Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

albuluushiy kama haikuhusu pita kushoto na spidi 100 acha wanaohusika wachangie
 
Last edited by a moderator:
Nguvu gani zinahitajika? Pesa, muda, eneo na nini?
Wewe waweza toa nini kati ya hivyo?
Kuna mtu anaweza wekeza pesa lkn sio muda. Je inaweza faa?
 
Pesa na eneo. Japo muda pia una umuhimu wake kiasi fulani kwakuwa hatuwezi kumuacha kijana muda wote, vijana wengine wanahitaji usimamizi wa karibu anaweza kuwa halishi nguruwe wala kufanya usafi wa banda.
 
Brother mimi nina eneo kibahaa misugusugu eka 5 nina maji ya bwawa na bomba liko katiba mita 200 nimeshajenga tanki la lita 7000.wewe najua wanakouzwa piglets kwa wing na nina usafiri kwa ajili ya chakula nahitaji mwenye mtaji
 
Mtaji minimum ni sh ngapi?
 
mkuu, jana nili kupm nikakuomba namba hukunijibu mpaka leo ndiomaana nikafungua hii thread.

We unahitaji mtu mwenye mtaji wa kuanzia sh ngapi
 
Mtaji minimum ni sh ngapi?

Gharama za kuanzia itakuwa ni ujenzi wa mabanda ambayo kwasababu ni mwanzo unaweza jenga ya mbao ambayo chini utaweka cement gharama ya kuanza na nguruwe nane wenye mimba mabanda yake haitazidi milioni moja.

Kama kununua nguruwe mmoja mwenye mimba itakuwa laki tano basi kwa nguruwe nane itakuwa milion 4 gharama za kuanzia za chakula na mshahara wa msaidizi tenga tena milioni moja. Kwahiyo mkiwa na milioni sita au pungufu kulingana na idadi mnayotaka kuanza nayo

Kama mkianza na nguruwe nane wenye mimba na kila nguruwe akazaa vitoto vitano tu basi mtakuwa na nguruwe arobaini. Wakishamaliza kunyonyesha mnawapandisha tena

Kumbuka watoto nao ndani ya miezi sita watakuwa tayari kwa kupandishwa. Hivyo ndani ya mwaka mmoja unazungumzia zaidi nguruwe mia moja
 
Kati ya hizo garama ulizotaja hapo juu wewe mwenyewe una nini?
 
Kaka mkuu uko kwenye majaribio ya kuprove kuwa ni asilimia 10 tu humu ndo wako serious nini
 
Mimi nina eneo lipo kibaha madafu lina nyumba ya vyumba viwili na mabanda zaidi ya kumi ambayo yamekamilika. Lina maj na ni mbal na makazi . Nipo tayar kukodisha kwa bei nafu maana kwa sasa siyatumii nipigie 0718505991
 
Nakodisha kwa muda mrefu hata mkataba wa miaka miwili na naishi jirani na eneo kwa iyo naweza kusimamia huo mradi pia . Nipigie tufanye biashara
 
asante sana kaka...Mimi binafsi nashukuru sana kwa elimu yako..naomva kuuliza Mimi kama mfugaji wa awali ..nataka kuanza hii project ..Nina mtaji wa kuweza kuanza na nguruwe wadogo 10 au jike lenye mimba awamu ya pili mmoja....unanishauri nifanye nini wewe kama mtaalamu?
 
Nnauza wa nyama 40-50 nguruwe every 2 months,sometimes every month.nauza pia significantly wenye mimba kwa wafugaji wapya

nashukuru kwa maelezo mazuri yanayoeleweka, binafsi ningehitaji kupata uzoefu kwako kwa kutembelea mradi wako na kujifunza kabla cjaanza, nitafanikiwaje ktk hili.
 
MalafyaleP ninaweza kupata nguruwe wenye mimba ya pili shambani kwako? kama hapo kwasasa ninaweza kufanya booking ya nguruwe watano wakiwa na mimba ya mwezi mmoja niwachue? Advance natakiwa kulipa sh ngapi? Asante
 
Last edited by a moderator:
NYOSSO tupo booked hadi december kwa wenye mimba.tuwasiliane january.ni-pm number yako ya simu tafadhali. Wadogo wa miezi 3-4 wapo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom