Ufugaji wa ndege raha sana

Ufugaji wa ndege raha sana

Je ukiwa na uzio wanaweza kuruka na kwenda porini?
vipi kuhusu ulinzi dhidi ya vicheche ,mwewe nk wanaweza kujihami?
Kuruka huwezi kuwazui hata kama unauzio wanaruka mpaka juu ya bati mm wangu nilikua nikiwafungulia tu asubuhi wanarukia juu ya mchikichi ,pia wanaakili sana na wahisia Kali, pia wanatambua hata mgeni akija nyumbani,ila wakitotolewa na kuku kidogo tabia zao zinafanana kidogo na kuku,
 
kwasababu wana asili ya kiporini porini, wanaweza kupambana na adui?
 
Sana wanapiga sana Kwa sababu wanaumoja wanaweza kumfata kuku mmoja Kwa kanga watano,shida nipale wanapokua wadodo,pia ukiwafungia sana ndani mayai yanakua hayana mbegu, kwaiyo hakikisha unawafungulia Kwa muda,pia ukiweka vichaka kwenye Banda lao wanaweza kutagia ndani na kulalia pia,pia ukiujua ule muda wanao Taga unaweza kuwafungia Ili watagie ndani ,pia kanga mmoja anaweza kutaga mayai mpaka 90,ukiwa unayatoa yaani akitaga unachukua unamuachia Moja au mawili ya kumdanganyia ndio maana biashara kubwa ya kanga ni kuuza mayai
 
asante kwa ushirikiano[emoji4]
ubarikiwe sana!
 
Back
Top Bottom