Ufugaji wa kuku chotara na kienyeji kwa mijini ni hasara tupu

Nirudi nyuma kidogo kwenye Uzi wa biashara yenye kukuingizia faida zaidi 30000.tulijadili mengi kipindi hicho natembeza maziwa mtaa kwa mtaa na samaki wa kukaanga.ilikuwa ngum kwa watu wa karibu kunielewa na hata humu jf.ilifika kipindi mtu ananiita ilimradi anisanifu..mwisho wa siku niliwaonyesha mpaka progress za biashara kuanzia kupata baskeli Hadi kufungua ofisi kijichi kwa jokete..kwa ufupi nilivutiwa na kuku baada ya kuhamia toangoma na kuona baba mwenyenyumba wangu akinufaika na huu mradi.nikairudisha akili yangu nyuma na kuanza kusahihisha zile Hadi za kutambo za ufugaji...itaendelea....
 
Binafsi huwa naangalia Mambo kwa undani na kupima..mkuu controla alinipa madini nayotembea nayo mpaka leo..alinieleza kuwa engine ya biashara ni sales.hivyo sifanyi chochote bila kunusa soko.ila hii point ya solo sitoi Siri. Vision zetu sio kuku 78...tulianza na wachache sana Ila mpaka jioni ya Leo Nina 91 na sio Tena 78.ntajipongeza kwa bange sana Kama asemavyo bwana kalamu. Na sjatoa mfukoni kwangu Ila biashara imejikuza yenyewe..kiufupi uwekezaji huu unanipa moyo kwani wapo watu wanakuja kwangu kununua chakula Cha kuku wengine mayai na wengine kuku wa Kula pia wapo wanaotaka kutoa sapoti na wengine wameshatoa sapoti akiwepo Joseph kisuma...nadhani watu wa temeke wanamjua...huko njopeka maeneo ya mkuranga ndio utakuwa destiny yetu kwani maeneo Yana maji na mabwaya ya asili.japo heka 2 nilizopata kwa mkopo zinaenda kumalizika Deni lake mwezi wa tano mwaka huu ili kuruhu ukuaji wa Kasi wa mradi..lengo letu sio kuishia kuku tuwili tutatu.. project haitakuwa na kuku tu Bali ndege kwa ujumla wao.. wengine tumezaliwa hatujui pampasi nepi Wala mapoti..ni mwendo wa vibwende na kutengwa kwenye miguu ya mama zetu ndio maana tunazipitia njia ngumu na tuna usongo na hela Ila sio hizi za uchawa...uwezo wa kupata malighafi nyingi za chakula ninazo kutokana na Aina yangu ya maisha na connection zangu..kwa wake tulikuwa tukishinda sokoni na kuwa viraka kwenye mafuso najua mnajua jinsi connection za mikoa zilivyo..ndio Mana hata mizigo yetu huletwa kiurahisi...
N.b bwana kalamu anataka mtu akisema kapata faida basi awe na escalled.mzee sisi tunaanza kidogo kwenda kuwa wakubwa Mana baba zetu hawakuwa mafisadi...nawaomba vijana pambaneni kiume. Pia natoa connection ya passion sababu siuzi hayo matunda..wakati hayo matunda yanaozeana sokoni ama pale bungu kuna miamba wapo kisemvule wakata na kutoa mbegu kwenye madum wanafreez then red to gulf na ushelisheli.ukitaka msaada fika kisemvule stendi muulizie bwana nalipa.ndio biashara yake kuu..ova
 
Niliposema wewe ni 'bogus' sikukosea kabisa.

Mkuu 'cleverman' (sijui unau-clever gani wewe), niseme tu wazi hujui kitu chochote kuhusu ufugaji wa kuku.

Ninachokusikitikia tu, na ndiyo sababu inayonirudisha nijibishane nawe tena hata baada ya kuachana nawe, ni huku kupotosha na kuwapoteza vijana ambao wanayo nia kweli ya kujitoa kwenye maisha duni kwa njia hii ya ufugaji.

Na kama kweli uliwahi hata mara moja kufuga kuku, basi siyo ajabu hadi leo hii unaendelea kuzungukia tuuu kwenye makosa yale yale bila kupiga hatua yoyote mbele. Kwa sababu hutaki kujifunza kutokana na makosa unayofanya.

Nimalizie kwa kukwambia hivi: usijaribu kujkoga mimi na hivyo "vitafiti vya kiasili". Ninajua hujui kitu hata huko

EeeenHeeee! Eti "cross breeding"? Unajua kitu gani kuhusu 'cross breeding' wewe? Weka 'reference' hapa za kazi yako uliyoshiriki katika eneo hili ili tukusome kazi uliyofanya.
Wewe hata elimu ya mifugo kiujumla huna.
Inatosha.
😎Mkuu kalamu mvuta bange kashafikisha 91..sio tena78..na kesho ana Oda ya Trey 6.hivyo mvuta bange ataamka sakumi alfaji kwenda kukusanyia ili ajazilizie mzigo spare pesa.vipi wewe mwenzangu unaendelea kufugia kwenye tablet
 
Kukuonyesha kwamba hujui unachozungumzia wewe, ni kwamba huhitaji kuwa na jogoo ndiyo hao kukuwatage.
Hili pekee linakuondolea sifa ya kuwa na taarifa kuhusu ufugaji wa hao kuku.

Kuku wa kienyeji, "genetic potential" yake hairuhusu, hata ufanye kitu gani, kwa sasa, akupe faida kibiashara, iwe ni mayai, au nyama.

Kama wewe unaamua kuwafuga kibiashara kwa maelfu, hapo sasa hilo litakuwa ni swala tofauti, tutaanza kulipigia mahesabu yake, lakini siyo kuku 10, 78, au hata 500. Hupati faida kamwe.
Narudia tena kukuambia kuwa wewe unaongea usichokifanya.Eti uhitaji kuwa na jogoo ndiyo hao kuku watage!Mzee,kuku wa kienyeji hatagi bila kupandwa isipokuwa wapo matemba fulani huku unyamwezini wanaitwa MAHWUNGULU,lakini asilimili 90 ya kuku wa kienyeji ni lazima apandwe ndiyo atage.Unapo sikia yai halina mbengu,usifikiri huyo jike anakuwa hakupandwa,bali alipandwa bila ya kumwagiwa mbegu na jogoo.Mfano unapokuwa na majogoo wengi mara nyingi huwa na tabia za kumpiga jogoo anayepanda juu ya jike na hivyo kupelekea jogoo huyo kushushwa juu ya jike bila ya kumwaga mbegu kwa jike.Lakini wakati huo jike kwa kule tu kupandiwa mgongoni tayari ulichavusha yai.
Mkuu!Kifupi wewe bado unaongea juu ya kitu usichokijua vizuri.
 
Niseme Jambo humu...mkuu kalamu nimeshalikoka mno na nimetokea vikindu na Tenga la mitetea 13. Nawaingiza home sasaivi..nilisema na pia ntasema ili kupata faida ni kuhakikisha biashara unajiendesha yenyewe na wewe unapata hata Kama ni kidogo
Sielewi niseme mara ngapi.
Huna biashara hapo. Labda useme una'hobby', (sijui kiswahili chake). Unafanya kujifurahisha tu, bila kujali kama unapata faida au hasara.
Ni kazi inayokufanya uwe bizze nayo, lakini siyo ya kuendeshea maisha yako.
 
Narudia tena kukuambia kuwa wewe unaongea usichokifanya.Eti uhitaji kuwa na jogoo ndiyo hao kuku watage!Mzee,kuku wa kienyeji hatagi bila kupandwa isipokuwa wapo matemba fulani huku unyamwezini wanaitwa MAHWUNGULU,lakini asilimili 90 ya kuku wa kienyeji ni lazima apandwe ndiyo atage.Unapo sikia yai halina mbengu,usifikiri huyo jike anakuwa hakupandwa,bali alipandwa bila ya kumwagiwa mbegu na jogoo.Mfano unapokuwa na majogoo wengi mara nyingi huwa na tabia za kumpiga jogoo anayepanda juu ya jike na hivyo kupelekea jogoo huyo kushushwa juu ya jike bila ya kumwaga mbegu kwa jike.Lakini wakati huo jike kwa kule tu kupandiwa mgongoni tayari ulichavusha yai.
Mkuu!Kifupi wewe bado unaongea juu ya kitu usichokijua vizuri.
Unaweka stori za kijiweni hapa, wakati mimi ninakupa sayansi ya utagaji mayai wa kuku aina yoyote ile, bila kujali wa kienyeji au wa kizungu.
Maana yako ya uhitaji wa jongoo ina maana kwamba utagaji wa hao kuku unategemea uwepo wa jogoo? Kwa hiyo pakiwepo na jogoo wengi na utagaji unaongezeka?

Hivi unajua kuku wa kienyeji anataga mayai mangapi kwa mwaka? Hata ungeongeza wingi wa majogoo ya kupanda, hesabu hiyo haiwezi kubadilika.

Unachoandika wewe hapo, ni kama unatafuta kutotolesha vifaranga, lakini siyo kutaga mayai. Huwezi kuelewa chochote ninachokueleza hapa.!

"Kumwagiwa mbegu na jogoo", hivi hujui kwamba mbegu za jogoo zinakaa mwilini kwa siku tatu na kurutubisha yai, bila ya kupandwa tena?
 
😎Mkuu kalamu mvuta bange kashafikisha 91..sio tena78..na kesho ana Oda ya Trey 6.hivyo mvuta bange ataamka sakumi alfaji kwenda kukusanyia ili ajazilizie mzigo spare pesa.vipi wewe mwenzangu unaendelea kufugia kwenye tablet
Inabidi nicheke tu!
Hongera zako. Lakini faida hupati ng'o, usidanganye vijana hapa wanaohangaika na maisha.
Hata ufikishe 500, faida utakuwa unaisikia tu!
 
Faida = Ulichopata - ulichotumia.

Scenario 1. Mfugaji wa kijiji cha mtombole.
Ana kuku 70, hawalishi, wanajitaftia huko shambani kwake, hana muda nao, anauza kuku 3 mpaka 5 kwa mwezi soko la kijiji. Tsh 40,000 mpaka 50,000 anayopata anafanyia mambo yake ya hapo kijijini. Huyu kuku wana faida kwake.

Scenario 2. Mfanyabiashara jijini DSM, anamiliki kampuni ya vyakula KFS ltd(Kalamu Food Supply ltd) ana kuku 500, ana tenda ya kusupply kuku kwa bei juu ya bei ya soko katika hoteli mbalimbali, anasuply kuku 50 mpaka 100 kwa mwezi, tenda zikimzidi ananunua sokoni. Huyu kuku ana faida kwake.

Scenario 3. Mfugaji aliyesoma kuhusu ufugaji JF. Kakodi chumba, kajenga mabanda, kaweka kuku, anawalisha pumba na makombo ana kijana wa kuwaangalia, anauza sokoni. Huyu kwake inaweza kuwa biashara kichaa.

BADO HUNIELEWI NINACHOMAANISHA?
Aiiiseee!
Unaishi dunia ya kipekee kabisa wewe, kudhani kwamba mtu anaweza kufuga kitu chochote, achilia mbali kuku, halafu pasiwepo na gharama ya ufugaji!
Kushindwa kwako kuainisha gharama hizo haina maana kwamba hakuna gharama.
Sasa maana ya kufuga ni nini, kama hana muda na hiyo mifugo yake?

Halafu inaonyesha sasa unachosha bure, kwa ubishi tu!
hao kuku 70, halafu kila mwezi auze kuku? Hao kuku wasiofugwa wao wanaota tu kama uyoga?
Unajua kuku wa kienyeji anachukua muda gani hadi aweze kufikia kimo cha kupelekwa sokoni?

Sasa unanitia mashaka kama kweli unao uwezo wa kufikiri sawia!

Halafu angalia mfano huo wa kuku 500, eti anachukua tenda ya ku'supply', hivi ulishawahi kufanya biashara kweli?
Nimekwishakueleza hapo juu kuhusu jambo hili hili, halafu unarudia lilelile, kwamba usichanganye mtu anayefanya biashara mbili tofauti, ukaziweka pamoja na kufanya kwamba zote zimeingiza faida; lakini ni kama ninampigia mbuzi kitaa acheze!

Mwishowe inabidi niseme, kaa na ujinga wako hivyo hivyo, kama ndio unaokupa faida.

Usione uvivu, chukua kalamu na karatasi, chambua gharama zote za ufugaji wa hao kuku wako 70. Unajidanganya kusema hakuna gharama zozote, huo ni uongo
 
Umeongea swala la msingi sana,kwanza hao kuku chotara au wa kienyeji wanaofugwa mjini ukimnunua ukamchinja umle ni wagumu balaa, wanacost itabidi umchemshe au umchome mwa muda mrefu ni wagumu kuiva,sijajua ni kwann ama ndo ile kwasababu wanafugwa kimjini mjini!! wanatumia mkaa mwingi ama gesi nyingi, sasa kwa maisha yetu ya mjini haya sio kweli huo muda haupo.
 
Duuh.
 
Aiiiseee!
Unaishi dunia ya kipekee kabisa wewe, kudhani kwamba mtu anaweza kufuga kitu chochote, achilia mbali kuku, halafu pasiwepo na gharama ya ufugaji!
Kushindwa kwako kuainisha gharama hizo haina maana kwamba hakuna gharama.
Sasa maana ya kufuga ni nini, kama hana muda na hiyo mifugo yake?

Halafu inaonyesha sasa unachosha bure, kwa ubishi tu!
hao kuku 70, halafu kila mwezi auze kuku? Hao kuku wasiofugwa wao wanaota tu kama uyoga?
Unajua kuku wa kienyeji anachukua muda gani hadi aweze kufikia kimo cha kupelekwa sokoni?

Sasa unanitia mashaka kama kweli unao uwezo wa kufikiri sawia!

Halafu angalia mfano huo wa kuku 500, eti anachukua tenda ya ku'supply', hivi ulishawahi kufanya biashara kweli?
Nimekwishakueleza hapo juu kuhusu jambo hili hili, halafu unarudia lilelile, kwamba usichanganye mtu anayefanya biashara mbili tofauti, ukaziweka pamoja na kufanya kwamba zote zimeingiza faida; lakini ni kama ninampigia mbuzi kitaa acheze!

Mwishowe inabidi niseme, kaa na ujinga wako hivyo hivyo, kama ndio unaokupa faida.

Usione uvivu, chukua kalamu na karatasi, chambua gharama zote za ufugaji wa hao kuku wako 70. Unajidanganya kusema hakuna gharama zozote, huo ni uongo
Je uko field au unafugia kwenye not book..ama ndio wale wa business plan..Ila ungekuwa unapajua kilwa kivinje ningekuunganisha na jamaa flani anafanya biashara ya brawn's na kukodi maboti ili umsikie.mana tuponaye tokea alifu kwa ujiti...alianza kwa hasara ndani ya miaka mnne akauza heka heka nne za ninazo singino kwa ajili ya madeni..familia ikaja juu wengine wakasema kalogwa.wakaanza kumsomea na kuuogesha kombe kwa nguvu..Ila Leo pita tu kilwa uulize kayuyu ni nani alafu ulete habari zako na nadharia hapa..wewe hujawahi kufanya biashara wewe..na pia uliza tu mabasi ya Masha Allah historian yake...Yani vijana wengi wameenda shule kukariri miterminologies ya kuzungu lakini kichwani weupe tu.elimu halusi ni elimu yetu ya mazingira ambao Kuna mbuzi inaniita Mimi mvuta bange bila hata kujua hata hiyo bange ni Nini..
 
Inaonekana ni biashara kichaa kwa sababu most wanaofuga hawana capital nzuri hivyo kupata mazao machache ama wataendesha kwa hasara..kwani wengi capital za kuku wa kienyeji ni chini ya mil tano....same kwa biashara nyingine zote bila capital ya kuelewa itaonekana ni biashara kichaa pia..mfano mzuri ningekuwa na broiler 78 ningepata faida???. Niliposema kuku wamenisogeza kiuchumi sikuwa nimesinzia kwani kwa huu mradi nimenunua vitu vidogo vidogo ambavyo Sina pia mradi umefika pahala unajiendesha wenyewe bila mm kutoa pesa kwenye vyanzo vingine.mradi unazipi kujua..nazidi kuaminika na pia nakopesheka.
N.b nipo mkuranga asubuhi hii nilikuja kwa ajili ya tray nne nichanganye na mbili za kwangu nipeleke Oda.. nashukuru mungu biashara kichaa inanifungulia milango ya rizki..
 
Bibi zetu huko vijijini wanafuga kuku wanawaacha tu shambani huko sanasana labda wawape makombo na usiku wanalala hadi sebuleni, jikoni n.k. Embu tuachane na hizì mada boss
 
Ngoja nikusahihishe makosa yako, ikionyesha kwamba kisomo kiko chini kabisa; na kwa maana hiyo uelewa wa mambo unakuwa mgumu kwako.
1. "not book"
2. "flani"
3. "brawns"
4. "mana"
5. "alifu kwa ujiti"
6. "mnne"
7. "heka hekanne za ninazo singino"
8. "wakasema kalogwa wakaanza kumsomea nakuuogesha kombe kwa nguvu."
9. "historian yake"
10. kukariri miterminologies ya kuzungu"

Kwa hali ya kawaida, isingenilazimu niorodheshe haya hapo juu, kwa sababu najua huu ni mtandao wa JF, unakusanya kila takataka mtu anayoweza kuifikiria.
Maana yangu ya kuyaweka makosa yako hayo hapo juu katika andiko fupi tu lenye mistari pungufu ya kumi, ni kuonyesha uwezo wako halisi ulionao katika kufafanua na kueleza mambo, kuwa ni mfinyu sana.
Mtu mwenye hali ya aina hiyo, hana uwezo wa yale anayojigamba kuwa anauwezo nayo.
Kwa mfano: umekwishadai hapa hapa kwenye mada hii, kwamba wewe ni bingwa sana katika eneo la ufugaji kiasi kwamba umeweza hata kushiriki kwenye tafiti za kuzalisha kuku, na kutengeneza chanjo za asili za kuku!

Kutokana na uandishiwako tu, inaonyesha wazi wewe ni tapeli tu, tena asiye na uwezo hata wa kushawishi hao anaotafuta kuwatapeli.

Nilipoanadika mara ya kwanza kuhusu "uvutaji bangi", sababu kubwa ilihusiana na kusoma unayoandika humu. Mtu wa akili za kawaida haandiki na kujieleza jinsi unavyofanya wewe.

Sasa basi, kama wewe siyo mvuta bangi, basi utakuwa na kasoro ya kipekee katika akili zako.

Kuhusu ufugaji wa kuku, kazi hiyo huiwezi. Pengine nikupe ushauri wa sehemu nyingine unakoweza kwenda kuuza maneno ya hadaa kwa wasomaji watakaopenda kusikia hekaya zako. Jaribu sasa kilimo cha matikiti. Nenda kawaeleze wasomaji jinsi ulivyokwisha fanikiwa katika kilimo hicho.

Nilishafunga mjadala huu nawe, lakini ninajikuta bado nipo hapa nawe. Sasa ninaufunga rasmi. Sina la ziada ninaloweza kukusaidia juu yake.
 
Bibi zetu huko vijijini wanafuga kuku wanawaacha tu shambani huko sanasana labda wawape makombo na usiku wanalala hadi sebuleni, jikoni n.k. Embu tuachane na hizì mada boss
Kwa hiyo unazo ndoto za kwenda kufanya biashara kama alivyozifanya bibi yako? Mbona unazidi kujitoa akili mkuu 'Tsh'.
Kadri ninavyozidi kukusoma na maandishi yako haya, naona kama unazidi kujididimiza zaidi. Mwanzo nilidhani unaoufahamu wa kutosha, lakini sasa ni kama huna kitu kabisa?
 
conceited, this is what you have, it has resulted to vexing. Mpaka sasa umeandika maneno mengi sana, Inatosha.
 
Inaonekana ni biashara kichaa kwa sababu most wanaofuga hawana capital nzuri hivyo kupata mazao machache ama wataendesha kwa hasara..kwani wengi capital za kuku wa kienyeji ni chini ya mil tano....same kwa biashara nyingine zote bila capital ya kuelewa itaonekana ni biashara kichaa pia..mfano mzuri ningekuwa na broiler 78 ningepata faida???. Niliposema kuku wamenisogeza kiuchumi sikuwa nimesinzia kwani kwa huu mradi nimenunua vitu vidogo vidogo ambavyo Sina pia mradi umefika pahala unajiendesha wenyewe bila mm kutoa pesa kwenye vyanzo vingine.mradi unazipi kujua..nazidi kuaminika na pia nakopesheka.
N.b nipo mkuranga asubuhi hii nilikuja kwa ajili ya tray nne nichanganye na mbili za kwangu nipeleke Oda.. nashukuru mungu biashara kichaa inanifungulia milango ya rizki..
Hakuna sababu ya kutumia nguvu kujieleza. Kalamu nimeshaelewa ni mtu wa aina gani, watu wa aina yake unachofanya ni kuchukua zuri alilosema, yale yasiyowezekana kwake unayafanya kama tahadhari na kupuuza yale ya kukatisha tamaa yasiyo na msaada katika kuyatafuta mafanikio.
 
conceited, this is what you have, it has resulted to vexing. Mpaka sasa umeandika maneno mengi sana, Inatosha.
LOo!
Sasa hiki kiingereza ndio tusemeje!
Tutumie muda hapa tena kunyooshana vizuri kwenye lugha hii ya kigeni?

Hapana. Acha hili liende!

Ila ninakubaliana nawe, kwamba nimeandika maneno mengi sana, lakini naona hayajasaidia kitu katika kueleza uhalisia wa hiyo biashara ya kuku, wewe na mwenzako mnayotafuta kuwapotosha vijana kuhusu urahisi/wepesi wake wa kuifanya na kupata mafanikio.

Atakayetaka kunisoma katika maneno hayo mengi na kunielewa, ataelewa ili ajipange vizuri kuifanya hiyo kazi. Siyo biashara rahisi. Ni ngumu, inahitaji uvumilivu na umakini mkubwa sana kuifanya ili upate mafanikio; kama zilivyo kazi/biashara nyinginezo zote.

Huu ndio ujumbe ninaotaka kuufikisha kwa wasomaji wote wa mada hii.
 
Hakuna sababu ya kutumia nguvu kujieleza. Kalamu nimeshaelewa ni mtu wa aina gani, watu wa aina yake unachofanya ni kuchukua zuri alilosema, yale yasiyowezekana kwake unayafanya kama tahadhari na kupuuza yale ya kukatisha tamaa yasiyo na msaada katika kuyatafuta mafanikio.
Ukinionyesha hata moja kati ya "yasiyofaa" niliyoyataja kwenye maandishi yangu itawasaidia hao unaotaka kuwatahadharisha.

Uandishi wa kijumla jumla huu, ndilo tatizo kubwa sana kwa waTanzania, hawawi 'specific' kwa lolote, saa zote ni kuzungushana tuuu, kama tulivyofanya kwenye mada hii.

Unakomalia faida itokanayo na ufugaji wa kuku wa kienyeji 78, lakini huna hata mfano wa kufafanua ufanisi huo.
Kutwa nzima tunazungushana tuu, na "ufugaji usiohitaji kuwekeza chochote"? Kazi ya namna hiyo utaipata wapi kwa Tanzania hii ya leo!

Mkuu 'Tsh', sitanii, na wala sipo hapa kumkatisha tamaa mtu yeyote ninaposema:
1. Kamwe haiwezekani kufuga kuku wa kienyeji au chotara 78, halafu ukapata faida tokana na kazi hiyo. Hakuna uchawi unaowezesha hilo. Hakuna.
Kama mtu anataka kuifanya kazi hiyo kwa njia hiyo, aifanye kama "hobby' tu, na pengine iwe kama njia ya kupata uzoefu kwake akijiandaa kufanya kazi ya ufugaji kwa njia sahihi zaidi yenye kumletea faida.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Aiiiseee!
Unaishi dunia ya kipekee kabisa wewe, kudhani kwamba mtu anaweza kufuga kitu chochote, achilia mbali kuku, halafu pasiwepo na gharama ya ufugaji!
Kushindwa kwako kuainisha gharama hizo haina maana kwamba hakuna gharama.
Sasa maana ya kufuga ni nini, kama hana muda na hiyo mifugo yake?

Halafu inaonyesha sasa unachosha bure, kwa ubishi tu!
hao kuku 70, halafu kila mwezi auze kuku? Hao kuku wasiofugwa wao wanaota tu kama uyoga?
Unajua kuku wa kienyeji anachukua muda gani hadi aweze kufikia kimo cha kupelekwa sokoni?

Sasa unanitia mashaka kama kweli unao uwezo wa kufikiri sawia!

Halafu angalia mfano huo wa kuku 500, eti anachukua tenda ya ku'supply', hivi ulishawahi kufanya biashara kweli?
Nimekwishakueleza hapo juu kuhusu jambo hili hili, halafu unarudia lilelile, kwamba usichanganye mtu anayefanya biashara mbili tofauti, ukaziweka pamoja na kufanya kwamba zote zimeingiza faida; lakini ni kama ninampigia mbuzi kitaa acheze!

Mwishowe inabidi niseme, kaa na ujinga wako hivyo hivyo, kama ndio unaokupa faida.

Usione uvivu, chukua kalamu na karatasi, chambua gharama zote za ufugaji wa hao kuku wako 70. Unajidanganya kusema hakuna gharama zozote, huo ni

LOo!
Sasa hiki kiingereza ndio tusemeje!
Tutumie muda hapa tena kunyooshana vizuri kwenye lugha hii ya kigeni?

Hapana. Acha hili liende!

Ila ninakubaliana nawe, kwamba nimeandika maneno mengi sana, lakini naona hayajasaidia kitu katika kueleza uhalisia wa hiyo biashara ya kuku, wewe na mwenzako mnayotafuta kuwapotosha vijana kuhusu urahisi/wepesi wake wa kuifanya na kupata mafanikio.

Atakayetaka kunisoma katika maneno hayo mengi na kunielewa, ataelewa ili ajipange vizuri kuifanya hiyo kazi. Siyo biashara rahisi. Ni ngumu, inahitaji uvumilivu na umakini mkubwa sana kuifanya ili upate mafanikio; kama zilivyo kazi/biashara nyinginezo zote.

Huu ndio ujumbe ninaotaka kuufikisha kwa wasomaji wote wa mada hii.
Ukufatilia maandiko yangu.sijawahi sema ni kitu rahisi. Ila inawezekana kufanikiwa...hasa ukiwa na mtaji mdogo Kama Mimi jamii haitakuelewa na itaonekana kichaa Ila ukijikaza kweli kweli basi yanawezekana.ili kujitafta unaweza ukawa na laki tano mfukoni Tena yako kabisaa Ila ukawa unashindia mihogo tu ili usife...chukua haya maneno kwa mikono miwili.wengine tunapenda story za zero to hero.
N.b tafuta I must I can and I will Cha mengi..na kingine ni pad man.
 
Back
Top Bottom