bwegebwege
JF-Expert Member
- Jul 30, 2010
- 1,072
- 186
[/COLOR]We ----- nani kakwambia kila mtanzania anakula nguruwe??? ---- kweli wewe......Kula mwenyewe hiyo miharamu yenu
Haramu kwako si haramu kwa kila mtu?
Statistics zinaonesha mwezi wa Ramadhan biashara ya KITIMOTO inakuwa mbaya, wateja hakuna....Jiulize why?
Hujaona sheikh caller tune yako ni ule wimboa wa "NIBEBE...YESU NIBEBE"?
Hebu tuache mawazo potofu, msaidieni mdau, kama huna cha kusem akaa kimya!
Nguruwe watoto 20 @ 20000 = 400000
Banda la mabanzi=1,000,000
Chakula = 1,000,000
Dawa= 200000
After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,
utachakuwa vitoto jike 100,
mama zao wote watauzwa, huku shambani kwetu nguruwe
mkubwa ni Tsh 200,000 tu, utapata 4,000,000
After 2yrs: Nguruwe 100 wanaweza kuzaa 700
Kati ya 700 chagua majike 500,(unaweza kuuza watoto dume ukanunua jike)
Year 3: Nguruwe 500 watazaa watoto 3500, chagua watoto 1500 tu
Kutoka hapo unamentein Number 1500, kila mwaka unaweza kuuza
watoto zaidi ya 3000, na nguruwe wakubwa 1500
1500*200000= Tsh 300,000,000/= kwa mwaka
Nusu ya hiyo pesa ni gharama zingine, unabaki na 150mil.
Welcome to the club
Kabla hujajitumbukiza kaone mifano, au nenda sokoine ukaonane na wataalamu.
Kila mwaka nalima Mahindi, alizeti, maboga ekari 30 kwa ajili ya chakula cha
Nguruwe tu.
nakupenda saana mpwa,
Daaah!!Mkuu mwezi mtukufu umeisha nadhani watakuja mda si mrefu kukupa utaalam zaidi.
Mkuu mwezi mtukufu umeisha nadhani watakuja mda si mrefu kukupa utaalam zaidi.
Mkuu mwezi mtukufu umeisha nadhani watakuja mda si mrefu kukupa utaalam zaidi.
Kwa kuanzia pitia link hiyo hapo chini:
https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/42162-anza-hivi-mpwa-wangu.html
Kila la kheri!
hapo kilichobak ni matekelezo yangu tu na naahd kuleta mlisho nyuma (feedback) baada ya kuanza mchakato na kwa kila hatua nitakayokuwa nimefkia.na kama kuna mabresho zaid ntashukur kwan lengo ni kufanya kilcho bora na c kuharbu.
#UJASILIA MALI NI KUTHUBUTU.
Tutafurahi kujifunza kutoka kwako pia baada ya kuanza utekelezaji wa mradi wako.
All the best!!
we ni wakala wa sera ya jk ya kilimo kwanza eeh?
mbona hujaweka effect ya swine- flu, ambayo inaweza kuwamaliza nguruwe wote kwa wiki 1?