Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Mkuu habari ya kwako, mm nilikuwa naa wazo hili mda mrefu ila kwa ushauri tu jaribu kutafuta shamba mbali sana na makazi ya watu kuna jamaa mmoja yupo humu anafugia mikese morogoro
Namtafuta sana huyo jamaa nikae nae tuongee mana ndo naanza mradi wang
 
Habari za leo watanzania na wageni kwa ujumla wenu.

Natamani sana ufugaji wa nguruwe wenye tija lkn sijaweza fuga mpaka sasa kutokana na ukosefu wa mtaji. Nimefanya utafiti wa kutosha juu ya ufugagi huo ikiwa ni pamoja na kutembelea mashamba ya wafugaji waliofanikiwa kama malafyaleP nk.
Hivyo basi nimeonelea itakuwa vyema nikitafuta vijana kwa wazee tunaoshare the same interest atleast watano ili tuchange mtaji na kuweza kuanza huu ufugaji.

Mchanganuo:
Kuanza nguruwe 6@400000=2, 400000
Shamba heka moja tshs 700, 000

Ujenzi tshs 5mil. Ikiwa ni pamoja na makazi ya kijana wa kazi
Kuhusu chakula tutachangishana kila mwezi.

Hao nguruwe wa 400, 000 wanakuwa na mimba.

Angalizo:
Usitarajie return ya mapema. Faida yake ni baada ya two years.

Ukianza na hao 6 after two years utakuwa na nguruwe zaidi ya 200

Kwa mwenye nia ni pm
Karibuni
 
ni wazo jema sana hilo mkuu. ila, shida ya masuala ya partineship/organization huwa na changamoto kibao ikiwa ni pamoja na issue ya ukaribu, urafiki na mawasiliano ya moja kwa moja. sio ktk mtandao kama ivi

mambo ya pesa ni magumu sana.

sikatishi tamaa nia yako hii, nimeshauri na kutoa mtazamo wangu bnafsi
 
mimi pia najipanga kufuga waha nguruwe lakini changamoto kubwa ninayoiona ni muda wa mimi kuwa karibu na mradi.
kiukweli kufanya mradi kwa kumweka kijana ni kujidangaya na mara nyingi hakuleti matokeo mazuri na hasa kwa sisi tunaotegemea kuanza na mtaji mdogo lakini tukitegemea kuwa na faida kubwa tulizopiga kwenye excel hili ni tatizo.
nakushauri anza kufuga mwenyewe kwanza hata nguruwe wawili halafu panua mradi partinership za watu wengi haziwezi kukubali kusubiri faida baada ya miaka miwili wao wanataka baada ya mwaka kielweke.
lakini hujaeleza uko wapi na nguruwe utafugia wapi
 
Mimi nadhani hapa ndio mwanzo wa ukaribu na kufahamiana zaidi
 
Pia, ktk mambo ya ujasiriamali, tunashauriwa kutekeleza yale yaliyoko ndani ya uwezo wetu in terms of CAPITAL we have.

mfano, mimi hapa nmeanza ufugaji huo kwa scale inayowiana na ziada au kipato changu hapa. nimenunua nguruwe watano wadogo kabisa kwa bei kati ya elfu10-20 kwa maeneo yetu huku

nimewajengea banda na nimewaweka. nimeweka oda ya chakula kwenye mighahawa miwili ambapo nachukua mabaki ya chakula kila siku na nalipa elfu nane kila mwezi katika kila mghahawa mmoja.

so, naamini baada ya miezi michache kwa uwezo wa Mungu, nitakuwa vizuri kiuchumi
 
ni wazo jema sana hilo mkuu. ila, shida ya masuala ya partineship/organization huwa na changamoto kibao ikiwa ni pamoja na issue ya ukaribu, urafiki na mawasiliano ya moja kwa moja. sio ktk mtandao kama ivi

mambo ya pesa ni magumu sana.

sikatishi tamaa nia yako hii, nimeshauri na kutoa mtazamo wangu bnafsi
Ni kweli mkuu. Lkn ukiisoma vizuri hiyo post yangu kitu nilichonacho kuhusu hiyo mifugo ni knowledge tu. Sina shamba wala sijui shamba litakuwa wapi, kwamaana nyingine hapa natafuta wadau ambao tutashirikiana kuanzia kununua shamba na mengineyo. Kwa miijili hiyo nilazima hawa watu wakutane na kulijadili hilo kwa kina. Otherwise sina lengo la kutumiana hela mitandaoni.
 
mimi pia najipanga kufuga waha nguruwe lakini changamoto kubwa ninayoiona ni muda wa mimi kuwa karibu na mradi.
kiukweli kufanya mradi kwa kumweka kijana ni kujidangaya na mara nyingi hakuleti matokeo mazuri na hasa kwa sisi tunaotegemea kuanza na mtaji mdogo lakini tukitegemea kuwa na faida kubwa tulizopiga kwenye excel hili ni tatizo.
nakushauri anza kufuga mwenyewe kwanza hata nguruwe wawili halafu panua mradi partinership za watu wengi haziwezi kukubali kusubiri faida baada ya miaka miwili wao wanataka baada ya mwaka kielweke.
lakini hujaeleza uko wapi na nguruwe utafugia wapi
Mm niko dar. Kuhusu nguruwe tufugie wapi ni kikundi kitaamua
 
Pia, ktk mambo ya ujasiriamali, tunashauriwa kutekeleza yale yaliyoko ndani ya uwezo wetu in terms of CAPITAL we have.

mfano, mimi hapa nmeanza ufugaji huo kwa scale inayowiana na ziada au kipato changu hapa. nimenunua nguruwe watano wadogo kabisa kwa bei kati ya elfu10-20 kwa maeneo yetu huku

nimewajengea banda na nimewaweka. nimeweka oda ya chakula kwenye mighahawa miwili ambapo nachukua mabaki ya chakula kila siku na nalipa elfu nane kila mwezi katika kila mghahawa mmoja.

so, naamini baada ya miezi michache kwa uwezo wa Mungu, nitakuwa vizuri kiuchumi
Hongera sana mkuu. Vipi kuhusu aina ya mbegu umelizingatia hilo
 
Back
Top Bottom