Lugoba Investment
Senior Member
- Dec 5, 2013
- 180
- 188
Wanajamvi hatimaye nimekutana na wafugaji wenye experience zao linapokuja suala la ufugaji wa Nguruwe,nimepigwa lecture ya kutosha kabisa na kwa mtaji wangu ni mkubwa tu kwa kuanza na idadi ya majike 20 kama wadau wengine walivyoshauri hapo juu,thanks to all mliochangia na mtakao endelea kuchangia wacha mie nikafanye utekelezaji..
wapendwa katika kuhangaika mtandaoni nimepata kitabu hiki,naamini kitakuwa cha msaada mkubwa sana..
Asante,mie niko Dar na nategemea kwenda kufugia Lugoba Bagamoyo
angalizo: usiende kufuga katikati ya makazi ya maustaadhi bana utakula hasara
Mwaga hiyo lecture uliyopigwa hapa ili nasi tufaidike
angalizo: usiende kufuga katikati ya makazi ya maustaadhi bana utakula hasara
Ufugaji unalipa sana. Wengine wanafuga majini mbaya sana
Siku ingine ujifunze kauli ujue kutumia tafsida, sawa?
Hawaitwi Nguruwe, wanaitwa NOAH OLD MODEL!!
Wana jamvi,katika pita pita zangu mitaani,na kwenye mitandao ya kijamii nimegundua njia pekee itakayonipa ajira ni kujikita katika ufugaji wa Nguruwe kitaalam na kibiashara zaidi ikizingatiwa ndo kwanza nimehitimu elimu yangu ya Chuo kikuu..Nna shamba la ukubwa wa ekari 5 huko kijijini kwetu,maji yapo ya kutosha.Swali ni je shilingi milioni kumi (10,000,000) zinatosha kuanza kufuga nguruwe wangapi tangu wakiwa watoto hadi umri wa kuwauza? Naomba mnisaidie wadau
WE JAMAA NI choko, NILIKUTUMIA PM KUWA TUBADILISHENE MAWAZO KUHUSU HUU MRADI KWAKUWA MI MWENYEWE NATAKA KUANZA KUFUGA LAKINI HUJANIJIBU MPAKA LEO, NA NI WIKI IMEPITA. MA$ABURI YAKO

we jamaa ni choko, nilikutumia pm kuwa tubadilishene mawazo kuhusu huu mradi kwakuwa mi mwenyewe nataka kuanza kufuga lakini hujanijibu mpaka leo, na ni wiki imepita.
WE JAMAA NI choko, NILIKUTUMIA PM KUWA TUBADILISHENE MAWAZO KUHUSU HUU MRADI KWAKUWA MI MWENYEWE NATAKA KUANZA KUFUGA LAKINI HUJANIJIBU MPAKA LEO, NA NI WIKI IMEPITA. MA$ABURI YAKO
Ila wewe njegele kweli... khaa...! mtusi mkubwa hivyo kisa hajajibu PM!?? unaupenda sana uchoko eeh!
Mkuu ukiwa na Stress we ingia JF tu hata sioni sababu ya matusi yote haya kisa PM