P and J Poultry Farm
Member
- Apr 21, 2017
- 23
- 14
Pia ni vyema kama mna species tofauti ungezitoa ili kujua ni zipi nzuri hasa katik kukua ,,utagaji wa mayai na kuhimili magonjwa…!!
Asante sana ndgu kwa maelezo yako mazuri,, ntakuja tuoane ,tufany biashara mkuu…!!Tunao
Kuku wa malawi - weusi wanafaa kwa mayai na nyama pia, hustahimili magonjwa, huwa na uzito mkubwa
Chotara - Wanafaa kwa mayai na nyama, huwa na uzito mkubwa
Kloiler - Wanakuwa kwa haraka na wanafaa kwa mayai na nyama. huwa na uzito mkubwa
Wa malaw bei ganTunao
Kuku wa malawi - weusi wanafaa kwa mayai na nyama pia, hustahimili magonjwa, huwa na uzito mkubwa
Chotara - Wanafaa kwa mayai na nyama, huwa na uzito mkubwa
Kloiler - Wanakuwa kwa haraka na wanafaa kwa mayai na nyama. huwa na uzito mkubwa
Asante sana ndgu kwa maelezo yako mazuri,, ntakuja tuoane ,tufany biashara mkuu…!![/QUOTE
Karibu sana mkuu
Wa malaw bei gan
Kiongozi ni iodine tincture au ipo ingine? maana hata WA kwangu naona ugonjwa unaanza.vidonda huo ni ugonjwa unaitwa ndui na una chanjo yake unatakiwa kuwachanja hao kuku kabla hawaugua na wakiugua tumia iodine kuwapaka baada ya kuwasafisha vidonda, kwa sasa kuna dawa ya tiba pia hebu muone mtaalam alie karibu nawe. Kwa upande wa kuku chanjo ni muhimu sana na pia usikose kufanya kazi kwa karibu na wataalam wa mifugo.
Mkuu kwanza pole,nenda duka la dawa na nunua vidonge vya PEN V. Chukua vidonge 5 weka kwenye maji Lita moja na wape hao kuku wako kwa ck 3-5. Utaona matokeo ndani ya ck 3. Nakuomba ulete mrejesho maana hio dawa ni mujarabu.
Poa ila unajichelewesha!!!!Mkuu nashukuru na Juma tatu ntaianza hii kisha ntaleta Mrejesho
Kaka Troll na wana jf mliomo humu naomba munipe mawazo yenu katika hili,,,Kama Dar Hakuna Ulazima wa Kukaa nakushauri hii Shughuli itapendeza zaidi Mikoani na 2.2M ni Kiasi Kikubwa sana Kama haujaoa hauna Kazi yeyote unaweza ukaachana na Dar na Kwenda hata hapo Mkurunga Utafanikiwa.
Kaka Troll na wana jf mliomo humu naomba munipe mawazo yenu katika hili,,,Kama Dar Hakuna Ulazima wa Kukaa nakushauri hii Shughuli itapendeza zaidi Mikoani na 2.2M ni Kiasi Kikubwa sana Kama haujaoa hauna Kazi yeyote unaweza ukaachana na Dar na Kwenda hata hapo Mkurunga Utafanikiwa.
KAMA NI KWELI NAOMBA MSAADA WAKO TAFADHALImimi nilikuwa na changamoto ya kuibiwa kuku mama watoto akaenda kwa mtaalam mwizi alipatikana kesho yake baada ya kuiba jogoo kubwa nakulila na mkewe. Jamaa alijileta mwenyewe akiwa anaumwa tumbo balaa na mke wake huku jogoo akiwika mfululizo tumboni alitaja mwenyewe kila alichoiba kwangu na kwa majirani. Alitozwa faini ya ng'ombe sita kama fidia kwangu na majirani ng'ombe moja wakachinja nyama. Tangu siku hiyo mambo swali kabisa , mwaka huu hata shamba la mahindi sikuweka mlinzi. Kumbe duniani kuna ulinzi asilia sikuwa naamini.
Poa ila unajichelewesha!!!!
Wakuu, nimeanza tena ufugaji wa kuku wa kienyeji. Mara hii natumia mfumo
wa NUSU HURIA nimeanza na kuku 15 mwaka Jana mpaka sasa wako 369
Nimeuza kuku 271 kwa bei za kati ya Tsh 17,000 mpaka 23,000 namshukuru
Mungu nimeweza kupunguza ukata.
Mwakahuu kuna ttizo kubwa limejitokeza nashindwa jinsi ya kulikabili, Kuna ndege
Mdogo kwa umbo anafanana sana na njiwa, anakamata vifaranga balaa. Tena
anakamata wale vifaranga wakubwa ambao wanajitegemea. Ndani ya wiki mbili
hizi amekamata vifaranga 18.
Sijajua jinsi ya kumdhibiti yaani huyu mshenzi ananipa hasira si mchezo.
Poa.[emoji106]NimewaanIshia leo Mkuu
Ndiyo hiyo inayotumika kutibia binadamu piaKiongozi ni iodine tincture au ipo ingine? maana hata WA kwangu naona ugonjwa unaanza.
KAMA NI KWELI NAOMBA MSAADA WAKO TAFADHALI
Wewe unaishi wapi mkuu , unaweza kunipm nikakupa namba za mganga mtawasiliana wenyewe.KAMA NI KWELI NAOMBA MSAADA WAKO TAFADHALI