MalafyaleP
Senior Member
- May 23, 2013
- 187
- 387
MamaEE,Nimependa hiyo miembe nje ya banda.
Ni kweli hii style inaruhusu Nguruwe to be in a somewhat natural environment. Loved to see iko implementable huku pia. Naona banda umelizungushia mabanzi tu usalama ukoje huko? Mm nafugia Arusha na hapo inakuwa ni kualika wezi tu.
Ninafugia nje ya mji na hakujawa na wezi serious.Tumefuga mbwa pia kwa hiyo usiku mgeni akisogea tu mbwa wanashughulika.
Yes,tunalima miembe pia na mazao mengine