Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

Hata mimi naomba kufahamu hizi mbinu, weka hapa nijifunze ndugu yangu
We nitafute nitakuelekeza vitu ving sana kuanzia mabanda adi magonjwa na usimamizi kwa umu jf itakua ngum kidogo maana si mda wote nakua nipo humu ndo shida apo utauliza swali leo nitajibu kesho au zaid ya kesho
 
Niuunge mkuu kwa magroup ya ufugaji no yangu 0754000093
Mkuu we ni mfugaji au unataka kunza kufuga maana si kuna watu nimewaunga alafu wakaanza kupost vitu tofaut na maudhui ya group wakatolewa na ww kweli muhitaji
 
Mkuu we ni mfugaji au unataka kunza kufuga maana si kuna watu nimewaunga alafu wakaanza kupost vitu tofaut na maudhui ya group wakatolewa na ww kweli muhitaji
Mkuu mm nimeanza kufuga na nina nia thabiti naomba niunge kwenye hilo group +255786078249
 
Mradi wa kuku ni mzuri sana lakini unataka usimamizi wa kina 24/7.

Mimi ni mdau na nimeanza kufuga kibiashara mwaka juzi, kuku wa kienyeji na broilers. Nnauzoefu wa takriban mwaka mmoja na nusu sasa.
Safi sana mkuu, unauzoefu wa ufugaji wa kuku wa kienyeji na broiler, nini changamoto ya hizo aina mbili ya ufugaji, na ipi ni bora kwa ufugaji maana nataka nianze ufugaji ila sijajua nifuge broiler au wa kienyeji
 
We nitafute nitakuelekeza vitu ving sana kuanzia mabanda adi magonjwa na usimamizi kwa umu jf itakua ngum kidogo maana si mda wote nakua nipo humu ndo shida apo utauliza swali leo nitajibu kesho au zaid ya kesho
0769635970
 
1. Usipoanza kuwa mjasiriamali utabaki kusema "sijawahi kuwa mjasiriamali". Una wazo zuri sana, kuku wa kienyeji wana soko kubwa ukilinganisha na wa kisasa.
2. Jibu la swali hili linapatikana kwenye jibu la swali la kwanza hapo juu.
3. Kuna watu wengi wanafanya biashara ya kununua kuku mikoani na kusafirisha kupeleka Dar Es Salaam kwahiyo kama utakua unazalisha kwa wingi utakua umewarahisishia wao kupunguza gharama za kukusanya mzigo huko minadani na kwa wafugaji wadogo wadogo watakua wanakua wanachukua kwako. Consistency yako katika kuzalisha na reliability yako ndio itakua silaha yako kuwafanya wafanye biashara nawewe.
4. Ili kujibu ni sahihi au sio sahihi kumuweka nduguyo au kuajiri mtu, ni lazima ujiridhishe na uaminifu, uchapa kazi pamoja na maslahi yake pia ndugu au mwajiriwa. Yeyote anaye meet hayo hapo juu muweke na utakua uko sahihi.
5. Hii itategemea na kiasi ulichokitenga kwa ajili ya huu mradi wako wa ufugaji (umeeleza tu kipato chako cha mwezi).
6. (Hii kwako haipo), Mimi binafsi ninatamani sana ufanikiwe katika mradi wako, Mungu akubariki na akufanyie wepesi katika kukabiliana na changamoto zozote zinazojitokeza katika ufugaji.
Kila lililo jema.
Nakushukuru sana mkuu kwa ushaur wako
 
Mkuu we ni mfugaji au unataka kunza kufuga maana si kuna watu nimewaunga alafu wakaanza kupost vitu tofaut na maudhui ya group wakatolewa na ww kweli muhitaji
Mkuu na mimi naomba uniunge kwenye group ili niendelee kupata uzoefu wa ufugaji maana nimeanza na kuku wachache kwa sasa
 
Safi sana mkuu, unauzoefu wa ufugaji wa kuku wa kienyeji na broiler, nini changamoto ya hizo aina mbili ya ufugaji, na ipi ni bora kwa ufugaji maana nataka nianze ufugaji ila sijajua nifuge broiler au wa kienyeji

Wewe anza tu. Aina zote sawa tu.

Ukianza ndiyo utajuwa.

Muhimu ni chakula, usafi, maji, aina za dawa, ku control utitiri, mabanda.

Kama nilivyokwambia, anza tu kama umeamua kufuga.

Maji ukishayavulia nguo yaoge tu.
 
Daaaaah pole xna subili wataalam naamini watakupa ushauli nzuli dont give up
Muda mrefu nimekua mfugaji wa kuku wa mayai lskini uzalishaji upo chini.nifanyeje iluwe juu?
Pole sana wengi wanakubwa na tatizo hilo, ila karibu ununue kitabu cha Uboreshaji wa Ufugaji Bora wa Kuku wa Kienyeji sh. 10,000/= tu. Kinaelezea kila kitu na kimesaidia wafugaji wengi wa kuku.
 
Una
Muda mrefu nimekua mfugaji wa kuku wa mayai lskini uzalishaji upo chini.nifanyeje iluwe juu?
Unaposema uzalishaji upo chini unamaanisha nn? Una idadi ya kuku wangapi na je unaokota tray ngapi kwa siku? Unafuga kuku wa kampuni gani? Chakula unatengeneza mwenyewe au unanunua cha kampuni gani? Hebu nijibu hayo tujaribu kushauriana na mimi ni mfugaji pia
 
Sasa mimi ushauri wangu kwako ni kwamba ufuge kuku kuanzia mia moja kwanza ili upate uzoefu. Kama unataka kufuga kuku 1000 kwa kuanzia inabidi upate afisa mifugo ili akupe ushauri wa kuaminika kuzuia hasara. contacts zake 0752576267
 
Back
Top Bottom