Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

We ni Wakala wa sera ya JK ya Kilimo kwanza eeh?

Mbona hujaweka effect ya SWINE- FLU, ambayo inaweza kuwamaliza nguruwe wote kwa wiki 1?
Kaka ukiwa muoga wa kutake risk hutafanikiwa maishani,waliofanikiwa ni wale wasiogopa hasara!
 
Kuna boss wangu ofisini amenipigia simu eti nguruwe wake amezaa vitoto 12 na hataki kuvinyonyesha badala yake anavishangaa na kutaka kuvikanyaga,hii pia ni changamoto itiliwe maanami sio kuota mafanikio tuu !!
 

tena boda boda ni buku moja tu mpaka kwa mzee wa upakoooo....ila akija ijumaa hivi mesi kwa kweli huwa kunakuwa kumechangamka na lile sebene letu la kila mwisho wa wiki.
 
Katitima,
Uki search kwenye internet kuna information nyingi nzuri Pia.mi nafuga for the past 5 month.nilianza na nguruwe 8 wenye mimba.nina watoto 50 sasa wa miezi tofauti. Tunaweza kushare uzoefu through 😛jmwaikenda@gmail.com
 
Katitima,
Uki search kwenye internet kuna information nyingi nzuri Pia.mi nafuga for the past 5 month.nilianza na nguruwe 8 wenye mimba.nina watoto 50 sasa wa miezi tofauti. Tunaweza kushare uzoefu through 😛jmwaikenda@gmail.com
kuna huyu wa kisasa, anapatikana baharini
 
katitima,
uki search kwenye internet kuna information nyingi nzuri pia.mi nafuga for the past 5 month.nilianza na nguruwe 8 wenye mimba.nina watoto 50 sasa wa miezi tofauti. Tunaweza kushare uzoefu through 😛jmwaikenda@gmail.com

nashukuru sana mkuu, ntakutafuta.
 
Wakuu nataka kuanzisha mradi huu wa ufugaji Nguruwe kutokana na soko lake kuwa pana na zuri kila kukicha. Nataka kufuga kitaalamu mkoani lringa naombeni mawazo yenu kwa kuanzia nataka nianze na 10.
 
wakuu nataka kuanzisha mradi huu wa ufugaji nguruwe kutokana na soko lake kuwa pana na zuri kila kukicha. Nataka kufuga kitaalamu mkoani lringa naombeni mawazo yenu kwa kuanzia nataka nianze na 10.

acha uviv mkuu,ukitembea vizur kwenye hili jukwaa utakutana na threads kama;

1.msaada ufugaji wa nguruwe

2.anza hivi mpwa

3.baada ya kusoma mawazo ya wengi humu jamii forum nimeona nianze hivi.

Hiz threads znazungmzia ufugaj wa nguruwe,so you better find them insead of a new one
 

Kwani mpwa na hii ikiwa mpya si tunapeana fursa na wadau wengine!
 

Mpwa vp kuhusu ile mafua ya nguruwe?
CC. TIQO
 
Last edited by a moderator:
Kuna boss wangu ofisini amenipigia simu eti nguruwe wake amezaa vitoto 12 na hataki kuvinyonyesha badala yake anavishangaa na kutaka kuvikanyaga,hii pia ni changamoto itiliwe maanami sio kuota mafanikio tuu !!

Ukizubaa atakula vitoto vyote
 


gonga hapa https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/42162-anza-hivi-mpwa-wangu-3.html#post7294799
 

Poa mpwa hizi fursa hizi lazima tuzitumie
 
Habari zenu waungwana! Je kuna mtu alishawahi kufuga hawa nguruwe na akaona faida ya ufugaji huu, maana hata mimi nataka kuingia kwenye hii biashara,
 
hivi kilo moja ya nyama ya nguruwe kwa dar ni bei gani kwa sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…