Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

Kufuga nikuzuri sana.

Ila huku ukisubiri watu mjiunge fanya utafute hata watoto wa miezi ujaribu kufuga, maana michanganuo nimizuri lakini uzoefu na uhalisia wa mradi inabidi ujifunzw kwa vitendo.
 
Nice business
 
Ni vyakula gani unawalisha?
Na je vyakula vinapatikana kirahisi.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…