Jonathan Kiula
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 314
- 100
Ellie,
Ni wazo zuri sana, kwani hata Senior manager anachokuambia ni sawa lakini kwa mazingira ya kwetu ambapo internet ni shida na zaidi haya makampuni yanayofanya HOME BASED BUSINESSES yako USA na nchi nyingi za ulaya. Na utakapotaka kujiunga watataka utoe kiasi fulani kwa ajili ya registration na mbaya zaidi sometimes they do conduct workshop/training through internet and assumming that most of the people engage in such business are living in USA.
USHAURI WANGU; Endeleza hilo wazo lako, kwani tayari umeonyesha nia ya kufanya hiyo biashara na naamini utakuwa umezingatia yafuatayo kabla ya kuanza biashara rasmi;
1. je mtaji wa kuanzia
2. je soko lako, wapi na wakina nani utakuwa unawauzia na wapi? na je uwezo wao wa kununua kuku wangapi? na kwa bei gani?
3. gharama ya usafiri toka unakowanunua mpaka kwenye soko
4. je, utaweza kununua kuku wangapi mara moja na je wapo supplier wa kutosha?
Mimi nakutia moyo, nenda kafanye hiyo biashara ya kuku kama utazingatia hayo mambo pamoja na mengineyo ya msingi ili uweze kuwa na tahadhari.
All the best.
thanx sana mkuu umenisaidia sana kimawazo maana tuko wengi tunaotaka kutoka kwa biashara maana ajira zimekuwa ngumu na mishahara midogo,thanx