Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, take my words. Fuga kuku wa mayai utapata faida. Security ni mtu utakayemweka hapo awe mwaminifu
All the best
Mradi wa kuku wa mayai ni mzuri, but note the following:
- Kuku wanahitaji uangalizi wa karibu sana, ni muhimu mtu anayemweka awe mwaminifu na awe serious na kazi hiyo
- msimamizi wa banda lako ni muhimu awe na upendo kwa kuku kwani itakuwa rahisi kwake kutambua tatizo lolote watakalopata. Kumbuka sio suala tu la mtu kuweka chakula na maji na kuondoka
- Pata elimu ya magonjwa ya kuku, kinga na matibabu. Elimu hiyo mpatie pia msimamizi wa banda
- Hakikisha wakati wote una hela ya akiba kwa ajili ya madawa. Ni kosa kubwa sana kuku wakianza kuugua halafu hauna hela ya kuwahudumia
Ningekushauri kuanza na kuku wa nyama kwanza, kama hujawahi kufuga kabisa. Kuku wa nyama wanakuwa baada ya wiki 6 - 8, hivyo basi utapata muda wa kujifunza jinsi ya kuwatunza.
Kama hujawahi kabisa utaumia. Kuku siyo daladala kwamba utamwachia dereva jioni akuletee mahesabu.
Kuku wanahitaji umakini wako, kaa ujue kwanza mahitaji yao ndipo umwachie mtu ili hata akikudanganya ujue. unaweza kuambiwa wamemaliza kilo 100 za chakula in 1day, utabisha?
Re: Nataka kufuga kuku wa mayai lakin
Hongera kwa wazo zuri. mimi nilisoma diploma ya kilimo, na ili ugraduate ni lazima ufuge kuku nyama 400 +mayai pia 400. mradi ni mzuri ila matatizo yako kwenye chakula, dawa, na chanzo cha vifaranga.
Chakula hasa DSM wanapunja mahindi (competion na binadam). madawa yaliyaharibika hasa antibiotics na vaccine,lingine ni kuanzia day 1 mpaka 2weeks ni lazima kuku wale usiku na mchana ili kugain wait faster na ili waanze kutaga haraka na mayai makubwa na mazuri. kama huta mind tuwasiliane nikushauri vizuri (o713921703).ahsante
Re: Nataka kufuga kuku wa mayai lakin
Hongera kwa wazo zuri. Mimi nilisoma diploma ya kilimo, na ili ugraduate ni lazima ufuge kuku nyama 400 +mayai pia 400. mradi ni mzuri ila matatizo yako kwenye chakula, dawa, na chanzo cha vifaranga.
Chakula hasa dsm wanapunja mahindi(competion na binadam). madawa yaliyaharibika hasa antibiotics na vaccine,lingine ni kuanzia day 1 mpaka 2weeks ni lazima kuku wale usiku na mchana ili kugain wait faster na ili waanze kutaga haraka na mayai makubwa na mazuri. kama huta mind tuwasiliane nikushauri vizuri (0713921703).
Ahsante
Mlachake, una experience kwenye ufugaji kuku? kama huna basi,
kuanza na kuku 1000 utakuja kulia!!! Na kama ni lazima uanze na kuku wengi,basi usiwe na mkono wa birika, kwamba usiwe bahiri!! Lazima utafute part time animal scientist ambae atakuwa mara kwa mara anakushauri suala zima la poutry management!!! aidha,usiwe bahiri, hususani kwenye feeding!!! poultry keeper wengi wana-collapse kv wanataka kubana matumizi kwenye chakula---manake wale jamaa wanafukia ile mbaya!!! in order to have productive layers or broilers, lazima kwenye masuala ya misosi wajiachie!!! and even more important, especially kama ni kuku wa mayai, tenga bajeti ya chakula pembeni na usiichezee kwa kitu kingine chochote kile, iwe pale ready for feeding!! Kama utapata mtaalamu, akakupa techinques za kutengeneza chakula itakuwa more wise kwako, kwavile feed cost ipo juu sana!!! BUT be careful, usi-opt tu kutengeneza chakula chao wakati feed chemistry haunayo!!! kama ni wa mayai, badala ya kuanza kutaga after 5 ro 6 months, wataanza after 8 months!
Kama unazani hutaweza kufanya mixing vizuri, u better ukajilipue kwenye vyakula vya madukani ambavyo ni very expensive- but don' worry, bei hiyo haitakufanya upate hasara, but itapunguza faida!! na kitu kingine muhimu, don buy day old chicks mitaani, utakuja kulia!!!hizo ni few hints, but the project, inalipa wangu!!! Mengine yote, unaweza kushauriwa na animal scientist, but the first good strategy--- tafuta kijana ambae tayari ameajiriwa kwenye suala zima la utunzaji kuku--- mchomoe anakofanya kazi na mpe mshahara mkubwa zaidi, na mpangie room very close na yalipo mabanda yako!!! uki-opt kujenga annex ya kukaa poultry keeper, itakuwa ni more productive idea! wish u all the best
fuga nguruwe wewee au fungua maduka manzese na ubungo external kama upo ndarisalama.
Kuku kichefuchefu!! Wakipata ugonjwa usiku, mpaka ukiamka huna hata wa ushahidi.