Ufugaji wa kuku wa kienyeji ni jambo linalowezekana

Sasa utazimia na nin ungekuta watu hawafugi hawa kuku unaokula wanatokaga wapi acha fikra za kivivu
Wewe ni mpuuzi mkubwa na stupid! Umengangana na , kukatisha tamaa, wanakotokaga! Rubbish!

Kuku wa kienyeji huwezi kuwamudu kuwanunulia chakula, wakaja kutaga baada ya miezi 6 au zaidi na kuuzwa kwa nyama baada ya miezi 9-12 ukapata faida yoyote. Wanakula balaa! Ninao around 50 as of today, nilishindwa nikaamua kuwaachia baada ya kununua eneo kubwa 3 acres, sasa wanajitafutia, mara moja moja unawatupia chakula cha dukani kupata essential nutrients! You can not make it a daily meal!
 
Mkuu umekuja kwa shari sana. Sisi humu tunajadiliana politely. Don't take every detail in a serious note. Be humble, maisha haya ni mafupi sana kuwa mkali kiasi hicho .
 
Komaa mkuu hata mimi nawafuga hao kuku. Nimefikia hatua ya kuokota mayai nayauza kwa sh 12000 kwa tray.

Urahisi wa chakula kwangu upo maana nasimamia mashine ya kusaga nafaka (unga wa mahindi) hivyo wala sihangaiki
 
Kuna jamaa anawafuga anao kama buku sema uzuri sehemu anakoishi watu badi hawajajenga anawaachia wanazurura hivyo wanampunguzia gharama za chakula. Makuku yamenawiri kweli. Anafuga kuku, kanga na mbuzi. Alikuwa anafuga na bata ila alisema hawana soko
 
Ni Kweli Unanunua Chakula Ghari Cha Kisasa Upate Matokeo Changamoto Ukuaji Wao Pole Pole
Halafu soko ni hafifu maana bei ya 15,000, 20,000,30,000 very few can affors that. chini ya bei hiyo ni hasara tupu maana unamlisha miezi 6 ndiyo awe na sura ya mteja kumtamani..... gharama kubwa sana kumfikisha hapo. (nawafuga nasema ninachokiona....niliamua kuwaachia wajitafutie lkn wanaibiwa kishenzi)
 
Mimi Ninao Wachache Nia Nipate Mayai Siyo Biashara
Angalau Ndani Ya Week Ukitaka Mayai Unapata
Bei Hiyo Uliyoitaja Kupata Mteja Ni Mtihani
 
Asante kwa haya madini chief
 
Kulima? Mahindi? Umeshawahi kulima? Nimelima sana , mvua hizo za el nino mimea yote ya mahindi imeoza yameoza
Dah! Yaani hapo ndio mwisho wa kufikiri mkuu? Kwa hiyo afanyaje? Maana kila ushauri anaopewa ni mbaya! Kwa hiyo hapa Tanzania hakuna wanaolima na wakavuna?
 
Dah! Yaani hapo ndio mwisho wa kufikiri mkuu? Kwa hiyo afanyaje? Maana kila ushauri anaopewa ni mbaya! Kwa hiyo hapa Tanzania hakuna wanaolima na wakavuna?
Invetment ya kubahatisha siyo nzuri kama umewekeza hela be it mkopo au saving zako. Mvua haziaminiki.....Mwaka huu yamenipata nililima mahindi about 20 acres, mvua hizo ........yote yamekuwa mekundu na kuoza...... narudisha nini bank!??? ndiyo concern yangu. Kuna mwaka mvua zinakuwa nzuri unapat... kama umewekeza nguvu tu..haina shida hata vikiharibika.
 
Kama eneo ni kubwa na salama wanajiokotea wenyewe.....unaongeza matakataka kidogo toka ma dampo ya sokoni..migahawani

.

Hauwezi kufuga kuku 10,000 tena wa kienyeji Kwa kuwatafutia chalupa kwenye madampo na migahawani. Biashara yoyote huwa haina shortcut Kwa urahisi hivyo. Ukitaka kufuga hivyo lazima ufikiri ni names gani hao mifugo watakula
 
Hauwezi kufuga kuku 10,000 tena wa kienyeji Kwa kuwatafutia chalupa kwenye madampo na migahawani. Biashara yoyote huwa haina shortcut Kwa urahisi hivyo. Ukitaka kufuga hivyo lazima ufikiri ni names gani hao mifugo watakula
Kinadharia uko sahihi
👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…