MalafyaleP
Senior Member
- May 23, 2013
- 187
- 387
MamaEE,Nimependa hiyo miembe nje ya banda.
Ni kweli hii style inaruhusu Nguruwe to be in a somewhat natural environment. Loved to see iko implementable huku pia. Naona banda umelizungushia mabanzi tu usalama ukoje huko? Mm nafugia Arusha na hapo inakuwa ni kualika wezi tu.
karibu MamaEEUko vizuri! Kwangu ndio nimehmishia mifugo shambani kutoka nyumbani... Natamani kuwa namatunda, mboga etc in due time. Safi sans... Nikita panda Za huko nitatembelea shamba lako vile liko inspirational. Ubunifu pure!
Hii kitu Ni haram
Kweli kabisa mkuu. Lakini ni njia ya kupata pesa, then ukidifferentiate hapo unakuta pesa mwanaharamu
Haramu Ni kimtokacho mtu. Basi tuachane na hayo, kama nyama yake inaua TFDA, wizara ya mifugo wangekubali kuua watanzania?
Mdudu, ataliwa daima
Mnalisha watu nyamafu!
Hivi mpk muugue kiasi gani ndio muache kula huyu mnyama mchafu?
Cancer za matumbo hazijawakomesha tu eti!!
I have tried to ignore you but it seems you are uneducated!unaweza ukawa umeenda shule lakini umetoka kama ulivyoingia.
Kama unataka kuhubiri kama kula nyama ya nguruwe na sahihi au la,anzisha thread yako hubiri unavyoweza na kuna ambao watakuja kukuelimisha pia.
Imani sio kitu cha kulazimisha na hapa sio mahali pake.Staarabika na Heshimu imani za watu wengine