Ufugaji wa mbuzi wa nyama kibiashara unalipa?

alsam

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
221
Reaction score
308
Habarini Wapambanaji

Naomba kuuliza wafugaji wa mbuzi wa nyama kibiashara unalipa kweli au ni watu wanafuga kimazoea?

Naombeni majibu in calculation wise maana huyu ndugu yangu kanishika tufuge mbuzi wanalipa wanalipa

Naombeni wafugaji mje na majibu Maana mazingira niliopo yapo vizur sana kwa ufugaji eneo lipo, majan yapo, materials za ujengaji mabanda pia zipo za bei rahisi tu.

Natanguliza shukrani
 
Mbuzi wanalika sana hasa hawa wakienyeji na wanazidi kupungua siku hadi siku; baadhi ya mikoa kupata mbuzi mkubwa ni kuanzia 170,000/= kwa sasa.
Kama utaamua kuuza kwa bei ya jumla kuanzia 80,000/= na ukawa nao wengi, wewe ni tajiri; utakuwa na uwezo wa kuuza nchi nzima.​
 
🇮🇱Mbuzi wa kienyeji wanachukua muda kukua wanakula Sana

🇮🇱 Mbuzi wa kisasa Boers nk wanakula haraka na Wana maumbile makubwa

🇮🇱Mbuzi wa kienyeji ni wasumbufu kuwafuga na ni wakorofi

🇮🇱 Mbuzi wa kienyeji wanapenda Sana nyama na supu yake kwenye soko la ndani na hutumika hata kwenye MATAMBIKO ya kienyeji hivyo Wana soko kubwa la ndani

🇮🇱 Mbuzi wa kisasa wameshindwa kutoboa soko la ndani kwani wanas ma ni testless na hata kwenye MATAMBIKO mizimu haizitambui

🔹 USHAURI

🇮🇱 Kabla ya kuanza kuguga tafuta kwanza soko liwe la ndani au la nje

🇮🇱 Andaa eneo la malisho na ikiwezekana panda nyasi za kisasa ambazo utafanya umwagiliaji, weka fence kwenye shamba lako ili wasilete usumbufu, nunua mashine ya kukata kata majani kwa majani utakayopanda ili iwe rahisi kuyatafuna

🇮🇱Tafuta mbegu Bora ya mbuzi wanaozaa mapacha mapacha na epuka mbuzi za kuu Moja kuzalina
 
M8e nawazo hilo naona ugumu ipo how to graze 200 goat. Chukulia shamba lako ni heka 20. Zenyewe uneziweka kwenye heka 2. Hizo 18 una panda nyasi.
Je unazilishaje ?
Unaziacha tu au kuna utaalamu wa kuziswaga zisisambaee eneo lote. Je mbuzi 200 wabakula eneo gani kwa s9ku. Ninampango wa kufuga na tayari mbegu mapacha ninao 8.
Nataka niwe napata turn over ya molioni 10 kwa mwaka je nafanyeje. Inawezekana hasa kwa mbuzi mama 100 ?
 
Sizungumzii majani ya kawaida Bali majani yaliyoborwshwa

🔹 Mfano Kuna majani yanaitwa super niper haya ni jamii ya majani ya mitembo ( elephant grass) ambayo yameborwshwa kwa kuongezewa virutubisho, yanakuwa haraka, yanazaliana kwa Wingi na haraka eneo dogoo yakijaa huyawezi

🔹 Hivyo ukipanda Endo hata la hela 3 linatosha hata mbuzi 500 unachotakiwa ni kununua mashine ya kuyachakata kukata kidogo kidogo ili yawe rahisi kwa mbuzi kula.aNi simple Sana ila huwa hatuwazi mbali
 
Aha. Tofauti na haya tunaita mabiwi yake jama miwa mengine kama matete na mengine nimeona njombe yanarefuka sana na yana majani mapana. Ndio hayo mkuu ?
Kama heka 3 nawezalisha mbuzi 500 hio nzuri.
Nimekuwa nikijiuliza jinsi ya kulisha mbuzi 100 zile zishibe zipate na maji.
 
Yenyewe lakini yapo Yale ya zamani , ila Kuna ya Sasa hivi yameboreshwa kwa mwonekano yanaonekana sawa ila Yana utofauti kwa sababu yanazaliana kwa Wingi na Yana viini lishe vingi
 
Aha. Tofauti na haya tunaita mabiwi yake jama miwa mengine kama matete na mengine nimeona njombe yanarefuka sana na yana majani mapana. Ndio hayo mkuu ?
Kama heka 3 nawezalisha mbuzi 500 hio nzuri.
Nimekuwa nikijiuliza jinsi ya kulisha mbuzi 100 zile zishibe zipate na maji.
Mbuzi wanatambulika kwatabia ya ulaji kama browser tofauti na ng'ombe ambao wao ni grazers, kwenye kuandaa malisho karibu kuzingatia hilo
 
M8e nawazo hilo naona ugumu ipo how to graze 200 goat. Chukulia shamba lako ni heka 20. Zenyewe uneziweka kwenye heka 2. Hizo 18 una panda nyasi.
Je unazilishaje ?
Unaziacha tu au kuna utaalamu wa kuziswaga zisisambaee eneo lote. Je mbuzi 200 wabakula eneo gani kwa s9ku. Ninampango wa kufuga na tayari mbegu mapacha ninao 8.
Nataka niwe napata turn over ya molioni 10 kwa mwaka je nafanyeje. Inawezekana hasa kwa mbuzi mama 100 ?
Inawezekana kabisa, zaidi ya m10 kwa mwaka
 
Mahitaji ya mbuzi wa kienyeji kwa kitoweo inaongezeka na itaongezeka mno mno mno kwa sababu estu wanaongezeka , arhi inapungua na wafugaji wanapungua, mabadiliko ya tabia ya nchi pia yanapunguza wafugaji.
Hivyo mfugaji wa kweli utakuwa na faida sana .
Ushauri. nunua mbuzi wa mbegu wakubwa kwa kuzalisha ila nunua mbuzi wadogo uwanenepeshe uuze hiyo itakupa hela ya haraka haraka na mzunguko, wale wa mbegu huku wanaendelea kuzaana pole pole
 
Luna

Ushauri. nunua mbuzi wa mbegu wakubwa kwa kuzalisha ila nunua mbuzi wadogo uwanenepeshe uuze hiyo itakupa hela ya haraka haraka na mzunguko, wale wa mbegu huku wanaendelea kuzaana pol

Mahitaji ya mbuzi wa kienyeji kwa kitoweo inaongezeka na itaongezeka mno mno mno kwa sababu estu wanaongezeka , arhi inapungua na wafugaji wanapungua, mabadiliko ya tabia ya nchi pia yanapunguza wafugaji.
Hivyo mfugaji wa kweli utakuwa na faida sana .
Ushauri. nunua mbuzi wa mbegu wakubwa kwa kuzalisha ila nunua mbuzi wadogo uwanenepeshe uuze hiyo itakupa hela ya haraka haraka na mzunguko, wale wa mbegu huku wanaendelea kuzaana pole pole
Kuna mfugaji wa mbuzi aliniambia mbuzi ni ngumu kuwanenepesha kisha ukawauza siyo kama Ng'ombe, pia wanachukua muda labda ufuge tu kawaida wawe na afya njema uuze kwa jumla jumla ndo utaona faida kubwa, labda kama unafahamu zaidi kuhusu kuwanenepesha utupe madini mkuu!
 
wananenepa vizuri sana , ila inabidi uwape majani ya kunenepeshea kama lecerne(alfalfa), desmodium, na mchanganyiko wa pumba uwe mzuri yaani pumba ya mahindi 70% mashudu 28%2 % Madini pia wasitembee umbali mrefu kuwachunga
 
Mkuu nilipo pumba ni nyingi sana gunia 20,000 tu, kuwafuga naweka zero grazing.wazo langu ni hivi nanunua mbuzi wa miezi 5 au 6 nahakikisha wanapata chanjo zote, na dawa za minyoo, nawalisha vyakula vya ziada kwa wingi ili wakifika mwaka nauza.. hapo imekaaje ila eneo naweza weka mbuzi 30 tu, hapo vipi mkuu?
 
Upo Mkoa gani mkuu??
 
Back
Top Bottom