alsam
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 221
- 308
Habarini Wapambanaji
Naomba kuuliza wafugaji wa mbuzi wa nyama kibiashara unalipa kweli au ni watu wanafuga kimazoea?
Naombeni majibu in calculation wise maana huyu ndugu yangu kanishika tufuge mbuzi wanalipa wanalipa
Naombeni wafugaji mje na majibu Maana mazingira niliopo yapo vizur sana kwa ufugaji eneo lipo, majan yapo, materials za ujengaji mabanda pia zipo za bei rahisi tu.
Natanguliza shukrani