M8e nawazo hilo naona ugumu ipo how to graze 200 goat. Chukulia shamba lako ni heka 20. Zenyewe uneziweka kwenye heka 2. Hizo 18 una panda nyasi.🇮🇱Mbuzi wa kienyeji wanachukua muda kukua wanakula Sana
🇮🇱 Mbuzi wa kisasa Boers nk wanakula haraka na Wana maumbile makubwa
🇮🇱Mbuzi wa kienyeji ni wasumbufu kuwafuga na ni wakorofi
🇮🇱 Mbuzi wa kienyeji wanapenda Sana nyama na supu yake kwenye soko la ndani na hutumika hata kwenye MATAMBIKO ya kienyeji hivyo Wana soko kubwa la ndani
🇮🇱 Mbuzi wa kisasa wameshindwa kutoboa soko la ndani kwani wanas ma ni testless na hata kwenye MATAMBIKO mizimu haizitambui
🔹 USHAURI
🇮🇱 Kabla ya kuanza kuguga tafuta kwanza soko liwe la ndani au la nje
🇮🇱 Andaa eneo la malisho na ikiwezekana panda nyasi za kisasa ambazo utafanya umwagiliaji, weka fence kwenye shamba lako ili wasilete usumbufu, nunua mashine ya kukata kata majani kwa majani utakayopanda ili iwe rahisi kuyatafuna
🇮🇱Tafuta mbegu Bora ya mbuzi wanaozaa mapacha mapacha na epuka mbuzi za kuu Moja kuzalina
Sizungumzii majani ya kawaida Bali majani yaliyoborwshwaM8e nawazo hilo naona ugumu ipo how to graze 200 goat. Chukulia shamba lako ni heka 20. Zenyewe uneziweka kwenye heka 2. Hizo 18 una panda nyasi.
Je unazilishaje ?
Unaziacha tu au kuna utaalamu wa kuziswaga zisisambaee eneo lote. Je mbuzi 200 wabakula eneo gani kwa s9ku. Ninampango wa kufuga na tayari mbegu mapacha ninao 8.
Nataka niwe napata turn over ya molioni 10 kwa mwaka je nafanyeje. Inawezekana hasa kwa mbuzi mama 100 ?
Aha. Tofauti na haya tunaita mabiwi yake jama miwa mengine kama matete na mengine nimeona njombe yanarefuka sana na yana majani mapana. Ndio hayo mkuu ?Sizungumzii majani ya kawaida Bali majani yaliyoborwshwa
🔹 Mfano Kuna majani yanaitwa super niper haya ni jamii ya majani ya mitembo ( elephant grass) ambayo yameborwshwa kwa kuongezewa virutubisho, yanakuwa haraka, yanazaliana kwa Wingi na haraka eneo dogoo yakijaa huyawezi
🔹 Hivyo ukipanda Endo hata la hela 3 linatosha hata mbuzi 500 unachotakiwa ni kununua mashine ya kuyachakata kukata kidogo kidogo ili yawe rahisi kwa mbuzi kula.aNi simple Sana ila huwa hatuwazi mbali
Yenyewe lakini yapo Yale ya zamani , ila Kuna ya Sasa hivi yameboreshwa kwa mwonekano yanaonekana sawa ila Yana utofauti kwa sababu yanazaliana kwa Wingi na Yana viini lishe vingiAha. Tofauti na haya tunaita mabiwi yake jama miwa mengine kama matete na mengine nimeona njombe yanarefuka sana na yana majani mapana. Ndio hayo mkuu ?
Kama heka 3 nawezalisha mbuzi 500 hio nzuri.
Nimekuwa nikijiuliza jinsi ya kulisha mbuzi 100 zile zishibe zipate na maji.
Mbuzi wanatambulika kwatabia ya ulaji kama browser tofauti na ng'ombe ambao wao ni grazers, kwenye kuandaa malisho karibu kuzingatia hiloAha. Tofauti na haya tunaita mabiwi yake jama miwa mengine kama matete na mengine nimeona njombe yanarefuka sana na yana majani mapana. Ndio hayo mkuu ?
Kama heka 3 nawezalisha mbuzi 500 hio nzuri.
Nimekuwa nikijiuliza jinsi ya kulisha mbuzi 100 zile zishibe zipate na maji.
Inawezekana kabisa, zaidi ya m10 kwa mwakaM8e nawazo hilo naona ugumu ipo how to graze 200 goat. Chukulia shamba lako ni heka 20. Zenyewe uneziweka kwenye heka 2. Hizo 18 una panda nyasi.
Je unazilishaje ?
Unaziacha tu au kuna utaalamu wa kuziswaga zisisambaee eneo lote. Je mbuzi 200 wabakula eneo gani kwa s9ku. Ninampango wa kufuga na tayari mbegu mapacha ninao 8.
Nataka niwe napata turn over ya molioni 10 kwa mwaka je nafanyeje. Inawezekana hasa kwa mbuzi mama 100 ?
Mahitaji ya mbuzi wa kienyeji kwa kitoweo inaongezeka na itaongezeka mno mno mno kwa sababu estu wanaongezeka , arhi inapungua na wafugaji wanapungua, mabadiliko ya tabia ya nchi pia yanapunguza wafugaji.
Hivyo mfugaji wa kweli utakuwa na faida sana .
Ushauri. nunua mbuzi wa mbegu wakubwa kwa kuzalisha ila nunua mbuzi wadogo uwanenepeshe uuze hiyo itakupa hela ya haraka haraka na mzunguko, wale wa mbegu huku wanaendelea kuzaana pol
Kuna mfugaji wa mbuzi aliniambia mbuzi ni ngumu kuwanenepesha kisha ukawauza siyo kama Ng'ombe, pia wanachukua muda labda ufuge tu kawaida wawe na afya njema uuze kwa jumla jumla ndo utaona faida kubwa, labda kama unafahamu zaidi kuhusu kuwanenepesha utupe madini mkuu!Mahitaji ya mbuzi wa kienyeji kwa kitoweo inaongezeka na itaongezeka mno mno mno kwa sababu estu wanaongezeka , arhi inapungua na wafugaji wanapungua, mabadiliko ya tabia ya nchi pia yanapunguza wafugaji.
Hivyo mfugaji wa kweli utakuwa na faida sana .
Ushauri. nunua mbuzi wa mbegu wakubwa kwa kuzalisha ila nunua mbuzi wadogo uwanenepeshe uuze hiyo itakupa hela ya haraka haraka na mzunguko, wale wa mbegu huku wanaendelea kuzaana pole pole
wananenepa vizuri sana , ila inabidi uwape majani ya kunenepeshea kama lecerne(alfalfa), desmodium, na mchanganyiko wa pumba uwe mzuri yaani pumba ya mahindi 70% mashudu 28%2 % Madini pia wasitembee umbali mrefu kuwachungaLuna
Kuna mfugaji wa mbuzi aliniambia mbuzi ni ngumu kuwanenepesha kisha ukawauza siyo kama Ng'ombe, pia wanachukua muda labda ufuge tu kawaida wawe na afya njema uuze kwa jumla jumla ndo utaona faida kubwa, labda kama unafahamu zaidi kuhusu kuwanenepesha utupe madini mkuu!
Mkuu nilipo pumba ni nyingi sana gunia 20,000 tu, kuwafuga naweka zero grazing.wazo langu ni hivi nanunua mbuzi wa miezi 5 au 6 nahakikisha wanapata chanjo zote, na dawa za minyoo, nawalisha vyakula vya ziada kwa wingi ili wakifika mwaka nauza.. hapo imekaaje ila eneo naweza weka mbuzi 30 tu, hapo vipi mkuu?wananenepa vizuri sana , ila inabidi uwape majani ya kunenepeshea kama lecerne(alfalfa), desmodium, na mchanganyiko wa pumba uwe mzuri yaani pumba ya mahindi 70% mashudu 28%2 % Madini pia wasitembee umbali mrefu kuwachunga
Upo Mkoa gani mkuu??Mkuu nilipo pumba ni nyingi sana gunia 20,000 tu, kuwafuga naweka zero grazing.wazo langu ni hivi nanunua mbuzi wa miezi 5 au 6 nahakikisha wanapata chanjo zote, na dawa za minyoo, nawalisha vyakula vya ziada kwa wingi ili wakifika mwaka nauza.. hapo imekaaje ila eneo naweza weka mbuzi 30 tu, hapo vipi mkuu?
Upo Mkoa gani mkuu??