Kama humpi chakula unategemea nini mkuu? Lazima akatafute msosi ashibe kwanza
hiyo n kawaida kwa baadhi ya kuku, ana dalili za kuanza kulalia, mayai hayataharibika ataenda hivyo hivyo hadi utafikia muda hatok kabisaKuku wangu nafuga ndani ya fens hawatok nje kwenda kuzurula na kuna vyombo vya chakula vimejaa chakula na maji ya kutosha
Ndio mkuu unapataUnataka kuniambia hiz siku mbili alizolalia usiku tu mayai yatafaa kwenda kwenye incubator na vifaranga nikapata?
Ya viota nimejengaJe umewajengea viota
Sawa mkuu kama umejenga ni vya chini basi jenga vya juu maana inawezekana mayai yakawa yanakutana na unyevu nyevu toka chiniYa viota nimejenga
Post sent using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu lakini hii nayo yakuchanganya mayai inakuaje hapoSawa mkuu kama umejenga ni vya chini basi jenga vya juu maana inawezekana mayai yakawa yanakutana na unyevu nyevu toka chini
Na kama una kuku wengi matetea inawezekana idadi ya jogoo ikawa ndogo na hivyo kuna kuku wanataga mayai ambayo hajarutubishwa
Swala la kaachana umbali gani hilo linabaki kwako na kuangalia eneo ulilo nalo kwaajili ya huo mradiKwahyo mkuu unanishauli nikaongeza viota na je viachane umbali kiasi gani kiota kimoja baada ya kingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba unishauli mkuu kwa hili banda jipya nalojenga je liposahihiSwala la kaachana umbali gani hilo linabaki kwako na kuangalia eneo ulilo nalo kwaajili ya huo mradi
View attachment VID_20170718_141705.mp4Naomba unishauli mkuu kwa hili banda jipya nalojenga je liposahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Swala la kaachana umbali gani hilo linabaki kwako na kuangalia eneo ulilo nalo kwaajili ya huo mradi
Mkuu tuma picha tena hapo naona umetuma haionekani vizur usitume videoNaomba unishauli mkuu kwa hili banda jipya nalojenga je liposahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tuma picha tena hapo naona umetuma haionekani vizur usitume video
Mkuu tuma picha tena hapo naona umetuma haionekani vizur usitume video