Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

Naombamsaada jinsi yakutengeneza xhakula chakienyeji cha kg 80
 
Mi nilihamia sehem kufika siku ya4 kuku na mbwa wadogo wakaanza kuumwa wakafa wote20,sijui hili eneo lina ugonjwa?
 
Anza na chanjo ya New Castle,Baada ya muda flan unaweza ukawapa dawa ya minyoo then Anza kuwapa Ant-biotic OTC 20% au OTC 50% na Vitamin.Kama wanaharisha watwangie majani ya mpapai na uweke kwenye maji yao ya kunywa kwa wiki moja.
 
Nami nimeshaanza ufugaji namuomba Mungu anitangulie ktk hili,ubarikiwe sana mkuu kwa elimu yako hii.
Nalog off
 
Anza na chanjo ya New Castle,Baada ya muda flan unaweza ukawapa dawa ya minyoo then Anza kuwapa Ant-biotic OTC 20% au OTC 50% na Vitamin.Kama wanaharisha watwangie majani ya mpapai na uweke kwenye maji yao ya kunywa kwa wiki moja.

Wingi kiasi gani cha majani ya mpapai yanahitajika na yachanganywe kwenye maji ya lita ngapi?
Nalog off
 
Chukua jani 1 la mpapai bichi,liponde lilainike kisha unachanganya na maji lita 2.05 (mbili na nusu)Kama ni wengi sana Majani 2 Kwa lita 5.
 
Mi nilihamia sehem kufika siku ya4 kuku na mbwa wadogo wakaanza kuumwa wakafa wote20,sijui hili eneo lina ugonjwa?

Preventive measure ya kwanza kwa wanyama huwa ni kuwapa chanjo kabla ya kuwahamisha,Pili ni kuwafungi hata ikibidi kwa week 2 kweney eneo jipya! sijui kama ni utaratibu lkn mm ndio nimekua nikifanya naimenisaidia sana ....ni kama nawaweka wote chini ya quaranteen
 
wadau kuna hili suala la kuku kutaga kisha kula mayai,pia kuna kuku ambaye wenzie wakitaga anavizia na kula mayai...linatibika vipi hili
 
jamani tuwasiliane via 0765981354 ili tujuzane zaidi kuhusu ufugaji wa kuku,Mara nyingi sipo humu jf
 
Wadau ninauza kuku wa kienyeji, bei ni kuanzia elfu12 mpaka elfu 20. inategemea na ukubwa wa kuku. Hata kwa wale wanaohitaji jumla wanipm tuongee biashara.
 
Back
Top Bottom