Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Inaumiza sana,naona wanunuzi wengi wanapenda izo Bei za lak nne ata kama pig ni mkubwa kias gan .
 
Inshu ni kuamzisha bucha la kitimoto tu.

#MaendeleoHayanaChama
Itasaidia kupunguza mnyororo wa dhamani,ndio wengi wanadai huwezi kutajirika na kulima au kufuga kumbe ukija kufanya uchunguzi unakuta chain ya kulalia Bei ni kubwa sana,na unakuta wanao uza kujiweni wanapiga pesa sana kuliko unaefuga
 
MalafyaleP mkuu nauliza iyo pig inovation production system 1.wakati wa usafi unasafishaje Kwa sababu naona wapo kwenye mchanga ,

2.Na apo juu ya mchanga kinyesi Chao hakitatoa harufu kikiwa juu ya mchanga?

3.na je nauliza hawataweza kuchimba chini?
 
Hizi hesabu mbona ni kama zile za kiljmo cha matikiti na Mapapai?
 
Mbona kama gharama ya uendeshaji ni kubwa? Gunia la.pumba 10k sasa japo mpaka ufikishe miezi 12 kwa nguruwe 200 si mamilioni hayo?
 
katika kutafuta tafuta nimekutana na blog fulani inaitwa MITIKI,hapo amaefafanua kila kitu hadi aina na vikorokoro vyote vya jinsi ya kuwafuga nguruwe,anayetaka aitembelee atafaidika.
Je hawa nguruwe wanaofungwa kama Broiler na wao nyama yao tamu?
 
Peleka machinjion mwenyewe
 
Miaka mingap sasa unakula hiyo nyama? Umepata madhara gani
 
Kama umefuga wengi bora ufungue kijiwe chako mwenyewe cha kuuzia.
 
Hey bob! Mbona una hasira hivyo?

Be wise with SPEED. A fool at forty, is a fool INDEED! : Kichwa cha habari SOKO LA NGURUWE kama wewe hutumii, kiherehere gani kilikuleta humu?

Go have sex to ease your stress.
Ni miaka mingi sana tokea utoe hii comment ila nimeshindwa kujiuzia kukusifia kwa hili bonge la comment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…