Plz mni add na mimi kwenye hilo group la wafuga nguruwe no 0752227047Na Mimi pia naomba mniadi kwenye group hilo la what's up la wafuga kitimota.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Plz mni add na mimi kwenye hilo group la wafuga nguruwe no 0752227047Na Mimi pia naomba mniadi kwenye group hilo la what's up la wafuga kitimota.
Watanzania 45ml walo reply hapa hawazid hata100 kwann soko lisipatikane0?!hata hao mia wakifuga woteKila mtu anataka kufuga nguruwe nani atamuuzia mwingine?
Nice businessView attachment 324772
- Nguruwe watoto 20 @ 20000 = 400000
- Banda la mabanzi=1,000,000
- Chakula = 1,000,000
- Dawa= 200000
After 1yr: Nguruwe 20 watazaa vitoto kama 160,utachakuwa vitoto jike 100,
mama zao wote watauzwa, huku shambani kwetu nguruwe
mkubwa ni Tsh 200,000 tu, utapata 4,000,000.
After 2yrs: Nguruwe 100 wanaweza kuzaa 700. Kati ya 700 chagua majike 500,(unaweza kuuza watoto dume ukanunua jike).
Year 3: Nguruwe 500 watazaa watoto 3500, chagua watoto 1500 tu
Kutoka hapo unamentein Number 1500, kila mwaka unaweza kuuza
watoto zaidi ya 3000, na nguruwe wakubwa 1500.
1500*200000= Tsh 300,000,000/= kwa mwaka
Nusu ya hiyo pesa ni gharama zingine, unabaki na 150mil.
Welcome to the club
Kabla hujajitumbukiza kaone mifano, au nenda sokoine ukaonane na wataalamu.
Kila mwaka nalima Mahindi, alizeti, maboga ekari 30 kwa ajili ya chakula cha nguruwe tu.
Nakupenda saana mpwa..
==========
USHUHUDA
======================================================
Nimeipenda hii naomba niunge maana Nina majike mawili na tayari yana mimnaNice business
Ninao nauza uko mkoa gani?Anaeuza watoto wa nguruwe naomba ani pm
Ninavyo, unapatikana mkoa gnAnaeuza watoto wa nguruwe naomba ani pm