Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Kama humpi chakula unategemea nini mkuu? Lazima akatafute msosi ashibe kwanza

Kuku wangu nafuga ndani ya fens hawatok nje kwenda kuzurula na kuna vyombo vya chakula vimejaa chakula na maji ya kutosha
 
hiyo ni ka
Kuku wangu nafuga ndani ya fens hawatok nje kwenda kuzurula na kuna vyombo vya chakula vimejaa chakula na maji ya kutosha
hiyo n kawaida kwa baadhi ya kuku, ana dalili za kuanza kulalia, mayai hayataharibika ataenda hivyo hivyo hadi utafikia muda hatok kabisa
 
Nimefuga KUKU mwakienyeji lakini sasa changamoto nikua wanachanganya sana mayai na mwisho wa siku hawatotoi mayai yote utakuta KUKU ametaga mayai 12 alafu anatoto mayai 4 tuu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ya viota nimejenga

Post sent using JamiiForums mobile app
Sawa mkuu kama umejenga ni vya chini basi jenga vya juu maana inawezekana mayai yakawa yanakutana na unyevu nyevu toka chini

Na kama una kuku wengi matetea inawezekana idadi ya jogoo ikawa ndogo na hivyo kuna kuku wanataga mayai ambayo hajarutubishwa
 
Mkuu tuma picha tena hapo naona umetuma haionekani vizur usitume video
5212879f669305eb4c153a5ce32a34a9.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom