Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Najua mmepishana ila twendeni taratibu pamoja boss. Umetoa hoja nzuri za matumaini kwa wafugaji wapya na huenda huu uzi utasomwa kwa miaka mingi mbele. Nadhani mlipopishana ni yeye amedhani umesema kwa kuku 78 unapata trei 12500 wakati sicho ulichosema, hapa ndo mlipopishana.Achana Nate huyo mpuuzi hajui chochote huyo..Kama nakumbuka nilianza biashara ya maziwa ya kutembeza na nikaweka bandiko humu mpaka watu wa jf walishafika ofisini kwangu kijichi.wakati na aingia kwenye kuku tuliweka mjadala mzito na controla humu pia.ashukuriwe sana yule mwamba