Rukube
JF-Expert Member
- May 9, 2018
- 245
- 477
Kanga ni watamu kuliko kuku hasa upike pilauNyuzi adimu izi leo mnaongea uhalisia wa maisha
Tukirudi kwenye mada sjawahi kubahatika kula kanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kanga ni watamu kuliko kuku hasa upike pilauNyuzi adimu izi leo mnaongea uhalisia wa maisha
Tukirudi kwenye mada sjawahi kubahatika kula kanga
Wanakua Kwa haraka ila wakianza kupotea utachoka wakiongozana kuingia poroni hawakumbuki kurudininao kanga wadogowadogo sana lakini ukuaji wake unanitamanisha sana, yaan wanaSpeed kuliko kuku!
Na kweli ila bata nao wanamsimu wao wa kudondoka na kufa piaKanga pia wanakufa sana mkuu,mm imebidi niachane nao sasa nimejikita kwenye Bata tu
Kabisa mkuu nilisha wahi kuzika vifaranga 50 Kwa muda wa week mbili,ila sasa hivi nimefanikiwa kuwakuza 70+ ila chamoto nilikionaNa kweli ila bata nao wanamsimu wao wa kudondoka na kufa pia
Hivi nyama ya kanga ina ladha gani? Ni exactly kama ya kuku?kwakwel kufuga raha! nyama unachagua kuku unaemtaka, mayai ndo usiseme! Wenzetu wanauziwa chips 2,000 mayai mawili-matatu aisee[emoji4][emoji4]
Mkuu kuku hampati kanga kwanza kuku tumewazoa sana kanga ni watamu sanaHivi nyama ya kanga ina ladha gani? Ni exactly kama ya kuku?
Asante sana. Mimi nakumbuka nilikuwa nayama ya kanga nikiwa mdogo sana na ilikuwa nzuri mno. Nilikuwa na mashaka kuwa pengine ni utoto ndiyo ulinifanya nione hivyo.Mkuu kuku hampati kanga kwanza kuku tumewazoa sana kanga ni watamu sana
Aisee[emoji848]Wanakua Kwa haraka ila wakianza kupotea utachoka wakiongozana kuingia poroni hawakumbuki kurudi
Ni nzuri sana,Ina kaharufu frani kama nyama pori,mm kanga wangu nimewamaliza Kwa kuwala hahahaAsante sana. Mimi nakumbuka nilikuwa nayama ya kanga nikiwa mdogo sana na ilikuwa nzuri mno. Nilikuwa na mashaka kuwa pengine ni utoto ndiyo ulinifanya nione hivyo.
Je ukiwa na uzio wanaweza kuruka na kwenda porini?Wanakua Kwa haraka ila wakianza kupotea utachoka wakiongozana kuingia poroni hawakumbuki kurudi
Kuruka huwezi kuwazui hata kama unauzio wanaruka mpaka juu ya bati mm wangu nilikua nikiwafungulia tu asubuhi wanarukia juu ya mchikichi ,pia wanaakili sana na wahisia Kali, pia wanatambua hata mgeni akija nyumbani,ila wakitotolewa na kuku kidogo tabia zao zinafanana kidogo na kuku,Je ukiwa na uzio wanaweza kuruka na kwenda porini?
vipi kuhusu ulinzi dhidi ya vicheche ,mwewe nk wanaweza kujihami?
kwasababu wana asili ya kiporini porini, wanaweza kupambana na adui?Kuruka huwezi kuwazui hata kama unauzio wanaruka mpaka juu ya bati mm wangu nilikua nikiwafungulia tu asubuhi wanarukia juu ya mchikichi ,pia wanaakili sana na wahisia Kali, pia wanatambua hata mgeni akija nyumbani,ila wakitotolewa na kuku kidogo tabia zao zinafanana kidogo na kuku,
Kweli lakini wengi hupuuza na kuona ni kama kujishusha.Ufugaji ni fursa nzuri kwa kipato kuliko kuajiriwa na ile mishahara ya bongo
Sana wanapiga sana Kwa sababu wanaumoja wanaweza kumfata kuku mmoja Kwa kanga watano,shida nipale wanapokua wadodo,pia ukiwafungia sana ndani mayai yanakua hayana mbegu, kwaiyo hakikisha unawafungulia Kwa muda,pia ukiweka vichaka kwenye Banda lao wanaweza kutagia ndani na kulalia pia,pia ukiujua ule muda wanao Taga unaweza kuwafungia Ili watagie ndani ,pia kanga mmoja anaweza kutaga mayai mpaka 90,ukiwa unayatoa yaani akitaga unachukua unamuachia Moja au mawili ya kumdanganyia ndio maana biashara kubwa ya kanga ni kuuza mayaikwasababu wana asili ya kiporini porini, wanaweza kupambana na adui?
Heheeee..hatari sana hapo inabidi kuweka ukuta..sema shida yao wanapaa.Wanakua Kwa haraka ila wakianza kupotea utachoka wakiongozana kuingia poroni hawakumbuki kurudi
Wee sema kweli Mkuu wapi wanapika kanga nikaonje?Kanga ni watamu kuliko kuku hasa upike pilau
Sio hawakumbuki kwani wao hawana akili wakae waliwe 😆😆Wanakua Kwa haraka ila wakianza kupotea utachoka wakiongozana kuingia poroni hawakumbuki kurudi
Watolelewa na kuku kidogo tabia zao zinafanana kidogo na kuku unaweza kuwa unawakata mabawaHeheeee..hatari sana hapo inabidi kuweka ukuta..sema shida yao wanapaa.
Kwahiyo hata kama wametotolewa na kuku bado wataenda polini wasirudi.??
#MaendeleoHayanaChama
asante kwa ushirikiano[emoji4]Sana wanapiga sana Kwa sababu wanaumoja wanaweza kumfata kuku mmoja Kwa kanga watano,shida nipale wanapokua wadodo,pia ukiwafungia sana ndani mayai yanakua hayana mbegu, kwaiyo hakikisha unawafungulia Kwa muda,pia ukiweka vichaka kwenye Banda lao wanaweza kutagia ndani na kulalia pia,pia ukiujua ule muda wanao Taga unaweza kuwafungia Ili watagie ndani ,pia kanga mmoja anaweza kutaga mayai mpaka 90,ukiwa unayatoa yaani akitaga unachukua unamuachia Moja au mawili ya kumdanganyia ndio maana biashara kubwa ya kanga ni kuuza mayai