Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Habari zenu Wadau
Nimesoma mabandiko mbalimbali ya ufugaji wa nguruwe wa kisasa...nimekuwa nikijikongoja kupata mtaji na nimefanikiwa kupata Mtaji wa 2.5m..sasa natafuta Partner wa kufanya nae hiyo biashara husasani aliye Mkoa wa Kilianjaro,Wilaya ya Siha au Hai na akiwa na eneo au mabanda itakuwa ni vema zaidi.....aliye serious naomba aniPm...mimi ni muajiriwa wa serikali na details nyingine tutazidi kufahamiana...Ahsante
 
Bei za kuanzia wadogo wa miezi miwili kakupa mpaka wakubwa wenye ujauzito tena ww unaulizia bei ya wadogo! Rudia kusoma tangazo vzr
 
Dume kilo@5000 kama anakilo10 jiongeze , jike@6000! Sio mazingaombwe ila kama hujawahi kufuga nguruwe utakua mgeni na falsafa hzo coz ndizo znazo tumika hata kuuzia! Sio kama mbwa na kuku kuwa na fuxed cost! Umeelewa!?
 
Hao n nguruwe wa biashara wakubwa , ndio maana kaunganisha na neno " wakiwa wazima " au wa miez miwil nao hua wanachinjwa? au liveweigh alimaanisha nn?
 
Hao n nguruwe wa biashara wakubwa , ndio maana kaunganisha na neno " wakiwa wazima " au wa miez miwil nao hua wanachinjwa? au liveweigh alimaanisha nn?

Nguruwe mdogo huwa na kilo ngapi mkuu kwa makadirio
 
Wadau,
Nguruwe mdogo kabisa anauzwa akiwa na umri wa miezi 2 na huwa na uzito 8-14kg.Liveweight ni uzito wa mnyama akiwa hai
 
Mkuu umesema twaweza changia gharama ya usafiri nimeipenda. sasa nataka watatu wenye mimba ila uzao wa pili. bei inakuwa hiyo hiyo ya 250-300?
Na je uzao wa pili wanazaa hadi wangapi kwa hesabu ya chini? Na pia je wanafikisha kilo ngapi nikiwahudumia vizuri hadi miezi sita?
Nashukuru
 
Chawoya,
Uzao wa pili au zaidi ni 350,000-400,000 kutegemea na mbegu.uzao wa pili wanazaa watoto 8-12 .
Ukifuga vizuri baada ya miezi 6 wanakuwa na uzito wa 50-60kg
 
Unaweza kutupa muhtasari wa kufuga hawa wanyama kwa sisi tusiojua? Gharama zake,changamoto, mauzo na masoko?
 
Mpwa tunaomba gharama za nguruwe watoto kwa mwaka huu wa 2015. ..Naona sasa ndio wakati wangu wa kujitosa. ...
 
kaka Malafyale

nmefatilia vzr huu uzi wako na kiundan zaidi na nmenufaika sana juu ya hilo na ningependa kupata namba yako ili niweze pata nafas ya kuja kwenye mradi wako na kujifunza mengi zaid pamoja na ushauri juu ya ufugaji huu wa nguruwe kibiashara zaid..natanguliza shukran za dhati

namba yangu ni 0714-623457
 
Back
Top Bottom