HP1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2012
- 3,362
- 878
albuluushiy kama haikuhusu pita kushoto na spidi 100 acha wanaohusika wachangie
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nguvu gani zinahitajika? Pesa, muda, eneo na nini?
Wewe waweza toa nini kati ya hivyo?
Kuna mtu anaweza wekeza pesa lkn sio muda. Je inaweza faa?
Pesa na eneo. Japo muda pia una umuhimu wake kiasi fulani kwakuwa hatuwezi kumuacha kijana muda wote, vijana wengine wanahitaji usimamizi wa karibu anaweza kuwa halishi nguruwe wala kufanya usafi wa banda.
Brother mimi nina eneo kibahaa misugusugu eka 5 nina maji ya bwawa na bomba liko katiba mita 200 nimeshajenga tanki la lita 7000.wewe najua wanakouzwa piglets kwa wing na nina usafiri kwa ajili ya chakula nahitaji mwenye mtaji

Mtaji minimum ni sh ngapi?
Gharama za kuanzia itakuwa ni ujenzi wa mabanda ambayo kwasababu ni mwanzo unaweza jenga ya mbao ambayo chini utaweka cement gharama ya kuanza na nguruwe nane wenye mimba mabanda yake haitazidi milioni moja.
Kama kununua nguruwe mmoja mwenye mimba itakuwa laki tano basi kwa nguruwe nane itakuwa milion 4 gharama za kuanzia za chakula na mshahara wa msaidizi tenga tena milioni moja. Kwahiyo mkiwa na milioni sita au pungufu kulingana na idadi mnayotaka kuanza nayo
Kama mkianza na nguruwe nane wenye mimba na kila nguruwe akazaa vitoto vitano tu basi mtakuwa na nguruwe arobaini. Wakishamaliza kunyonyesha mnawapandisha tena
Kumbuka watoto nao ndani ya miezi sita watakuwa tayari kwa kupandishwa. Hivyo ndani ya mwaka mmoja unazungumzia zaidi nguruwe mia moja
Shenz type najisi zenu huko huko bara pwani yetu hatutaki uchafu huku,dude linakula mavi yake still linaliwa hachinjwi anapigwa marungu.
Shenz type najisi zenu huko huko bara pwani yetu hatutaki uchafu huku,dude linakula mavi yake still linaliwa hachinjwi anapigwa marungu.
Nnauza wa nyama 40-50 nguruwe every 2 months,sometimes every month.nauza pia significantly wenye mimba kwa wafugaji wapya