanya na lawama hazitaisha.
Ukishatambua hayo uliyoandika hapo juu, sasa rudi kwenye mada yenyewe inayojadiliwa toka mwanzo imelenga kitu gani.

Kwa hiyo, kama unataka tujadili sifa za kuku wa kienyeji, bila kujali faida inayotokana na ufugaji huo, weka hiyo mada tutaijadili kwa kina hapa.

Sielewi una maana gani na "matokeo chanya", katika ufugaji wa kuku wa kienyeji. Unamfuga kujifurahisha tu, kama 'hobby', au kuna matokeo gani chanya unayoyalenga wewe!
 
Ukizingatia asili ya kuku wa kienyeji utagundua ni ndege pori aliyeandaliwa tangu mwanzo mazingira ya kuwa huru.
Lakini kutokana na mazingira mkusanyiko wa watu katika mazingira yetu,basi kuku afugwe katika nusu huria kwa kuzingatia ukubwa wa eneo.
Tiba ya kuku wa kienyeji ni majani wanaojitafutia wenyenye,tiba za mitishamba utakazo zipanda katika eneo la kufugia na dukani utanunua chanjo za aina 2 tu,kideli na ndui basi.Chakula chao unatakiwa uwalishe mchanganyiko wa pumba za mahindi na pumba laini za mchele zilizochanganywa na mtama na kunde.Utawalisha asubuhi uwafunguliapo na jioni karibu na kuingia ndani kulala.

Mpaka hapo utaona ni kwa jinsi gani gharama itakavyokuwa kidogo ukilinganisha na huduma za hao kuku wa maabara a.k.a Chotara.

Mkuu!Hauhitaji kuwa na kuku 10000 kwa wakati mmoja kama kweli umedhamilia kufanya maisha kwa kuku hao.
Unahitaji kuwa na majike 200-300 tu wazazi na jogoo wako 20-30.
Ndani ya miezi 6-8 tu, unakuwa na uhakika wa kuwa na jumla ya kuku zaidi 600 wakubwa ambao utaweza kuuza kati ya kuku 200-300 kila mwezi.

N.B
Kwa mjini ni kweli huwezi mudu kuwafuga kuku hawa wa kienyeji kwa faida.
Mkuu,naomba niishie hapa.
 
HEeeenHeeee. Inabidi kucheka tu, kwa mawazo kama haya.

Kwa hiyo unategemea faida kutokana na ufugaji wa kuku wa kienyeji hao 200, huku ukiwalisha pumba za mahindi, pumba za mchele laini na mtama katika hiyo miezi mingapi 6?

Nenda kawadanganye wasiojua kitu kuhusu ufugaji wa kuku.

Hizo pumba pekee utazipata wapi, na kwa bei gani unajua?

Umechanganua gharama za ufugaji huo, na mwisho wa siku ukaona unabaki na faida?

Kwanza, ni kuku gani wa kienyeji utamuuza katika miezi 6, na kwa kuwalisha lishe kama hiyo unayobainisha hapo?

Miezi sita kuku wa kienyeji hujapata yai la kutotolesha, wewe tayari unadai kuwazalisha?

Hiyo miti shamba, huko bustanini kwako inaota tuu, kienyeji, hahitaji kamwe gharama yoyote?
Tena nikwambie, usilogwe, ukadhani kuku wa kienyeji hadhuriki na magonjwa yanayowadhuru hao unaowaita "kuku wa maabara" Salmonella hachagui kuku wa maabara wala wa kienyeji, coryza inafyeka kila aina ya kuku, halafu unakuja hapa na kutalka kudanganya watu?

Kama wewe ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, usidhani unayo nafuu yoyote kuhusu magonjwa yanayoangamiza kuku wengine wote.
 
Huyu hapa ni jogoo wa miezi 9,iliyotolewa mwaka jana mwezi 3 na ndiyo kwanza kaanza kuwika.Matemba aliozaliwa nao,wengi kwa sasa wanalea vifaranga.
Mkuu!Mimi nazungumza ninacho kifanya na siyo kusikia.
Mtetea uanza kutaga kati ya miezi 6-7 na wakati huo jogoo uanza kujifunza kuwika.
20230101_160742.jpg
20230101_152025.jpg
 
Back
Top Bottom