Wadogo mnauzaje? bei
Dume kilo@5000 kama anakilo10 jiongeze , jike@6000! Sio mazingaombwe ila kama hujawahi kufuga nguruwe utakua mgeni na falsafa hzo coz ndizo znazo tumika hata kuuzia! Sio kama mbwa na kuku kuwa na fuxed cost! Umeelewa!?
Hao n nguruwe wa biashara wakubwa , ndio maana kaunganisha na neno " wakiwa wazima " au wa miez miwil nao hua wanachinjwa? au liveweigh alimaanisha nn?
Unaweza kutupa muhtasari wa kufuga hawa wanyama kwa sisi tusiojua? Gharama zake,changamoto, mauzo na masoko?