Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

Uko sahihi....
 
Ni jambo zuri cha muhim zingatia chanjo,fwatilia mwenendo wa ukuaji wa kuku na la muhimu tafuta mbinu sahihi kukupunguzia gharama za chakula
Nina mbinu nyingi sana na pia Nina eneo kubwa sana ambalo kuku jioni napomaliza shughuli zangu binafsi hua nawaachia huku na me nikiwa nawafatilia kwa karibu ,chanjo nipo makini sana
 
Hakika mkuu
 
Mkuu bila shaka upo kwenye mazingira ambayo yanakubana lakini mimi nipo sehemu ambayo gunia la pumba linauzwa elfu12 na nje Kuna wadudu panzi na mchwa wa kutosha bora Ata mimi hua nawapa pumba kdg majirani zangu wao wanafungulia asubuhi na wanafungia usiku
Karibu
 
Kaka njoo nikufundishe kumlisha kuku wa kienyeji akifikia miezi 3 watu wanamshangaa au wanasema sio kienyeji
 
Wakila mavi wanafanyaje?
 
Kaka njoo nikufundishe kumlisha kuku wa kienyeji akifikia miezi 3 watu wanamshangaa au wanasema sio kienyeji
mbona nitashukuru. basi weka hapa wote tufaidike or else come inbox!

All in all, nimewafuga sana na sasa nina kama 50/40 or so.

Ulaji wao unatisha... nina vifaranga 30 vya wiki moja , vinakula kg 1 ya starter kwa wiki (kwa kuwabania)! which costs 2000 per kilo. Wakifikisha mwezi itakuwaje?
 
Hapo sawa kama bei ya pumba ni hiyo, one can manage to some extent!. huku kilo ya pumba ni Tsh 350. 100 kg ni 35,000. ..............wanakula wiki hiyo kama wako 50...... na wakila pumba bila vitamins wanaanza kuugua magonjwa ya ajabu ajabu! vidonda midomoni, mwili kuwa dhaifu etc etc...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…