Ufugaji wa ndege raha sana

Ufugaji wa ndege raha sana

Mh tunatofautiana kumbe hupendi? banda linaliwa na mchwa sababu mmejengea miti pendwa kwao na hapo wanapatikana sasa upakae oil chafu kwenye hizo mbao vinginevyo watalishusha lote.

Ehee umeweka kuku aina gani hapo kwaajili ya wanangu hao.
Hata sijaweka bado naangalia tu hizo mbao zainavoliwa nikawa nawaza kujenga kwa tofali na wavu
 
Biasha
Mashaallah,,watoto wanapenda kucheza na ndege ,,ufugaji nahisi una Nuru za Allah ndani yake,,,ukiwa mfugaji moyo huwa laini,,na ukiwa mfanyabiashara moyo huegemea kwenye ubahili..au kaka Kazakh destroyer na Akhy mnasemaje kwenye hili.
Biashara so mchezo lzm moyo uwe mgumu na kukubali kupoteza watu
 
Hivi Kwenye Eneo la kiwanja cha 20*20 naweza nikafuga kuku na Bata?
 
Kwanza hawakamatiki kwa kukimbizwa kizembe (wana mbio balaa) na uwezo wao wa kupaa ni mkubwa sana, kwahiyo hata wakienda kuzurura ni ngumu sana kukamatwa na raia maana kwa mbio hawapati na wakiamua wanaruka wanamuachia manyoya.
Sawa kabisa mkuu
 
Kanga hawapendi kuku mwenye vifaranga anavojitanuwa watamchangia wampige Hadi afe.Wana wivu sana sema mi nilikuwaga nna jogoo wangu mmoja alikuwa kiboko anawabanduwa kanga kinoma.Vikaja vikazaliwa vitoto shombe shombe ilivonyesha mvua vikanyeshewa vikafariki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sijajua nilikuwa nahitaji mengi niwawekee kuku Sasa sijajua nimepigwa au vipi
Hujapigwa ndio bei yake,ila yawe na mbegu tu,yakiwa hayana mbegu utakuwa umepigwaa hahahaha [emoji16][emoji16]
 
Kanga hawapendi kuku mwenye vifaranga anavojitanuwa watamchangia wampige Hadi afe.Wana wivu sana sema mi nilikuwaga nna jogoo wangu mmoja alikuwa kiboko anawabanduwa kanga kinoma.Vikaja vikazaliwa vitoto shombe shombe ilivonyesha mvua vikanyeshewa vikafariki.
Ndivyo bobu junia alivopatikana
 
Kanga hawapendi kuku mwenye vifaranga anavojitanuwa watamchangia wampige Hadi afe.Wana wivu sana sema mi nilikuwaga nna jogoo wangu mmoja alikuwa kiboko anawabanduwa kanga kinoma.Vikaja vikazaliwa vitoto shombe shombe ilivonyesha mvua vikanyeshewa vikafariki.
So funny [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom