Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Haramu kwako si haramu kwa kila mtu?

Statistics zinaonesha mwezi wa Ramadhan biashara ya KITIMOTO inakuwa mbaya, wateja hakuna....Jiulize why?

Hujaona sheikh caller tune yako ni ule wimboa wa "NIBEBE...YESU NIBEBE"?

Hebu tuache mawazo potofu, msaidieni mdau, kama huna cha kusem akaa kimya!

[/COLOR]We ----- nani kakwambia kila mtanzania anakula nguruwe??? ---- kweli wewe......Kula mwenyewe hiyo miharamu yenu
 
wadau nataka nianze kufuga nguruwe katika eneo langu la kibaha, nilikuwa naomba ushari namna bora ya kufuga ili wazalishe nategemea kuanza na nguruwe 50. ushauri tafadhali.
 
Haramu kwako si haramu kwa kila mtu?

Statistics zinaonesha mwezi wa Ramadhan biashara ya KITIMOTO inakuwa mbaya, wateja hakuna....Jiulize why?

Hujaona sheikh caller tune yako ni ule wimboa wa "NIBEBE...YESU NIBEBE"?

Hebu tuache mawazo potofu, msaidieni mdau, kama huna cha kusem akaa kimya!

Unanipa mawazo ya kibwegebwege haya. Mimi siyo -----.....
 
Je uko na budget gani? maana kufuga ni rahisi ila shida ni kuwamaintain ili upate faida kibao, swali jingine je huu ni mladi wa nguruwe wa nyama ama kuzalisha( na maana kuwa wewe utakuwa unazalisha na kuuza watoto wa nguruwe)?

baada ya kupata majibu hapo juu ntaweza kukusaidia na some ma info
 
nina budget ya mil 3 pamoja na banda tayari lipo kibaha mail 1. malengo ni kufuga nguruwe wa kuuza nyama, niwalee wawe wakubwa niwauze machinjioni.
 
hiyo mil 3 ni ya kununulia nguruwe, kwa kuwa bado niko kazini hela ya chakula haitasumbua na nitaweka mtu na kuangalia nikiwa kazini lakini kila siku jioni nitakuwa nakagua nikitoka kazini na kusaidia baadhi ya kazi.
 
Nguruwe watoto 20 @ 20000 = 400000
Banda la mabanzi=1,000,000
Chakula = 1,000,000
Dawa= 200000
After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,
utachakuwa vitoto jike 100,
mama zao wote watauzwa, huku shambani kwetu nguruwe
mkubwa ni Tsh 200,000 tu, utapata 4,000,000
After 2yrs: Nguruwe 100 wanaweza kuzaa 700
Kati ya 700 chagua majike 500,(unaweza kuuza watoto dume ukanunua jike)
Year 3: Nguruwe 500 watazaa watoto 3500, chagua watoto 1500 tu
Kutoka hapo unamentein Number 1500, kila mwaka unaweza kuuza
watoto zaidi ya 3000, na nguruwe wakubwa 1500
1500*200000= Tsh 300,000,000/= kwa mwaka
Nusu ya hiyo pesa ni gharama zingine, unabaki na 150mil.
Welcome to the club

Kabla hujajitumbukiza kaone mifano, au nenda sokoine ukaonane na wataalamu.
Kila mwaka nalima Mahindi, alizeti, maboga ekari 30 kwa ajili ya chakula cha
Nguruwe tu.


nakupenda saana mpwa,

Mr.Amoeba,
je naweza pata contact zako kwa ushauri zaidi? Mie nimeanza mradi huu for the past 5 month. nina nguruwe 10 wakubwa na watoto 46 kutokana na hao wakubwa. Nahitaji ushauri zaidi jinsi ya kuwalea watoto na kudhibiti magonjwa
0712937819/0789412904
 
niaje wadau,nahtaj mnisaidie ktu hapa.nina uwezo wa kupata mtaj wa kiasi cha kma 3m hv na huku nliko nina eneo la ekar 1.sasa idea yangu ni kufuga nguruwe wa biashara na nimelileta suala langu hapa kwan najua kuna wat wamefanya ANIMAL SCIENCE,AGR ENG ambapo wamesoma course ya FARM STEADY,wapo pia walofanya ANIMAL NUTRITION na mengne ila wapo wengne wana uzoef tu na jambo lenyew.sasa omb langu ni kufanyiwa cost estimations na how can I start na hata muundo mzma wa eneo na jengo la kufugia.NAWASILISHA WAKUU
 
Mkuu mwezi mtukufu umeisha nadhani watakuja mda si mrefu kukupa utaalam zaidi.
 
Mkuu mwezi mtukufu umeisha nadhani watakuja mda si mrefu kukupa utaalam zaidi.

Asante sana ndugu yangu DAWA YA JIKO.ni iman yangu kuwa wana jamv hawatantupa na watanipa msaada wenye manufaa.zaid ya yote niombe tu kutopuuzwa kwa thread yang kwan bila shaka wat wa humu ni wamoja na wanathamin udugu wet.
 
hapo kilichobak ni matekelezo yangu tu na naahd kuleta mlisho nyuma (feedback) baada ya kuanza mchakato na kwa kila hatua nitakayokuwa nimefkia.na kama kuna mabresho zaid ntashukur kwan lengo ni kufanya kilcho bora na c kuharbu.

#UJASILIA MALI NI KUTHUBUTU.

Tutafurahi kujifunza kutoka kwako pia baada ya kuanza utekelezaji wa mradi wako.

All the best!!
 
Kaka Amoeba,vp kuhusu uwiano wa malisho?
nina maamsha kuwa
i/gunia moja la pumba lnalsha nguruwe wangap wa umri gan na kwa muda gan?
ii/na vp kuhusu mashudu nayo yanakwenda kwa nguruwe wangap wa umri gan na kwa muda gan?
iii/na hapo umezungumzia chakula wapewe mara mbili kwa siku pamoja na mboga za majan inapobd.vp kuhusu maji mkuu?
ASANTE
 
Back
Top Bottom