Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Ningekushauri kuanza na kuku wa nyama kwanza, kama hujawahi kufuga kabisa.

Kuku wa nyama wanakuwa baada ya wiki 6 - 8, hivyo basi utapata muda wa kujifunza jinsi ya kuwatunza.
 
Mradi wa kuku wa mayai ni mzuri, but note the following:

- Kuku wanahitaji uangalizi wa karibu sana, ni muhimu mtu anayemweka awe mwaminifu na awe serious na kazi hiyo

- msimamizi wa banda lako ni muhimu awe na upendo kwa kuku kwani itakuwa rahisi kwake kutambua tatizo lolote watakalopata. Kumbuka sio suala tu la mtu kuweka chakula na maji na kuondoka

- Pata elimu ya magonjwa ya kuku, kinga na matibabu. Elimu hiyo mpatie pia msimamizi wa banda

- Hakikisha wakati wote una hela ya akiba kwa ajili ya madawa. Ni kosa kubwa sana kuku wakianza kuugua halafu hauna hela ya kuwahudumia

Noted mkuu ntaifanyia kazi ushauri wako.
 
Ningekushauri kuanza na kuku wa nyama kwanza, kama hujawahi kufuga kabisa. Kuku wa nyama wanakuwa baada ya wiki 6 - 8, hivyo basi utapata muda wa kujifunza jinsi ya kuwatunza.

Thanx lakini kwa faida je wapi ni zaidi? Hata hivo kuna mdau alinijuza wanyama ni delicate zaidi hivo matunzo yake ni magumu nipe more info mkuu kama una idea.
 
Kama hujawahi kabisa utaumia. Kuku siyo daladala kwamba utamwachia dereva jioni akuletee mahesabu. Kuku wanahitaji umakini wako, kaa ujue kwanza mahitaji yao ndipo umwachie mtu ili hata akikudanganya ujue. unaweza kuambiwa wamemaliza kilo 100 za chakula in 1day, utabisha?
 
Kama hujawahi kabisa utaumia. Kuku siyo daladala kwamba utamwachia dereva jioni akuletee mahesabu.
Kuku wanahitaji umakini wako, kaa ujue kwanza mahitaji yao ndipo umwachie mtu ili hata akikudanganya ujue. unaweza kuambiwa wamemaliza kilo 100 za chakula in 1day, utabisha?

Nimekuelewa itnojec sasa unajua mm ni mwajiriwa na kwa sasa ni mapema kuacha kazi ili kudeal na kuku ni lazima nimwajiri mtu ila weekend i will be there to supervise,ngoja nijaribu tu mkuu akinioibia bahati mbaya, ila pia si kuna vipimo vyao vya kula kwaiyo I will base on those kumevaluate kijana.
 
Re: Nataka kufuga kuku wa mayai lakini

Hongera kwa wazo zuri. mimi nilisoma diploma ya kilimo, na ili ugraduate ni lazima ufuge kuku nyama 400 +mayai pia 400. mradi ni mzuri ila matatizo yako kwenye chakula, dawa, na chanzo cha vifaranga.

Chakula hasa DSM wanapunja mahindi (competion na binadam). madawa yaliyaharibika hasa antibiotics na vaccine,lingine ni kuanzia day 1 mpaka 2weeks ni lazima kuku wale usiku na mchana ili kugain wait faster na ili waanze kutaga haraka na mayai makubwa na mazuri. Kama huta mind tuwasiliane nikushauri vizuri (0713921703).

Ahsante
 
Re: Nataka kufuga kuku wa mayai lakin

Hongera kwa wazo zuri. mimi nilisoma diploma ya kilimo, na ili ugraduate ni lazima ufuge kuku nyama 400 +mayai pia 400. mradi ni mzuri ila matatizo yako kwenye chakula, dawa, na chanzo cha vifaranga.

Chakula hasa DSM wanapunja mahindi (competion na binadam). madawa yaliyaharibika hasa antibiotics na vaccine,lingine ni kuanzia day 1 mpaka 2weeks ni lazima kuku wale usiku na mchana ili kugain wait faster na ili waanze kutaga haraka na mayai makubwa na mazuri. kama huta mind tuwasiliane nikushauri vizuri (o713921703).ahsante

Nadhani wewe ndo suluhisho la doubts zangu zote ntakupigia kesho tuongee vizuri unipe hzo professional ideas, thnx in advance.
 
Mkuu! Wazo jema kbs! Mi nipo Ar town ila ningekushauri ufuge kuku wa kienyeji yani unajivua Gamba fulu!! NIMEPITA tuuuuu.
 
Mchafukuoga unapatikana wapi in Dar?
Nimo ktk mchakato wa kujenga banda. Je, kuku 400 wanahitaji banda la ukubwa gani?
Re: Nataka kufuga kuku wa mayai lakin

Hongera kwa wazo zuri. Mimi nilisoma diploma ya kilimo, na ili ugraduate ni lazima ufuge kuku nyama 400 +mayai pia 400. mradi ni mzuri ila matatizo yako kwenye chakula, dawa, na chanzo cha vifaranga.

Chakula hasa dsm wanapunja mahindi(competion na binadam). madawa yaliyaharibika hasa antibiotics na vaccine,lingine ni kuanzia day 1 mpaka 2weeks ni lazima kuku wale usiku na mchana ili kugain wait faster na ili waanze kutaga haraka na mayai makubwa na mazuri. kama huta mind tuwasiliane nikushauri vizuri (0713921703).

Ahsante
 
Asanteni sana wanaJF kwa kuleta hoja zenye kujenga. Asante pia kwa kujitolea kutoa somo kwa wanaohitaji. Mbarikiwe
 
Mlachake, una experience kwenye ufugaji kuku? kama huna basi,
kuanza na kuku 1000 utakuja kulia!!! Na kama ni lazima uanze na kuku wengi,basi usiwe na mkono wa birika, kwamba usiwe bahiri!! Lazima utafute part time animal scientist ambae atakuwa mara kwa mara anakushauri suala zima la poutry management!!! aidha,usiwe bahiri, hususani kwenye feeding!!! poultry keeper wengi wana-collapse kv wanataka kubana matumizi kwenye chakula---manake wale jamaa wanafukia ile mbaya!!! in order to have productive layers or broilers, lazima kwenye masuala ya misosi wajiachie!!! and even more important, especially kama ni kuku wa mayai, tenga bajeti ya chakula pembeni na usiichezee kwa kitu kingine chochote kile, iwe pale ready for feeding!! Kama utapata mtaalamu, akakupa techinques za kutengeneza chakula itakuwa more wise kwako, kwavile feed cost ipo juu sana!!! BUT be careful, usi-opt tu kutengeneza chakula chao wakati feed chemistry haunayo!!! kama ni wa mayai, badala ya kuanza kutaga after 5 ro 6 months, wataanza after 8 months!

Kama unazani hutaweza kufanya mixing vizuri, u better ukajilipue kwenye vyakula vya madukani ambavyo ni very expensive- but don' worry, bei hiyo haitakufanya upate hasara, but itapunguza faida!! na kitu kingine muhimu, don buy day old chicks mitaani, utakuja kulia!!!hizo ni few hints, but the project, inalipa wangu!!! Mengine yote, unaweza kushauriwa na animal scientist, but the first good strategy--- tafuta kijana ambae tayari ameajiriwa kwenye suala zima la utunzaji kuku--- mchomoe anakofanya kazi na mpe mshahara mkubwa zaidi, na mpangie room very close na yalipo mabanda yako!!! uki-opt kujenga annex ya kukaa poultry keeper, itakuwa ni more productive idea! wish u all the best

Hakuna haja ya kuogopa kuanza na kuku wengi ili mradi mfuko unaruhusu kikubwa ni kuwa karibu na wataalam wa mifugo. Tatizo kubwa walilonalo wafugaji wengi ni kukwepa gharama za wataalam wa mifugo na kuamua kujifanyia mambo wenyewe, mambo yakienda kombo ndo wanaanza kuhaha kutafuta ushauri - Too late. Namshauri aanze sasa hivi kujenga mazoea ya kuwaona wataalam ili wampe ushauri tangu mwanzo wa mradi.

Hapo kwenye Red siyo kweli kwamba kuku wa mayai wanapaswa kupewa msosi wa kujiachia! Kuna vipimo maalum vya kuwapa hatuwapi kwa mtindo wa "Adlibitum" ukifanya hivyo itakuwa imekula kwako! Maana kuna uwezekano mkubwa kwa kuku hao kunenepeana na wakashindwa kutoa mazao yanayotakiwa. Ukiwaona wataalam wa mifugo watakwambia hiyo hali inaitwaje na inasababishaje kuku kushindwa kutaga vizuri! Ingawa pia kuwapa chini ya kiwango nayo ni hatari!

Nakutakia mafanikio kwenye mradi wako huo wala usiogope!!
 
Well said, ni sawa kabisa, kujifunzia unaweza anza na cha kununua, ila faida hamna, tengeneza chakula mwenyewe, hakikisha usafi wa vyombo na banda, zuia ubichi bandani, hakikisha wakiumwa tu, watenge ukianza kusitasita ndo anavyosema huyo banda zima linakwisha.

Unaweza fuga kiasi chochote ila as a precaution nakushauri weka 200 banda moja kwa kuanzia ila pata ushauri wa vipimo per sq mita.


Vipi unaweza kutupatia namna ya kutengeneza chakula ili tuweze kufikia hayo malengo?
 
Dah! Kuku na generator tena?

We jenny just tell us how to get low price incubator or how to get documentary DVD about poultry keeping.
 
Huyu jane yumo kila thread ya mambo ya biashara,hii ni dalili kuwa sasa JF imepanda chat online. Actually most of my Googled words lazima JF iwemo.
 
Hi JF members,

Ufugaji wa kuku wa mayai unahitaji 1sq meter kuku 6, na broiler ni 1sq meter kuku 10 hadi 11. temperature ya banda at least 39 to 40 degree, air in blow iwe ndogo zaidi ya air out blow ili kupunguza amonia gas bandani.

Maranda au sawdust yasipungue cm 5 kwenye floor kuavoid pneumoni, moderate light either natural or artificial, ensure proper and accurate deworming, vaccination, etc hizi ni baadhi ya manegerial activity za ufugaji wa kuku. mimi
 
Kuku ni biashara kichaa, nimekulia kwenye ufugaji nawajua mwanzo mwisho. Kama wataka biashara mbadala ya kuku nakushauri uanze totoresha vifaranga vya kuku. nenda sido (karibu na airport) wapo jamaa wanatengeneza incubators. Au ng'ombe wa maziwa.
 
Sasa kila mtu akifanya biashara ya maduka nani atafuga kuku? Ndio maana bei ya mayai inapanda kila kukicha kwasababu watu wameikimbia hii biashara. Kama mtu anaushauri mzuri wa kufuga kuku plse atujuze wengine tuna interest



fuga nguruwe wewee au fungua maduka manzese na ubungo external kama upo ndarisalama.

Kuku kichefuchefu!! Wakipata ugonjwa usiku, mpaka ukiamka huna hata wa ushahidi.
 
Back
Top Bottom