Lugoba Investment
Senior Member
- Dec 5, 2013
- 180
- 188
Wanajamvi hatimaye nimekutana na wafugaji wenye experience zao linapokuja suala la ufugaji wa Nguruwe,nimepigwa lecture ya kutosha kabisa na kwa mtaji wangu ni mkubwa tu kwa kuanza na idadi ya majike 20 kama wadau wengine walivyoshauri hapo juu,thanks to all mliochangia na mtakao endelea kuchangia wacha mie nikafanye utekelezaji..