Link ya hilo kundi tuwekee hapaMpo wengi,Leo ngoja nitende haki
Namtafuta sana huyo jamaa nikae nae tuongee mana ndo naanza mradi wangMkuu habari ya kwako, mm nilikuwa naa wazo hili mda mrefu ila kwa ushauri tu jaribu kutafuta shamba mbali sana na makazi ya watu kuna jamaa mmoja yupo humu anafugia mikese morogoro
Mimi nadhani hapa ndio mwanzo wa ukaribu na kufahamiana zaidini wazo jema sana hilo mkuu. ila, shida ya masuala ya partineship/organization huwa na changamoto kibao ikiwa ni pamoja na issue ya ukaribu, urafiki na mawasiliano ya moja kwa moja. sio ktk mtandao kama ivi
mambo ya pesa ni magumu sana.
sikatishi tamaa nia yako hii, nimeshauri na kutoa mtazamo wangu bnafsi
Ni kweli mkuu. Lkn ukiisoma vizuri hiyo post yangu kitu nilichonacho kuhusu hiyo mifugo ni knowledge tu. Sina shamba wala sijui shamba litakuwa wapi, kwamaana nyingine hapa natafuta wadau ambao tutashirikiana kuanzia kununua shamba na mengineyo. Kwa miijili hiyo nilazima hawa watu wakutane na kulijadili hilo kwa kina. Otherwise sina lengo la kutumiana hela mitandaoni.ni wazo jema sana hilo mkuu. ila, shida ya masuala ya partineship/organization huwa na changamoto kibao ikiwa ni pamoja na issue ya ukaribu, urafiki na mawasiliano ya moja kwa moja. sio ktk mtandao kama ivi
mambo ya pesa ni magumu sana.
sikatishi tamaa nia yako hii, nimeshauri na kutoa mtazamo wangu bnafsi
Mm niko dar. Kuhusu nguruwe tufugie wapi ni kikundi kitaamuamimi pia najipanga kufuga waha nguruwe lakini changamoto kubwa ninayoiona ni muda wa mimi kuwa karibu na mradi.
kiukweli kufanya mradi kwa kumweka kijana ni kujidangaya na mara nyingi hakuleti matokeo mazuri na hasa kwa sisi tunaotegemea kuanza na mtaji mdogo lakini tukitegemea kuwa na faida kubwa tulizopiga kwenye excel hili ni tatizo.
nakushauri anza kufuga mwenyewe kwanza hata nguruwe wawili halafu panua mradi partinership za watu wengi haziwezi kukubali kusubiri faida baada ya miaka miwili wao wanataka baada ya mwaka kielweke.
lakini hujaeleza uko wapi na nguruwe utafugia wapi
Hongera sana mkuu. Vipi kuhusu aina ya mbegu umelizingatia hiloPia, ktk mambo ya ujasiriamali, tunashauriwa kutekeleza yale yaliyoko ndani ya uwezo wetu in terms of CAPITAL we have.
mfano, mimi hapa nmeanza ufugaji huo kwa scale inayowiana na ziada au kipato changu hapa. nimenunua nguruwe watano wadogo kabisa kwa bei kati ya elfu10-20 kwa maeneo yetu huku
nimewajengea banda na nimewaweka. nimeweka oda ya chakula kwenye mighahawa miwili ambapo nachukua mabaki ya chakula kila siku na nalipa elfu nane kila mwezi katika kila mghahawa mmoja.
so, naamini baada ya miezi michache kwa uwezo wa Mungu, nitakuwa vizuri kiuchumi